Kuna gari ukiendesha unaonekana 'muhuni', inasikitisha sana

Kuna gari ukiendesha unaonekana 'muhuni', inasikitisha sana

Kama Alteza wahuni, hawa fuso tandam watakuwa kundi gani?
Ukute fuso 16 turbo lililopimpiwa moshi miruzi ya turbo ni kero madereva wanakuwa kama na wazimu hivi. Ukutane nalo usiku yale mataa ni kero tena hua wanakazia full. Speed zenyewe za ajabu kama wanawahi mbinguni.
Mengine hayana turbo wanachomelea filimbi kwenye exhaust sauti ya hapo ni kero.
Cabin limepigwa sticker kama daftari la mtoto wa chekechea
 
Ikiwa DV, DX, DY ndo mpyaaa[emoji1787][emoji1787]

Ukiwa na gari namba A iliyotunzwa, ikianza kuchoka choka unachomoa injini, gearbox na takataka zingine halafu unaagiza gari kama hilo hilo let say M18 used from Japan unahamisha madude mapya mule kwenye namba A halafu unatangaza kuziuza zote.

Namba A bei M15 Namba Dz sijui EA bei M13 najua tu wapenda namba mtainunua namba D na kuiacha namba A mtakuwa mmemnunulia namba A injini na geabox na makorokoro kwa M5.
Akili kubwa[emoji3]
 
A4 unyama tu
Kawaida sana! Mzigo huu hapa. Kambi popote

D069FF0B-B9D8-4F96-84A5-9560463CDAAF.jpeg
 
Back
Top Bottom