Kuna gari ukiendesha unaonekana 'muhuni', inasikitisha sana

Kuna gari ukiendesha unaonekana 'muhuni', inasikitisha sana

Yaani kuna gari ukiendesha hata kama Una busara zako unaonekana muhuni tu,hasa zikiwa zenye tinted ukishuka ndio unaona aah kumbe blaza!
Gari ambazo watu huzichukulia vibaya ni kama
Altezza,Subaru hasa Impreza na Forrester,Crown,IST kwa wenzetu SA VW Polo
Hapo kwenye Vw polo na Impreza za kuanzia 2011, unaipiga tinted full, Ahaha ukiachana na watu kukuchukulia muhuni pia lazima binafs uwe na chembechembe za kigang gang hv ndo inanoga
 
Acha picha iongee

Screenshot_20220205-122228-2.png
 
Back
Top Bottom