GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
-
- #21
Kwanini huwa mnasifika / wanasifika sana kwa Uroho ( Umelo ) uliotukuka?Haki na usawa ni ile kufuata utaratibu aliojipangia mtoa msaada. Huwezi weka hisia zako unazoona ndio usawa wakati mtoa msaada ndiye mwenye maamuzi. Hata akiamua kumpa vyote mtu mmoja wala hutakiwi kulalama.
Kina nani wanasifika kwa hayo uliyoyasema..!??Kwanini huwa mnasifika / wanasifika sana kwa Uroho ( Umelo ) uliotukuka?
Na ndiyo maana tunatunukiwa Tuzo, tunajulikana hadi na Viongozi na mpaka Pesa ( kama Zawadi ) tunapewa vile vile.Kuna watu mnaishi ili mfungue uzi JF.
viumbe wa mnyaaazi mungu.. wao na ubeche kama mapachaNi Waroho ( Wamelo ) hadi Wanaboa.
Bong'oa Dua Team.Kina nani wanasifika kwa hayo uliyoyasema..!??
Sasa kama aliyekuleta duniani anaburudika nami Kibaiolojia hadi kunilipa Ujira wangu kwa Kazi yangu Tukuka Kwake huko siko kufanya Kazi?Unaacha kufanya kazi unajikuta kwenye umbea mwanamume😅😅
Ili iweje! Ubalozi si muhimu, muhimu ni kifurushi, hivi sasa gari linaelekea upande gani? Vipi kwa mbsli naweza kulitambua!nafatilia nijue ni ubalozi wa nchi gani hiyo walioamua kutoa sadka kwa wahitaji
Wanakuletea wewe punga kafiri mjaa laani mtoto wa zinaa ili ubanjuliwe kisawasawa,hao si ndio wa upande wenu huko au unajizima data choko?Wanakuletea wewe shoga usipate ukimwi
ongezea na za palestina, morocco na kuwait hizo zinaweza kutoa sadka kwa wenzao katika imaan ya mnyaaziNaomba kujua namba za Ubalozi wa Uturuki, Yemen, Oman na Saudi Arabia tafadhali.
condom hazigawiwi mitaani kama njugu, utazikuta hospitalini kliniki za afya ya uzazi. Za kununua zipo famasi. Nchi za LGBTQ wana utaratibu wa kugawa, hawagawi mitaaniNa kungekua na Condom ingekua ni moja ya balozi za nchi za LGBTQ.
Hiyo ( Hii ) paragraph yako ya mwisho imenifanya Nicheke mpaka basi. JamiiForums raha mno.Kipindi fulani nilikua nafanya kazi bandarini Dar. Pale Kuna ma shed mengi kuanzia shed number moja Hadi namba 8 lkn pia Kuna MP shed, BPD, LW9 n.k.
Mimi nilikua MP shed na pale ndio walipokua wanapokelea nyama ya mbuzi ya Bakwata kutoka uarabuni ikija kwa meli maalum. Waislamu wa Bakwata sio watu wabaya, wakija kuchukua nyama Yao na sisi wafanyakazi wa bandari tunaambulia kilo tano au zaidi.
Baasi bwana, kipindi kile Mimi Ni senior bachelor nakaa nyumba ya kupanga. Kipindi kile hakuna eti apartment self, kulikua hakuna huo ujinga. Ilikua nyumba ya vyumba sita, korido katikati uani Kuna jiko mabafu na chumba kimoja au viwili.
Mimi nilikua nakaa chumba Cha ndani. Mwenye nyumba chumba Cha mbele. Kuna siku nilipewa nyama nyingi tu na ndugu zangu wa Bakwata, na Mimi kufika nyumbani nikaamua kuwagawia wake za wapangaji wenzangu kwani Mimi nisingeweza kuila yote na hata friji Sina kipindi kile.
Eebwanae, Kuna mwamba alirudi akakuta mke wake amepika Ile nyama na kujiunga kwa Nazi na wali wa nguvu.
Swali la kwanza la jamaa kwa mkewe Ni NYAMA TAMU NAMNA HII UMEITOA WAP?Alipoambiwa imetoka kwangu, siku tatu nyingi. Jamaa alihama Ile nyumba.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kipindi fulani nilikua nafanya kazi bandarini Dar. Pale Kuna ma shed mengi kuanzia shed number moja Hadi namba 8 lkn pia Kuna MP shed, BPD, LW9 n.k.
Mimi nilikua MP shed na pale ndio walipokua wanapokelea nyama ya mbuzi ya Bakwata kutoka uarabuni ikija kwa meli maalum. Waislamu wa Bakwata sio watu wabaya, wakija kuchukua nyama Yao na sisi wafanyakazi wa bandari tunaambulia kilo tano au zaidi.
Baasi bwana, kipindi kile Mimi Ni senior bachelor nakaa nyumba ya kupanga. Kipindi kile hakuna eti apartment self, kulikua hakuna huo ujinga. Ilikua nyumba ya vyumba sita, korido katikati uani Kuna jiko mabafu na chumba kimoja au viwili.
Mimi nilikua nakaa chumba Cha ndani. Mwenye nyumba chumba Cha mbele. Kuna siku nilipewa nyama nyingi tu na ndugu zangu wa Bakwata, na Mimi kufika nyumbani nikaamua kuwagawia wake za wapangaji wenzangu kwani Mimi nisingeweza kuila yote na hata friji Sina kipindi kile.
Eebwanae, Kuna mwamba alirudi akakuta mke wake amepika Ile nyama na kujiunga kwa Nazi na wali wa nguvu.
Swali la kwanza la jamaa kwa mkewe Ni NYAMA TAMU NAMNA HII UMEITOA WAP?Alipoambiwa imetoka kwangu, siku tatu nyingi. Jamaa alihama Ile nyumba.
We kanywe mvinyo huko, mambo yetu ya pilau na sharubati hayakuhusuZinasambazwa na Gari za Ubalozi wenye namba 255 sijajua ni Ubalozi wa Taifa gani.
Vilivyomo ndani ya Vifurushi Zawadi hivyo (ambavyo GENTAMYCINE nimechungulia Kiuwizi Uwizi ) ni Mchele, Unga, Sukari, Mafuta ya Kupikia, Milo, Siagi, Chumvi na Juice Mchanganyiko.
Japo Mimi ni Mkristo (tena wa Dhehebu Kinara la Katoliki) jukumu langu Kuu kuanzia sasa ni kuangalia kama Vifurushi Zawadi hizi zitagawiwa kwa Haki na Usawa.
Na vilainishi hua mnapewa mkiwa wapi?condom hazigawiwi mitaani kama njugu, utazikuta hospitalini kliniki za afya ya uzazi. Za kununua zipo famasi. Nchi za LGBTQ wana utaratibu wa kugawa, hawagawi mitaani
Ukitaka kumrubuni mtu wa mnyaaz kirahisi gawa bure bila malipo Mchele, nyama yoyote Ile Ila muambie Ni ya kondoo to uarabuni, mafuta ya kupikia na Azam cola.