Tetesi: Kuna Fununu kuwa Serikali inadoctor Taarifa za makusanyo ya kodi

Tetesi: Kuna Fununu kuwa Serikali inadoctor Taarifa za makusanyo ya kodi

TL. Marandu

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2015
Posts
3,625
Reaction score
5,810
Kuna Taarifa za Kuaminika Kuwa Serikali ya Awamu ya Tano imekuwa na Mtindo wa Kudoctor au kudressup taarifa za Makusanyo ya Kodi ili yaonekane ni kwenye tune ya Trilion na sio billions. Wamefanya hivi zaidi ya Mara tatu. Ningependa Waziri anayehusika aje hapa akanushe, au kama ni kweli atoe sababu za msingi za kufanya hivyo!
 
Wala usitumie nguvu nyingi kupima Uongo wao ,tizama tu tukio moja lile la tetemeko kwa ndugu zetu namna ambavyo Serikali ilitembeza bakuli kuanzia ktk jumba jeupe na rambirambi zote wakarara nazo mbere!!..

Hayo makusanyo yapo hapo ?..
 
Yaani hii ni sawa na mtu unaweka hela kwa dro baadae unaenda kwa mbinu za kiwizi unaiba ilihali unaishi mwenyewe. Afu kichwani unakuwa unaamini kuwa zile hela bado zipo kwa dro.
 
Hata kama wana fake mwisho wa siku tatizo ni lako au lao. Kwani linakuhususu. Au unategemea mgao wowote kutoka katika trilioni hizo mzee. Vichwa vyetu vina mambo mengi ya kufanya. Usijaze brain zetu na junks kamanda

Hizo pesa /makusanyo yanamhusu mpaka ndugu yako alie kijijini huko ,inamaana haufahamu kazi ya hayo makusanyo Mkuu ?..Hebu soma tena ulicho andika kama kinaleta mantiki..
 
Kuna Taarifa za Kuaminika Kuwa Serikali ya Awamu ya Tano imekuwa na Mtindo wa Kudoctor au kudressup taarifa za Makusanyo ya Kodi ili yaonekane ni kwenye tune ya Trilion na sio billions. Wamefanya hivi zaidi ya Mara tafu. Ningependa Waziri anayehusika aje hapa akanushe, au kama ni kweli atoe sababu za msingi za kufanya hivyo!
Wengi wenu ni wa vyama pinzani. Tumeshtuka!
 
Sisi akina Mdudu tulilifahamu hili mapema. Serikali hii ni ya kilaghai, kwani hupenda kusifiwa tu na ndiyo maana wamekuwa na tabia ya kupika takwimu.
 
Kama wanaweka ndani Mwandishi anayeripoti kuwa eneo fulani lina uhaba wa maji ili kuficha tatizo basi hata hilo la Mapato ya TRA hawataki tujue Ukweli.
Cheap propaganda.Acha upotoshaji take time to gather your facts before disclosing such kind of rumour
 
Hata kama wana fake mwisho wa siku tatizo ni lako au lao. Kwani linakuhususu. Au unategemea mgao wowote kutoka katika trilioni hizo mzee. Vichwa vyetu vina mambo mengi ya kufanya. Usijaze brain zetu na junks kamanda
Kweli wewe Babeli, mpaka leo wewe hujui namna pato la Taifa linavyo gusa maisha yako moja kwa moja!. Mbali na hilo kujua tu pato la Taifa lina tupa nafasi ya kujiandaa na hali inayokuja maana pato likishuka ni dhahili utajua kuwa huduma za jamii zitashuka, mfano kukosekana kwa madawa na vifaa tiba mahospitalini maana navyo ili vipatikane vinategemea pato la Taifa. Ndugu Babeli hujaona umuhimu wa wewe kujua pato lako la Taifa?.
 
Kazi ya mkuu wa nchi ni kuongeza mapato ya nchi, ili wananchi wapate huduma stahiki.
Mapato yanaposhuka mfululizo ina maana kuna maneno mengi, mipango mibovu, utekelezaji mbovu.

Tunashuhudia mabadiliko ya uongo.

Hatutaki uongo mwingine 2020.
 
Kuna Taarifa za Kuaminika Kuwa Serikali ya Awamu ya Tano imekuwa na Mtindo wa Kudoctor au kudressup taarifa za Makusanyo ya Kodi ili yaonekane ni kwenye tune ya Trilion na sio billions. Wamefanya hivi zaidi ya Mara tafu. Ningependa Waziri anayehusika aje hapa akanushe, au kama ni kweli atoe sababu za msingi za kufanya hivyo!

Sasa tukuelewe vipi?

Kwenye kichwa cha habari unasema kuna fununu, halafu ndani unasema kuna taarifa za kuaminika!
 
Hata kama wana fake mwisho wa siku tatizo ni lako au lao. Kwani linakuhususu. Au unategemea mgao wowote kutoka katika trilioni hizo mzee. Vichwa vyetu vina mambo mengi ya kufanya. Usijaze brain zetu na junks kamanda
Akili mali hujui umuhimu wa takwimu ktk maisha yako,kweli tz tumebalikiwa kuwa na vilaza wa kila aina hata jpm ni product ya wa tanzania walio wengi kama ww
 
Hata kama wana fake mwisho wa siku tatizo ni lako au lao. Kwani linakuhususu. Au unategemea mgao wowote kutoka katika trilioni hizo mzee. Vichwa vyetu vina mambo mengi ya kufanya. Usijaze brain zetu na junks kamanda
we kweli kichwa povu!!
 
Back
Top Bottom