Kuna gari ukiendesha unaonekana 'muhuni', inasikitisha sana

Kuna gari ukiendesha unaonekana 'muhuni', inasikitisha sana

Gari za vijana hizo.
Gari ni gari tu binafsi napenda performance so kama kuna mtu anakuona mhuni au kijana ni upumbavu wake tu na maisha furahia ufanyacho

Hakuna gar ya Mzee, kijana wala ya kike gari ni gar tu sema bongo ndio tabia zetu kipindi kile zinaingia gar za automatic watu walikuwa wanasema gar za kike na walemavu lakin miaka hii story imechange kabisa kuwa teza,sub,ist, na gar zingine ni gari za wahuni
 
Back
Top Bottom