Kuna genge lenye roho mbaya ndani ya CCM

Administer

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2020
Posts
1,271
Reaction score
1,604
Hili genge lenye roho mbaya dhidi ya Serikali ya sasa kila mtu mwenye akili timamu analijua. Wamejawa na uchu wa madaraka, rushwa na upendeleo.

Ni ndumi la kuwili, wana ndimi mbili ni watu wa hatari sana. Wengine wamejificha wamekaa kimya kumbe wanawaunga mko waliojitoa mhanga kujitokeza.

Hili ni genge la kihaini haiwezekani wewe umo kwenye serikali hiyo hiyo unapingana nayo hadharani.Ni heri ya wapinzani kutoka vyama vingine kuliko kuliko upinzani wa kupinga serikali yako inayotokona na chama chako ni unafiki wa hali ya juu
 
Hili genge lenye roho mbaya dhidi ya Serikali ya sasa kila mtu mwenye akili timamu analijua.Wamejawa na uchu wa madaraka,rushwa na upendeleo.Ni ndumi la kuwili,wana ndimi mbili ni watu wa hatari sana.Wengine wamejificha wamekaa kimya kumbe wanawaunga mko waliojitoa mhanga kujitokeza.Hili ni genge la kihaini haiwezekani wewe umo kwenye serikali hiyo hiyo unapingana nayo hadharani.Ni heri ya wapinzani kutoka vyama vingine kuliko kuliko upinzani wa kupinga serikali yako inayotokona na chama chako ni unafiki wa hali ya juu
Tunahtaji Uhuru wa mawazo , alaf Bunge ni mhimili , ni jukumu la mkuu wa Bunge kwenda against na serikali Kwa maslahi mapana ya Taifa ....Twende na ndugai 2025
 
Hili genge lenye roho mbaya dhidi ya Serikali ya sasa kila mtu mwenye akili timamu analijua.Wamejawa na uchu wa madaraka,rushwa na upendeleo.Ni ndumi la kuwili,wana ndimi mbili ni watu wa hatari sana.Wengine wamejificha wamekaa kimya kumbe wanawaunga mko waliojitoa mhanga kujitokeza.Hili ni genge la kihaini haiwezekani wewe umo kwenye serikali hiyo hiyo unapingana nayo hadharani.Ni heri ya wapinzani kutoka vyama vingine kuliko kuliko upinzani wa kupinga serikali yako inayotokona na chama chako ni unafiki wa hali ya juu
Ukiona hivyo wameshafitinika Kwa maovu Yao. 🤔
 
Mnajiungamanisha na dola na serikali ili kulinda maslahi yenu huku mkisigina haki za watu wengine.

Kukosolewa hamtaki. na kila anaywakosoa mnamdhikisha hata kiasi cha kusema "auliwe".

Hakuna asiyejua kwamba CCm ina uchu wa madaraka siopimika na ndiyo sababu mnafanya matendo ya ugaidi, ilimradi mtawale.

Hata hivyo, hao unaowatiwa wana roho mbaya, n aona wako upande wa Watanzania na ndio wanaopinga ufisadi.
Kama genge lako linaroho nzuri, na halina uroho wa madaraka, kwa nini halitaki kusikiliza malalamiko ya upande huo mwingine?
 
Hili genge lenye roho mbaya dhidi ya Serikali ya sasa kila mtu mwenye akili timamu analijua.Wamejawa na uchu wa madaraka,rushwa na upendeleo.Ni ndumi la kuwili,wana ndimi mbili ni watu wa hatari sana.Wengine wamejificha wamekaa kimya kumbe wanawaunga mko waliojitoa mhanga kujitokeza.Hili ni genge la kihaini haiwezekani wewe umo kwenye serikali hiyo hiyo unapingana nayo hadharani.Ni heri ya wapinzani kutoka vyama vingine kuliko kuliko upinzani wa kupinga serikali yako inayotokona na chama chako ni unafiki wa hali ya juu
Sasa tukusaidieje boss wacha mtoane macho kama alivyofanya scorpion.
 
Hili genge lenye roho mbaya dhidi ya Serikali ya sasa kila mtu mwenye akili timamu analijua.Wamejawa na uchu wa madaraka,rushwa na upendeleo.Ni ndumi la kuwili,wana ndimi mbili ni watu wa hatari sana.Wengine wamejificha wamekaa kimya kumbe wanawaunga mko waliojitoa mhanga kujitokeza.Hili ni genge la kihaini haiwezekani wewe umo kwenye serikali hiyo hiyo unapingana nayo hadharani.Ni heri ya wapinzani kutoka vyama vingine kuliko kuliko upinzani wa kupinga serikali yako inayotokona na chama chako ni unafiki wa hali ya juu
hao ni kenge maji,watamalizwa tu
 
Ccm Ukoo Wa Panya;
 
Hapo ndipo unapokosea. Kuwa ccm siyo kuwa ndani ya serikali. Tofautisheni sana haya mambo ili muwe huru.
kweli kabisa. Sema mkuu ni mmoja i.e. chama na serikali, Hivyo hutuwia vigumu kutofautisha kwa haraka haraka
 
Hili genge lenye roho mbaya dhidi ya Serikali ya sasa kila mtu mwenye akili timamu analijua.Wamejawa na uchu wa madaraka,rushwa na upendeleo.Ni ndumi la kuwili,wana ndimi mbili ni watu wa hatari sana.Wengine wamejificha wamekaa kimya kumbe wanawaunga mko waliojitoa mhanga kujitokeza.Hili ni genge la kihaini haiwezekani wewe umo kwenye serikali hiyo hiyo unapingana nayo hadharani.Ni heri ya wapinzani kutoka vyama vingine kuliko kuliko upinzani wa kupinga serikali yako inayotokona na chama chako ni unafiki wa hali ya juu
Wewe ndio mnafiki na uzi wako wakinafiki..kwahiyo hata kama chama kinafanya maovu waliomo ndani ya chama hawapaswi kusema au kukemea..hii nguruwe ya wapi hii.

#MaendeleoHayanaChama
 
Hili genge lenye roho mbaya dhidi ya Serikali ya sasa kila mtu mwenye akili timamu analijua. Wamejawa na uchu wa madaraka, rushwa na upendeleo.

Ni ndumi la kuwili, wana ndimi mbili ni watu wa hatari sana. Wengine wamejificha wamekaa kimya kumbe wanawaunga mko waliojitoa mhanga kujitokeza.

Hili ni genge la kihaini haiwezekani wewe umo kwenye serikali hiyo hiyo unapingana nayo hadharani.Ni heri ya wapinzani kutoka vyama vingine kuliko kuliko upinzani wa kupinga serikali yako inayotokona na chama chako ni unafiki wa hali ya juu
Nafikiri kila mmoja ana haki ya kufikiri aonavyo yeye pasipo kumuathiri mwingine katika hoja zinalolihusu taifa. Tatizo kubwa ni kumuona mwenye mawazo mbadala kama msaliti! Kamwe haitawezekana wote kua na mawazo yanayofanana. TUVUMILIANE
 
kuimba kupokezana, mlipowafanyia haya wapinzania mlichekelea sasa zamu yenu kuugulia vumilieni
 
Kipin
Wewe ndio mnafiki na uzi wako wakinafiki..kwahiyo hata kama chama kinafanya maovu waliomo ndani ya chama hawapaswi kusema au kukemea..hii nguruwe ya wapi hii.

#MaendeleoHayanaChama
Kipindi cha Magu mbona mliufyata?double standard
 
Back
Top Bottom