Kuna gari ukiendesha unaonekana 'muhuni', inasikitisha sana

Sasa mimi kukuuliza kama upo hai na wewe kusema nina roho za uzinzi kuna uhusiano kweli?

Yaani nikuulize kama upo hai na akili yako ikakuambia hapa ninachotakiwa ni kukemea uovu. Upo sawa kweli?
kwani wewe ni mzinzi au sio mzinzi?
 
Nawaonea huruma watu wenye miili mikubwa afu wana tugari tudogo.

Unakuta mtu ni mrefuu mwili huo bonge kweli, basi kapaki sehemu, kigari mpaka tail zimebonyea akishuka tu gari linarudi juu, ukija angalia vizuri unakuta alikuwemo mwenyewe dah.
ndio mana napenda Defender, ila ki ukweli sio kama nakufuru lakini sielewi kabisa mtu unaendaje kununua Passo,kamekaa kama yebo ya mtoto. tukisema watadai tunajikuta tuna pesa,mi sina pesa ila sitoendesha passo
 
Hapana bhachu Crown ni tamu na nyepesi. Hivi unataka Mzee wa miaka 65+ asukumane na LC au Hilux kweli. Kuna Mzee wa busara Namfahamu anaendesha zake Crown.
utawaweza watu, mimi mzee wangu alikuwa anaendesha Subaru, ila pia kuna ka ukweli kuhusu boda boda,hawa jamaa akili zao wengi ni finyu,kuna milio fulani kama baruti huwa wanatoa inashtua
 
utawaweza watu, mimi mzee wangu alikuwa anaendesha Subaru, ila pia kuna ka ukweli kuhusu boda boda,hawa jamaa akili zao wengi ni finyu,kuna milio fulani kama baruti huwa wanatoa inashtua
Wengi wao sio wote. Its obvious mzee akiendesha Crown au Subaru ataendesha tofauti na kijana wa early/mid 20s ambao ndio wengi wamiliki wa hizo gari.
 
Ndugu mnaowaponda hawa watu,kila mmoja aorodheshe gari anayomiliki,isije kuwa hata baisk ya mchina hamna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…