TL. Marandu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 3,625
- 5,810
Hata kama wana fake mwisho wa siku tatizo ni lako au lao. Kwani linakuhususu. Au unategemea mgao wowote kutoka katika trilioni hizo mzee. Vichwa vyetu vina mambo mengi ya kufanya. Usijaze brain zetu na junks kamanda
Wengi wenu ni wa vyama pinzani. Tumeshtuka!Kuna Taarifa za Kuaminika Kuwa Serikali ya Awamu ya Tano imekuwa na Mtindo wa Kudoctor au kudressup taarifa za Makusanyo ya Kodi ili yaonekane ni kwenye tune ya Trilion na sio billions. Wamefanya hivi zaidi ya Mara tafu. Ningependa Waziri anayehusika aje hapa akanushe, au kama ni kweli atoe sababu za msingi za kufanya hivyo!
Cheap propaganda.Acha upotoshaji take time to gather your facts before disclosing such kind of rumourKama wanaweka ndani Mwandishi anayeripoti kuwa eneo fulani lina uhaba wa maji ili kuficha tatizo basi hata hilo la Mapato ya TRA hawataki tujue Ukweli.
Kweli wewe Babeli, mpaka leo wewe hujui namna pato la Taifa linavyo gusa maisha yako moja kwa moja!. Mbali na hilo kujua tu pato la Taifa lina tupa nafasi ya kujiandaa na hali inayokuja maana pato likishuka ni dhahili utajua kuwa huduma za jamii zitashuka, mfano kukosekana kwa madawa na vifaa tiba mahospitalini maana navyo ili vipatikane vinategemea pato la Taifa. Ndugu Babeli hujaona umuhimu wa wewe kujua pato lako la Taifa?.Hata kama wana fake mwisho wa siku tatizo ni lako au lao. Kwani linakuhususu. Au unategemea mgao wowote kutoka katika trilioni hizo mzee. Vichwa vyetu vina mambo mengi ya kufanya. Usijaze brain zetu na junks kamanda
Kweli kichwa chako kina mambo mengi!Hata kama wana fake mwisho wa siku tatizo ni lako au lao. Kwani linakuhususu. Au unategemea mgao wowote kutoka katika trilioni hizo mzee. Vichwa vyetu vina mambo mengi ya kufanya. Usijaze brain zetu na junks kamanda
Kuna Taarifa za Kuaminika Kuwa Serikali ya Awamu ya Tano imekuwa na Mtindo wa Kudoctor au kudressup taarifa za Makusanyo ya Kodi ili yaonekane ni kwenye tune ya Trilion na sio billions. Wamefanya hivi zaidi ya Mara tafu. Ningependa Waziri anayehusika aje hapa akanushe, au kama ni kweli atoe sababu za msingi za kufanya hivyo!
Hiiinahusiana VIP na mada ?Chadema limegeuka chama la kuombea mabaya nchi
Akili mali hujui umuhimu wa takwimu ktk maisha yako,kweli tz tumebalikiwa kuwa na vilaza wa kila aina hata jpm ni product ya wa tanzania walio wengi kama wwHata kama wana fake mwisho wa siku tatizo ni lako au lao. Kwani linakuhususu. Au unategemea mgao wowote kutoka katika trilioni hizo mzee. Vichwa vyetu vina mambo mengi ya kufanya. Usijaze brain zetu na junks kamanda
Fact gani unataka kama hali ya maisha hata yako mwenyewe hayaendani na makusanyo yanayosemwa unataka facts zipo sasaCheap propaganda.Acha upotoshaji take time to gather your facts before disclosing such kind of rumour
we kweli kichwa povu!!Hata kama wana fake mwisho wa siku tatizo ni lako au lao. Kwani linakuhususu. Au unategemea mgao wowote kutoka katika trilioni hizo mzee. Vichwa vyetu vina mambo mengi ya kufanya. Usijaze brain zetu na junks kamanda