nandengele
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 689
- 805
Mkuu hili taifa lina shida ya unafiki na majungu ni mengi mno kuliko uhalisia wa mamboWabongo ndivyo walivyo. Hata kwenye huu uzi 99.9% hawana hata Pikipiki[emoji1787][emoji1787]
Please watafutaji msiwasikilize hao wajinga wajinga tafuteni pesa nunua kitu chochote ambacho binafsi kinakupa furaha
Haiwezekani nadrive then nikufuatishe wewe na mwendo wako kila mtu na maisha yake na ratiba yake sasa nikikupita haijalishi gari gani usiseme kwamba ni kijana au mhuni bali ni kila mtu aishi maisha yake
Hii tabia sio kwa gari ndogo tu hata hizi range, Toyota vx na zingine eti akikupita unaanza kubana au kusema jamaa wanaringa sana kumbe mtu ana ratiba yake na size ya gari yake inamruhusu kufanya hivyo sasa shida ipo wapi