Kuna genge limejipanga kuharibu kwa makusudi sifa na hadhi ya Rais Samia

Adui wa mtu ni yeye Mwenye, asitafute mchawi, MKATABA ni mbovu MKATABA wa milele kweli. Alisaini vipi bila kusoma mkataba. Tusisigizie wasaka Urais Kama njia ya kumtoa kwenye makosa.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Mkataba ni issue separrate , la msingi suala la maadili mtandaoni ni suala nyeti sana , yaan mla haramu ana kemea haramu haiwezekani watu wataona serikali haiko serious
 
binafsi just to make things clear ,sina shida na bandari , infact niko in favor na issue ya bandari ,lakini kutumia sheria za nchi kukandamiza baadhi ya watu sio sawa, Nape hajawahi kuomba radhi kwa makosa ya kimtandao ambayo ameshayafanya ama kuya commit tena kwa ushahidi.
Hawa wakina Lissu na wenzake waachwe , au waziri anayekemea haya asiwe Nape
 
Ccm wenyewe ni genge la majizi,na mafisadi,sasa kama kuna gennge linaloshambulia ccm na samia,ni sawa tu,maanq wote ni magenge ya waporaji,majizi,mafisadi.
Tufikiri kidogo nje ya boksi,"una Jeshi,polisi,usalama wa taifa,na machawa kibao,inakuaje unashindwa kijitetea,bunge lako,mhqkqmq zako,hata jera zako,
Sasa unaogopaje genre la kukusema vibaya,
 
Pamoja na vitabu vitakatifu kumkataza mwanamke asiwe kiongozi mkuu wa nchi. ila ni ukweli huyu mwanamke hana uwezo wa kuongoza nchi
 
Mkataba ni issue separrate , la msingi suala la maadili mtandaoni ni suala nyeti sana , yaan mla haramu ana kemea haramu haiwezekani watu wataona serikali haiko serious
Kwako, "issue", ni wasaka Urais, sawa.

Urais ni madaraka ya juu kabisa katika siasa kwa sababu yanaandamana na mamlaka makubwa ya Serikali, Kikatiba. Katika ukweli huo, je, kuna mwanasiasa yeyote duniani asiye na dhamira ya kuwa Rais?

Kwa sababu, hiyo, mwanasiasa yeyote, mwenye madaraka, akiteleza kwa makusudi, bahati mbaya au kwa mizengwe, hutoa nafasi ya madaraka hayo kupokwa.

HIYO NDIO SIASA - seek for Political Power, by all "Means" to an "End"
 
Wasake madaraka lakini kwa level ya kuhujumu nchi kisa madarka hapana mkuu
 
Samia anaharibu mwenyewe hadhi na sifa yake kwa kuhamasisha ufisadi kwenye serikali yake
Your browser is not able to display this video.
 
Nimesoma title tu, ila hao watakua ni hao wanaomsifia kwa kila kitu
 
NOTE: Rais anamtaka Polepole arudi awe mwenezi genge liko tayari kufanya chochote pole pole asiwe karibu na Rais
Ukiona mtu anatoa hoja za ajabu ajabu kama hii, ujue huyo hajui kitu!. Laiti ungelijua kwanini aliondolewa kwenye uenezi na baada ya kuondolewa uenezi alifanya nini, na alipanga kufanya nini, ikabidi aondolewe nchini, usingethubutu kusema Mama anamtaka!. Kwani CCM haina watu?.
Acha hizi spinning!.
P
 
 
Na hilo genge analilea yy mwenyewe na liko humo humo CCM na lina nyadhifa kubwa na yy mwenyewe amelipa nyadhifa hizo kumbe basi tusema SAMIA ATAJIMALIZA MWENYEWE.MWENYEKITI MZIMA UNASUMBULIWA NA GENGE LINALOJULIKANA Alafu likikuangusha uanze kuwalilia watu.Kazi kwake SAMIA SULUHU HASSAN.
 

Pascal Mayalla
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…