Kuna gari ukiendesha unaonekana 'muhuni', inasikitisha sana

Kuna gari ukiendesha unaonekana 'muhuni', inasikitisha sana

Gari ni gari tu binafsi napenda performance so kama kuna mtu anakuona mhuni au kijana ni upumbavu wake tu na maisha furahia ufanyacho

Hakuna gar ya Mzee, kijana wala ya kike gari ni gar tu sema bongo ndio tabia zetu kipindi kile zinaingia gar za automatic watu walikuwa wanasema gar za kike na walemavu lakin miaka hii story imechange kabisa kuwa teza,sub,ist, na gar zingine ni gari za wahuni

Bongo bado kuna washamba wengi kamanda 🤣🤣 watu wana kazi ya kufatilia maisha ya mtu
 
Hiyo sio mbaya naipenda pia. Ila hawa wa altezza nakubali ni wahuni tu
Yani hao waendesha subaru ukiwapita tuu basi wao wanataka mshindane...🤣🤣🤣🤣 pia ja hizo WRX, GC8 na n12 je zipo zenye usajili wa DV,DX,DY ama ndo zile za DD, DA, ?🤣🤣🤣🤣
 
sifi leo wala kesho. ila nimejifunza kwenye maisha usikompliketi sana vitu. nakushauri furahia gari yeyote utakayobarikiwa nayo, na asiwepo mtu wa kukudharau kwasababu hajakununulia na hamuishi pamoja.
Mkuu mambo ya mtandaoni ni kuyasoma na kuyapuuza tu, watanzania wa mitandaoni wamejawa na wivu, ujuaji, roho mbaya, majivuno na tabia mbaya zote unazijua wewe😂😂 so mitandaoni ndio sehem ya kumalizia stress zao. Ikitokea tu mtu kanyimwa lift huko mtaan alaf hyo aliyemnyima lift alikuwa ana IST basi utegemee IST itasemwa sana siku hyo itapewa majina mabaya yote😂😂😂😂
 
Yani hao waendesha subaru ukiwapita tuu basi wao wanataka mshindane...🤣🤣🤣🤣 pia ja hizo WRX, GC8 na n12 je zipo zenye usajili wa DV,DX,DY ama ndo zile za DD, DA, ?🤣🤣🤣🤣
Nyingi sio namba D. Zipo za namba A lkn bado zipo vizuri. Uimara wa gari ni matunzo.
 
Yaani kuna gari ukiendesha hata kama Una busara zako unaonekana muhuni tu,hasa zikiwa zenye tinted ukishuka ndio unaona aah kumbe blaza!
Gari ambazo watu huzichukulia vibaya ni kama
Altezza,Subaru hasa Impreza na Forrester,Crown,IST kwa wenzetu SA VW Polo
Hata tako la nyani kaka...unaonekana wa kidimbwi yan
 
Yaani kuna gari ukiendesha hata kama Una busara zako unaonekana muhuni tu,hasa zikiwa zenye tinted ukishuka ndio unaona aah kumbe blaza!
Gari ambazo watu huzichukulia vibaya ni kama
Altezza,Subaru hasa Impreza na Forrester,Crown,IST kwa wenzetu SA VW Polo
Inferiority Complex ni Ugonjwa Mkubwa sanaa. Wengi wanaofikiria hivyo jata Pikipiki Boxer hawana. Waswahili tuna Shida Sanaa.
 
Gari ni gari tu binafsi napenda performance so kama kuna mtu anakuona mhuni au kijana ni upumbavu wake tu na maisha furahia ufanyacho

Hakuna gar ya Mzee, kijana wala ya kike gari ni gar tu sema bongo ndio tabia zetu kipindi kile zinaingia gar za automatic watu walikuwa wanasema gar za kike na walemavu lakin miaka hii story imechange kabisa kuwa teza,sub,ist, na gar zingine ni gari za wahuni
Wabongo ndivyo walivyo. Hata kwenye huu uzi 99.9% hawana hata Pikipiki🤣🤣
 
Yani hao waendesha subaru ukiwapita tuu basi wao wanataka mshindane...🤣🤣🤣🤣 pia ja hizo WRX, GC8 na n12 je zipo zenye usajili wa DV,DX,DY ama ndo zile za DD, DA, ?🤣🤣🤣🤣
Ikiwa DV, DX, DY ndo mpyaaa🤣🤣

Ukiwa na gari namba A iliyotunzwa, ikianza kuchoka choka unachomoa injini, gearbox na takataka zingine halafu unaagiza gari kama hilo hilo let say M18 used from Japan unahamisha madude mapya mule kwenye namba A halafu unatangaza kuziuza zote.

Namba A bei M15 Namba Dz sijui EA bei M13 najua tu wapenda namba mtainunua namba D na kuiacha namba A mtakuwa mmemnunulia namba A injini na geabox na makorokoro kwa M5.
 
Back
Top Bottom