Kuna gari ukiendesha unaonekana 'muhuni', inasikitisha sana

Kama kumiliki IST na Crown ni Uhuni basi Wahuni ni wengi sana duniani akiwemo Papa wa Vatican na Prof Assad [emoji28][emoji28][emoji28]
 
my friend, ukikua, ukawa na familia kubwa kama sisi wenzako, majukumu ya kutosha kama sisi wenzako, utakuja kujifunza kwamba gari yeyote unayoibudu ni gari tu alimradi unarahisisha maisha yako. yote yanatumia mafuta, yote yanaweza kupata ajali, na yote yanaweza kukufikisha unakotaka kwenda. basi.
 
Dont be too emotional. Relax usije kufa kwa magonjwa yadiyoambukiza. Ushauri mwingine soma kitu ukielewe bila kuweka emotions zako.
 
Dont be too emotional. Relax usije kufa kwa magonjwa yadiyoambukiza. Ushauri mwingine soma kitu ukielewe bila kuweka emotions zako.
sifi leo wala kesho. ila nimejifunza kwenye maisha usikompliketi sana vitu. nakushauri furahia gari yeyote utakayobarikiwa nayo, na asiwepo mtu wa kukudharau kwasababu hajakununulia na hamuishi pamoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…