We unayemuunga mkono ndugai ni mwehu vile vile huyo ndugai kama ni msema kweli mbona hakusema kuhusu deni la taifa wakati magufuli akiwa hai??
Kaa ukijua tu kwamba SSH alipoingia madarakani alishakuta deni la taifa ni trilioni 68 yaan ni karibia kabisa 70, mbona alikaa kimya kipindi chote?
Magufuli ndiye rais aliyekopa sana pengine kuliko wote maana wakat pia anachukua nchi deni lilikuwa trilion 40 tu anaondoka akiw ameongeza zaid ya trilion 20 tena kwa miaka 5[emoji35][emoji35]
Hivyo ndugai kama kichwa yake ipo sawa alipaswa aongee kipind kile mzee "mtemi" akiwa hai, kuongea ongea sasa ni kutuvurugia utawala na makelele yake....!
N.B
Magufuli alikopa sana ila sema utawala wake ulijaa kupumbaza watu ktk vitu vingi hata vya msingi ilikuw ni kuficha ficha tu, tumedanganywa san kuhus kutumia mapato ya ndani wakat hali halis haikuw hivyo!