Administer
JF-Expert Member
- Feb 9, 2020
- 1,271
- 1,604
Tunahtaji Uhuru wa mawazo , alaf Bunge ni mhimili , ni jukumu la mkuu wa Bunge kwenda against na serikali Kwa maslahi mapana ya Taifa ....Twende na ndugai 2025Hili genge lenye roho mbaya dhidi ya Serikali ya sasa kila mtu mwenye akili timamu analijua.Wamejawa na uchu wa madaraka,rushwa na upendeleo.Ni ndumi la kuwili,wana ndimi mbili ni watu wa hatari sana.Wengine wamejificha wamekaa kimya kumbe wanawaunga mko waliojitoa mhanga kujitokeza.Hili ni genge la kihaini haiwezekani wewe umo kwenye serikali hiyo hiyo unapingana nayo hadharani.Ni heri ya wapinzani kutoka vyama vingine kuliko kuliko upinzani wa kupinga serikali yako inayotokona na chama chako ni unafiki wa hali ya juu
Ukiona hivyo wameshafitinika Kwa maovu Yao. 🤔Hili genge lenye roho mbaya dhidi ya Serikali ya sasa kila mtu mwenye akili timamu analijua.Wamejawa na uchu wa madaraka,rushwa na upendeleo.Ni ndumi la kuwili,wana ndimi mbili ni watu wa hatari sana.Wengine wamejificha wamekaa kimya kumbe wanawaunga mko waliojitoa mhanga kujitokeza.Hili ni genge la kihaini haiwezekani wewe umo kwenye serikali hiyo hiyo unapingana nayo hadharani.Ni heri ya wapinzani kutoka vyama vingine kuliko kuliko upinzani wa kupinga serikali yako inayotokona na chama chako ni unafiki wa hali ya juu
Swali ni je kwanini Leo, au unaa wenye maslahi kwa mhusika?Tunahtaji Uhuru wa mawazo , alaf Bunge ni mhimili , ni jukumu la mkuu wa Bunge kwenda against na serikali Kwa maslahi mapana ya Taifa ....Twende na ndugai 2025
Sasa tukusaidieje boss wacha mtoane macho kama alivyofanya scorpion.Hili genge lenye roho mbaya dhidi ya Serikali ya sasa kila mtu mwenye akili timamu analijua.Wamejawa na uchu wa madaraka,rushwa na upendeleo.Ni ndumi la kuwili,wana ndimi mbili ni watu wa hatari sana.Wengine wamejificha wamekaa kimya kumbe wanawaunga mko waliojitoa mhanga kujitokeza.Hili ni genge la kihaini haiwezekani wewe umo kwenye serikali hiyo hiyo unapingana nayo hadharani.Ni heri ya wapinzani kutoka vyama vingine kuliko kuliko upinzani wa kupinga serikali yako inayotokona na chama chako ni unafiki wa hali ya juu
Wanajiita kuwa chama kimeshika hatamu maneno ya hovyo waliyo kuwa wanazungumza enzi za ukoloni.Hapo ndipo unapokosea. Kuwa ccm siyo kuwa ndani ya serikali. Tofautisheni sana haya mambo ili muwe huru.
Kuna watu walishajitangaza tena bungeni kuwa wana mafaili yao mirembeKitengo cha kupima afya ya akili kifungue tawi BUNGENI
hao ni kenge maji,watamalizwa tuHili genge lenye roho mbaya dhidi ya Serikali ya sasa kila mtu mwenye akili timamu analijua.Wamejawa na uchu wa madaraka,rushwa na upendeleo.Ni ndumi la kuwili,wana ndimi mbili ni watu wa hatari sana.Wengine wamejificha wamekaa kimya kumbe wanawaunga mko waliojitoa mhanga kujitokeza.Hili ni genge la kihaini haiwezekani wewe umo kwenye serikali hiyo hiyo unapingana nayo hadharani.Ni heri ya wapinzani kutoka vyama vingine kuliko kuliko upinzani wa kupinga serikali yako inayotokona na chama chako ni unafiki wa hali ya juu
Hili genge lenye roho mbaya dhidi ya Serikali ya sasa kila mtu mwenye akili timamu analijua.Wamejawa na uchu wa madaraka,rushwa na upendeleo.Ni ndumi la kuwili,wana ndimi mbili ni watu wa hatari sana.Wengine wamejificha wamekaa kimya kumbe wanawaunga mko waliojitoa mhanga kujitokeza.Hili ni genge la kihaini haiwezekani wewe umo kwenye serikali hiyo hiyo unapingana nayo hadharani.Ni heri ya wapinzani kutoka vyama vingine kuliko kuliko upinzani wa kupinga serikali yako inayotokona na chama chako ni unafiki wa hali ya juu
kweli kabisa. Sema mkuu ni mmoja i.e. chama na serikali, Hivyo hutuwia vigumu kutofautisha kwa haraka harakaHapo ndipo unapokosea. Kuwa ccm siyo kuwa ndani ya serikali. Tofautisheni sana haya mambo ili muwe huru.
Wewe ndio mnafiki na uzi wako wakinafiki..kwahiyo hata kama chama kinafanya maovu waliomo ndani ya chama hawapaswi kusema au kukemea..hii nguruwe ya wapi hii.Hili genge lenye roho mbaya dhidi ya Serikali ya sasa kila mtu mwenye akili timamu analijua.Wamejawa na uchu wa madaraka,rushwa na upendeleo.Ni ndumi la kuwili,wana ndimi mbili ni watu wa hatari sana.Wengine wamejificha wamekaa kimya kumbe wanawaunga mko waliojitoa mhanga kujitokeza.Hili ni genge la kihaini haiwezekani wewe umo kwenye serikali hiyo hiyo unapingana nayo hadharani.Ni heri ya wapinzani kutoka vyama vingine kuliko kuliko upinzani wa kupinga serikali yako inayotokona na chama chako ni unafiki wa hali ya juu
Nafikiri kila mmoja ana haki ya kufikiri aonavyo yeye pasipo kumuathiri mwingine katika hoja zinalolihusu taifa. Tatizo kubwa ni kumuona mwenye mawazo mbadala kama msaliti! Kamwe haitawezekana wote kua na mawazo yanayofanana. TUVUMILIANEHili genge lenye roho mbaya dhidi ya Serikali ya sasa kila mtu mwenye akili timamu analijua. Wamejawa na uchu wa madaraka, rushwa na upendeleo.
Ni ndumi la kuwili, wana ndimi mbili ni watu wa hatari sana. Wengine wamejificha wamekaa kimya kumbe wanawaunga mko waliojitoa mhanga kujitokeza.
Hili ni genge la kihaini haiwezekani wewe umo kwenye serikali hiyo hiyo unapingana nayo hadharani.Ni heri ya wapinzani kutoka vyama vingine kuliko kuliko upinzani wa kupinga serikali yako inayotokona na chama chako ni unafiki wa hali ya juu
Kipindi cha Magu mbona mliufyata?double standardWewe ndio mnafiki na uzi wako wakinafiki..kwahiyo hata kama chama kinafanya maovu waliomo ndani ya chama hawapaswi kusema au kukemea..hii nguruwe ya wapi hii.
#MaendeleoHayanaChama