Kuna gari ukiendesha unaonekana 'muhuni', inasikitisha sana

Kuna gari ukiendesha unaonekana 'muhuni', inasikitisha sana

Yaani kuna gari ukiendesha hata kama Una busara zako unaonekana muhuni tu,hasa zikiwa zenye tinted ukishuka ndio unaona aah kumbe blaza!
Gari ambazo watu huzichukulia vibaya ni kama
Altezza,Subaru hasa Impreza na Forrester,Crown,IST kwa wenzetu SA VW Polo
Mbaya zaidi ukute umefunga hizi rim..😄😄

20220206_123858.jpg
 
Wivu tu...
Anayemiliki subaru ndo mwanaume sasa...lkn sio viforester vyenu.
Subaru ya maana wrx, sti ,gc8, n12 na makolokocho mengine ya maana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
ALTEZA mxieeew. Kuna maza alikua anaendesha posta mitaa ya chuo kwetu anatuletea miguini aisee mitaa ya TANESCO. nikamwuliza kama gari lake ama la mumewe. Akaniuliza kwani vipi nikamjibu acha kuendesha magari ya wavulana. Mxieew kabisa. Aletza watengwe.. makelele tu.

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom