Kuna genge limejipanga kuharibu kwa makusudi sifa na hadhi ya Rais Samia

Unatetea ujinga unasema hakuwa kuwa na Genge kwenye chama,Lile Genge la msoga umelisahau si la huyu Mama?
weka ushahidi wako na kama lile genge lake basi wale wananguvu kuliko genge lolote unalolijuwa.
 
Kwenye Siasa , " Hakuna kinachotokea kwa bahati mbaya " everything is planned .

Think about this ,
Soko la kariakoo wafanya biashara wameandamana, mkataba wa bandari umuvujishwa kwa mbwembwe na tayari kila kona kuna watu wamepangwa kuushambulia , ghafla mkataba hauongelewi maada inageuka kua Rais hana uwezo, Rais hatoshi , etc.

I need to let you know this piece of classified information kwa kua imebidi niwamegee kidogo.

Agenda sio bandari hata kidogo , agenda ni Urais 2025. Kuna siku Chalamila akiwa Kagera aliwahi kusema kuna mawaziri wamesafiri kwenda nchi za nje kusaka fund za kuusaka uraisi, kuna watu walihisi Chalamila ameropoka.

Twende mdogo mdogo sasa, Mwezi August mwaka 2022 , waziri mmoja mwenye mafungamano na Kigogo aliunda rasmi genge la kuusaka uraisi na kila mtu kwenye taasisi nyeti serikalini za kiusalama na maamuzi magumu anajua hili ninalolisema, Rais analijua hili kundi, na ni kundi ambalo liko tayari hata kuuwa ukisimama kwenye njia yao, it is a gang within the Government.

Genge hili lina watu nyeti na viongozi waandamizi wengi ambao baadhi ni reject wa serikali iliyopo sasa.
Kama mnakumbuka, Rais samia ameanza kuwarudisha serikalini viongozi kadhaa waliowahi kuhudumu enzi za Rais Magufuli, Rais Samia hapo kabla aliaminishwa kua yeyote aliyetumika na RAIS Magufuli alikuwa anamtakia mabaya.

Till late last year Rais Samia akafanikiwa kujua Rangi za aliohisi wako naye kumbe wanatafuta kumamliza na kuchukua Urais kijanja na kwa usmart sana.

Genge hili lilifahamu Rais Samia ameshajua mipango yao , na kati ya mipango ya Rais Samia ilikuwa Berndard Membe aje awe mgombea Mwenza 2025. Genge lilichukia sana na kuona kua Membe angekuwa na smooth passage ya kuwa Rais 2030 Baada ya RAIS Samia.

Vita ikaanza Rasmi na genge hilo likaapa kumpigisha ajali kwa kila atakachofanya Rais Samia. Ni kwa sababu baadhi ya mambo ni classfied na yana NDA (Non disclosure Agreement ). Vinginevyo mkataba ambao hata sio wa milele ungewekwa hadharani. Kwanini mkataba hauwekwi hadharani wa badari?

Kampuni inayotaka kuingia ubia na Serikali ya Tanzania ina biashara sehemu zingine Duniani, kuweka wazi mkataba ambao una NDA ni kuharibu biashara yao maeneo mengine na sio ethics za biashara pia.

Genge hili baada ya kujua mkataba una NDA, wakaona Rais hawezi kuutoa hadharani, hivyo hata wakitunga duration ya mkataba hataweza kukataa wala kuutoa hadharani.

Nini kimeandaliwa Rasmi na genge hili kwa sasa. Watu hawa wakiongozwa na waziri ambaye kwa mambo yalipofika anaweza kutenguliwa rasmi, wanalipa watu kumtukana Rais ili waue brand kabisa.

Fikiria hadi Mange Kimambi amebadilika kutoka kuongelea Mkataba sasa nafanya personal attacks kwa Rais, hawaongelei tena Mkataba wala wanasheria waliohusika kunegotiate , the target ni Rais wa nchi . Mange Kimambi amelipwa kwa njia ya Bitcoin fedha zenye thamani ya 800 Million za kitanzania. From last Month na aliambiwa asubiri assignement, this is the clear assigment .

Huyu mnayemwona Kigogo kama anamtetea Rais, don't buy it , it is a set up, atapinduka soon na ataanza kumchafua Rais very soon, it is a strategic movement.

Hawa watu wako serious sana, wanalipa pesa nyingi sana kuusaka urais sio wa 2030 ni wa 2025.

Ni majangili haya, na kama hamuamini in less than a week to come anaweza kufariki mtu muhimu sana mmoja.

I'm telling you this sio kwa sababu sijui kwamba Bandari ni muhimu, sio kwa sababu nasupport waarabu wapewe bandari hapana, the agenda is not about Bandari get your third eye and see.

Tulimpoteza Rais Magufuli japokua na watu walifurahia lakini nawaambia, kama watanzania watazinunua hizi siasa zinazoendelea tutakuwa na Rais wa nchi ambaye ni Magufuli Reject Pro.

Bahati mabaya sana, baada ya miezi zaidi ya miwili watu hua wanarejea maandiko haya na kusema kumbe ilikuwa kweli.

Kwa viongozi wa Upinzani wengi wanacheza ngoma isiyowahusu wanakoleza moto usio na manufaa kwao.

Genge hili limeanza kupita kwa maaskofu na baadhi ya wanaojiita manabii kumpaka matope RAIS Samia kua anataka kuiingiza nchi kwenye OIC (Organization of islamic Countries) ili akose uungwaji mkono toka jamii ya wakristo hii sio haki, Uislamu wa Rais Samia kisiwe kigezo cha kumfitini kwa wakristo.

Genge hili linahonga hadi viongozi wa jumuia za kikistro ili waanzishe movement kulalamika Rais Samia anataka kuiuza nchi kwa jumuia ya Kiislamu, lengo wamchafue kisiasa na akose kabisa uungwaji mkono.

Nimeyasema yote haya nikiamini wanasiasa na waovu hawa muwajue na mjue laana wanayowaletea.
Chagueni na kujadiliana kwa weledi , wenzeni agenda zao sio hizo.

NOTE: Rais anamtaka Polepole arudi awe mwenezi genge liko tayari kufanya chochote pole pole asiwe karibu na Rais

View attachment 2651898
Acha kutuletea ujinga wewe. Eti genge wakati mtu mwenyewe kashaonesha hafai kua rais wa tanzania. Kazi anashindwa kufanya and the anaamini nje tu ndio wataweza kuendesha nchi yetu? Au pengine ni mpigaji mpenda rushwa. Waliyovujisha haya maelewani ni wazalendo kabisa. Eti dubai ndio wawe na hati miliki kujenga miradi na kuendesha bandari zetu zote? Sasa hii nchi ni yetu au ya sultani wa dubai. Tuna uwezo kuendesha nchi yetu mtu asituletee mchezo hapa.
 
Sa 100 amechoka Yaani naona anajikongoja tu Kabla ya 2025 anaweza jiudhuru cheo
 
Sasa ndo wauze Bandari,embu tumia basi walau akili kidogo?
Usikariri na wewe basi tumia akili kidogo, kama wameuza basi hakuna haja ya ku contact ingekuwa hati ya mauzo sasa hamueleweki mara mkataba hauna kikomo, mara wameuza, mara miaka 100 mara vifungu vibaya hujui shida nini mara waarabu. Kama watu wanataka kujadili issue tujadili issue kwa ushahidi. Investor yoyote akija kuna vitu lazima apate kumpa confidence hiyo ni kawaida duniani kote. Na mkataba ni pande mbili una malengo tofauti ya kimaslahi. Sasa muwe wa wazi shida hatutaki wawekazaji au waarabu au nini hasa tunahitaji? sisi kama sisi ufanisi zero, shida ya sisi wa Tz tunadhani bandari kama mlima kilimanjaro tumeshushiwa na Mungu, bandari imejengwa na itaendelea kujengwa sababu biashara ya port inabadilikika na tech kila siku, meli sio ndogondgo tena ni meli kubwa sisi hatuna uwezo huo. Na hapa sio lazima DP aje kama mnaye mwekezaji bora kuliko DP apendekezwe ila ni lazima tuondoke kwenye ukiritimba wa bandari.
 
Hizi ndo hoja ambazo tulianza kuzisema hapo awali na zikapuuzwa.

Waliomzunguka wameapa aanguke, wanajificha nyuma ya kivuli cha kumsifia ili waonekane wapo pamoja naye.

Sasa kuna puppets kibao wanafanya kila wawezalo kuharibu utendaji wa serikali kwa makusudi ili kuangusha legacy ya Rais.

Badala ya kumsaidia Rais wao wanamuangusha na kumuwekea ajali za kisiasa
Awatoe kwenye system aweke wengine
 
Kwenye Siasa , " Hakuna kinachotokea kwa bahati mbaya " everything is planned .

Think about this ,
Soko la kariakoo wafanya biashara wameandamana, mkataba wa bandari umuvujishwa kwa mbwembwe na tayari kila kona kuna watu wamepangwa kuushambulia , ghafla mkataba hauongelewi maada inageuka kua Rais hana uwezo, Rais hatoshi , etc.

I need to let you know this piece of classified information kwa kua imebidi niwamegee kidogo.

Agenda sio bandari hata kidogo , agenda ni Urais 2025. Kuna siku Chalamila akiwa Kagera aliwahi kusema kuna mawaziri wamesafiri kwenda nchi za nje kusaka fund za kuusaka uraisi, kuna watu walihisi Chalamila ameropoka.

Twende mdogo mdogo sasa, Mwezi August mwaka 2022 , waziri mmoja mwenye mafungamano na Kigogo aliunda rasmi genge la kuusaka uraisi na kila mtu kwenye taasisi nyeti serikalini za kiusalama na maamuzi magumu anajua hili ninalolisema, Rais analijua hili kundi, na ni kundi ambalo liko tayari hata kuuwa ukisimama kwenye njia yao, it is a gang within the Government.

Genge hili lina watu nyeti na viongozi waandamizi wengi ambao baadhi ni reject wa serikali iliyopo sasa.
Kama mnakumbuka, Rais samia ameanza kuwarudisha serikalini viongozi kadhaa waliowahi kuhudumu enzi za Rais Magufuli, Rais Samia hapo kabla aliaminishwa kua yeyote aliyetumika na RAIS Magufuli alikuwa anamtakia mabaya.

Till late last year Rais Samia akafanikiwa kujua Rangi za aliohisi wako naye kumbe wanatafuta kumamliza na kuchukua Urais kijanja na kwa usmart sana.

Genge hili lilifahamu Rais Samia ameshajua mipango yao , na kati ya mipango ya Rais Samia ilikuwa Berndard Membe aje awe mgombea Mwenza 2025. Genge lilichukia sana na kuona kua Membe angekuwa na smooth passage ya kuwa Rais 2030 Baada ya RAIS Samia.

Vita ikaanza Rasmi na genge hilo likaapa kumpigisha ajali kwa kila atakachofanya Rais Samia. Ni kwa sababu baadhi ya mambo ni classfied na yana NDA (Non disclosure Agreement ). Vinginevyo mkataba ambao hata sio wa milele ungewekwa hadharani. Kwanini mkataba hauwekwi hadharani wa badari?

Kampuni inayotaka kuingia ubia na Serikali ya Tanzania ina biashara sehemu zingine Duniani, kuweka wazi mkataba ambao una NDA ni kuharibu biashara yao maeneo mengine na sio ethics za biashara pia.

Genge hili baada ya kujua mkataba una NDA, wakaona Rais hawezi kuutoa hadharani, hivyo hata wakitunga duration ya mkataba hataweza kukataa wala kuutoa hadharani.

Nini kimeandaliwa Rasmi na genge hili kwa sasa. Watu hawa wakiongozwa na waziri ambaye kwa mambo yalipofika anaweza kutenguliwa rasmi, wanalipa watu kumtukana Rais ili waue brand kabisa.

Fikiria hadi Mange Kimambi amebadilika kutoka kuongelea Mkataba sasa nafanya personal attacks kwa Rais, hawaongelei tena Mkataba wala wanasheria waliohusika kunegotiate , the target ni Rais wa nchi . Mange Kimambi amelipwa kwa njia ya Bitcoin fedha zenye thamani ya 800 Million za kitanzania. From last Month na aliambiwa asubiri assignement, this is the clear assigment .

Huyu mnayemwona Kigogo kama anamtetea Rais, don't buy it , it is a set up, atapinduka soon na ataanza kumchafua Rais very soon, it is a strategic movement.

Hawa watu wako serious sana, wanalipa pesa nyingi sana kuusaka urais sio wa 2030 ni wa 2025.

Ni majangili haya, na kama hamuamini in less than a week to come anaweza kufariki mtu muhimu sana mmoja.

I'm telling you this sio kwa sababu sijui kwamba Bandari ni muhimu, sio kwa sababu nasupport waarabu wapewe bandari hapana, the agenda is not about Bandari get your third eye and see.

Tulimpoteza Rais Magufuli japokua na watu walifurahia lakini nawaambia, kama watanzania watazinunua hizi siasa zinazoendelea tutakuwa na Rais wa nchi ambaye ni Magufuli Reject Pro.

Bahati mabaya sana, baada ya miezi zaidi ya miwili watu hua wanarejea maandiko haya na kusema kumbe ilikuwa kweli.

Kwa viongozi wa Upinzani wengi wanacheza ngoma isiyowahusu wanakoleza moto usio na manufaa kwao.

Genge hili limeanza kupita kwa maaskofu na baadhi ya wanaojiita manabii kumpaka matope RAIS Samia kua anataka kuiingiza nchi kwenye OIC (Organization of islamic Countries) ili akose uungwaji mkono toka jamii ya wakristo hii sio haki, Uislamu wa Rais Samia kisiwe kigezo cha kumfitini kwa wakristo.

Genge hili linahonga hadi viongozi wa jumuia za kikistro ili waanzishe movement kulalamika Rais Samia anataka kuiuza nchi kwa jumuia ya Kiislamu, lengo wamchafue kisiasa na akose kabisa uungwaji mkono.

Nimeyasema yote haya nikiamini wanasiasa na waovu hawa muwajue na mjue laana wanayowaletea.
Chagueni na kujadiliana kwa weledi , wenzeni agenda zao sio hizo.

NOTE: Rais anamtaka Polepole arudi awe mwenezi genge liko tayari kufanya chochote pole pole asiwe karibu na Rais

View attachment 2651898
Mpambe sana lakini ukweli ni kwamba mama amejihalibia sifa yeye mwenyewe. Kwa mambo haya huoni kama mama ameamua kujihalibia mwenyewe?

1. KIKOKOTOO (kilio kikubwa sana)
2. BANDARI [Kwa tz bara tu!!]
3. CIG REPORT (Hakuna hatua)
4. HUDUMA OFISI ZA SERIKALI (tumerudi kulekuleee)
 
Nakuaelewa kamanda, lakini udhaifu wa Rais Samia ni upi? unaamini issue ya Bandari kama unavoelezwa na Lissu au unavyoelezwa na Tulia? Kukosa classfied data ni changamoto sana , wakati mwingine natamani niseme kitu lakini acha huko mbele utakuja kuelewa ,sasa hivi ni sahihi kwako kulalamika
Naiamini issue ya bandari baada ya kuysoma ule mkataba mbovu mlioingia na mwarabu, simsubiri Lissu wala mwingine yeyote aje kunitafsiria yaliyoandikwa kwenye ule mkataba, najielewa.

Unapodai tunakosa classified data, hebu wewe tuwekee hapa hizo data zako classified tuzione, kinyume na hapo wewe ni tapeli tu, eti unazo hizo data lakini unazificha, wewe ni chawa wa Samia, simple.
 
Umemaliza kila kitu, Mimi hili wala sishangai na uhakika Rais Samia hashangai kwani alishaambiwa na Mzee Kikwete usiwaogope wapinzania ogopa ndugu zako wama gwanda ya kijani ni hatari. Issue kubwa kuna watu ndani ya serikali maisha yao yote walijipanga kwa nafasi hii sasa kuona Mama Samia hakufanya effort yoyote kuwa iko siku atakuwa Rais yeye alikuwa karidhika na makamu wa Rais na history itamtambua hivyo lakini Mungu akitaka kukupa anakupa tu. Hawa watu iliwauma sana na bado inawakera na wao wanaona 2030 ni mbali sana hatuwezi kusubiri. Rais Samia ni kweli alipotoshwa kuwa watu wa JPM hawatamkubali lakini na uhakika mtu kama polepole akiweza kumfanya mtu wake alikuwa na uwezo wa kucheza game zao, nadhani changamoto kubwa Rais hakuwahi kuwa na genge lake ndani ya chama imekuja kama ajali yuko hapo na hajapata watu ndani ya chama waliokuwa waaminifu kwake 100%. Haiwezekani serikali hasa Rais anashambuliwa mawaziri wote wako kimya kutoka kutetea serikali imekuwa issue kwao. Mimi naamini Rais anawajuwa kina nani lakini ni wakati wa kuwadhibiti hawa hadharani kabla hawajamzoea. Hilo kundi lipo japo sijui kina nani lakini mimi sina imani na watu kama kina Simbachawene. Yule Malaya wa USA anamuuza mtu yoyote kwa pesa ni wazi kapokea pesa amtukane Rais ila wajibu wa Mama kufanya yake ajue ni kina nani wanalipa na hilo linawezekana tu unless anawajuwa na anawalia timing. Ila kuna watu wanamuangusha Rais sana na wako CCM.
Wote akili zenu zinafanana, Samia wakati anahangaika kuwaondoa kina Lukuvi alikuwa anatengeneza kitu gani?

Anyway, ukiandika kwanza jifunze kuweka paragraph.
 
Uzuri wamezoeya kupiga wamekosa pakupiga wanapigana waokwawao wacha waendelee vinamwisho mfupi sana visivyo haki
 
Wote akili zenu zinafanana, Samia wakati anahangaika kuwaondoa kina Lukuvi alikuwa anatengeneza kitu gani?

Anyway, ukiandika kwanza jifunze kuweka paragraph.
Wewe soma unataka kufanya mitihani ya paraghraph kajiunge shule. Hapa soma elewa move on....
 
Usikariri na wewe basi tumia akili kidogo, kama wameuza basi hakuna haja ya ku contact ingekuwa hati ya mauzo sasa hamueleweki mara mkataba hauna kikomo, mara wameuza, mara miaka 100 mara vifungu vibaya hujui shida nini mara waarabu. Kama watu wanataka kujadili issue tujadili issue kwa ushahidi. Investor yoyote akija kuna vitu lazima apate kumpa confidence hiyo ni kawaida duniani kote. Na mkataba ni pande mbili una malengo tofauti ya kimaslahi. Sasa muwe wa wazi shida hatutaki wawekazaji au waarabu au nini hasa tunahitaji? sisi kama sisi ufanisi zero, shida ya sisi wa Tz tunadhani bandari kama mlima kilimanjaro tumeshushiwa na Mungu, bandari imejengwa na itaendelea kujengwa sababu biashara ya port inabadilikika na tech kila siku, meli sio ndogondgo tena ni meli kubwa sisi hatuna uwezo huo. Na hapa sio lazima DP aje kama mnaye mwekezaji bora kuliko DP apendekezwe ila ni lazima tuondoke kwenye ukiritimba wa bandari.
Naomba kukuuliza huo mkataba ukomo wake ni lini,na kwann hakuna sababu yyte ya kuvunja mkataba ata ikitoea bahari ikakauka...huu si Ujuha kabsa wa viongozi wetu kuanzia huko juu?
 
mamako ana hadhi gani tuanzie hapo. Pumbavu kabisa yule yuko kati ya wanawake 100 bora duniani, ana uwezo mkubwa sana. Unataka kumlinganisha na mamako aliyezaa kima km wewe? Shenzy lisilo na aibu
inaonekana uliteswa sana ulipokua mtoto
 
Kwenye Siasa , " Hakuna kinachotokea kwa bahati mbaya " everything is planned .

Think about this ,
Soko la kariakoo wafanya biashara wameandamana, mkataba wa bandari umuvujishwa kwa mbwembwe na tayari kila kona kuna watu wamepangwa kuushambulia , ghafla mkataba hauongelewi maada inageuka kua Rais hana uwezo, Rais hatoshi , etc.

I need to let you know this piece of classified information kwa kua imebidi niwamegee kidogo.

Agenda sio bandari hata kidogo , agenda ni Urais 2025. Kuna siku Chalamila akiwa Kagera aliwahi kusema kuna mawaziri wamesafiri kwenda nchi za nje kusaka fund za kuusaka uraisi, kuna watu walihisi Chalamila ameropoka.

Twende mdogo mdogo sasa, Mwezi August mwaka 2022 , waziri mmoja mwenye mafungamano na Kigogo aliunda rasmi genge la kuusaka uraisi na kila mtu kwenye taasisi nyeti serikalini za kiusalama na maamuzi magumu anajua hili ninalolisema, Rais analijua hili kundi, na ni kundi ambalo liko tayari hata kuuwa ukisimama kwenye njia yao, it is a gang within the Government.

Genge hili lina watu nyeti na viongozi waandamizi wengi ambao baadhi ni reject wa serikali iliyopo sasa.
Kama mnakumbuka, Rais samia ameanza kuwarudisha serikalini viongozi kadhaa waliowahi kuhudumu enzi za Rais Magufuli, Rais Samia hapo kabla aliaminishwa kua yeyote aliyetumika na RAIS Magufuli alikuwa anamtakia mabaya.

Till late last year Rais Samia akafanikiwa kujua Rangi za aliohisi wako naye kumbe wanatafuta kumamliza na kuchukua Urais kijanja na kwa usmart sana.

Genge hili lilifahamu Rais Samia ameshajua mipango yao , na kati ya mipango ya Rais Samia ilikuwa Berndard Membe aje awe mgombea Mwenza 2025. Genge lilichukia sana na kuona kua Membe angekuwa na smooth passage ya kuwa Rais 2030 Baada ya RAIS Samia.

Vita ikaanza Rasmi na genge hilo likaapa kumpigisha ajali kwa kila atakachofanya Rais Samia. Ni kwa sababu baadhi ya mambo ni classfied na yana NDA (Non disclosure Agreement ). Vinginevyo mkataba ambao hata sio wa milele ungewekwa hadharani. Kwanini mkataba hauwekwi hadharani wa badari?

Kampuni inayotaka kuingia ubia na Serikali ya Tanzania ina biashara sehemu zingine Duniani, kuweka wazi mkataba ambao una NDA ni kuharibu biashara yao maeneo mengine na sio ethics za biashara pia.

Genge hili baada ya kujua mkataba una NDA, wakaona Rais hawezi kuutoa hadharani, hivyo hata wakitunga duration ya mkataba hataweza kukataa wala kuutoa hadharani.

Nini kimeandaliwa Rasmi na genge hili kwa sasa. Watu hawa wakiongozwa na waziri ambaye kwa mambo yalipofika anaweza kutenguliwa rasmi, wanalipa watu kumtukana Rais ili waue brand kabisa.

Fikiria hadi Mange Kimambi amebadilika kutoka kuongelea Mkataba sasa nafanya personal attacks kwa Rais, hawaongelei tena Mkataba wala wanasheria waliohusika kunegotiate , the target ni Rais wa nchi . Mange Kimambi amelipwa kwa njia ya Bitcoin fedha zenye thamani ya 800 Million za kitanzania. From last Month na aliambiwa asubiri assignement, this is the clear assigment .

Huyu mnayemwona Kigogo kama anamtetea Rais, don't buy it , it is a set up, atapinduka soon na ataanza kumchafua Rais very soon, it is a strategic movement.

Hawa watu wako serious sana, wanalipa pesa nyingi sana kuusaka urais sio wa 2030 ni wa 2025.

Ni majangili haya, na kama hamuamini in less than a week to come anaweza kufariki mtu muhimu sana mmoja.

I'm telling you this sio kwa sababu sijui kwamba Bandari ni muhimu, sio kwa sababu nasupport waarabu wapewe bandari hapana, the agenda is not about Bandari get your third eye and see.

Tulimpoteza Rais Magufuli japokua na watu walifurahia lakini nawaambia, kama watanzania watazinunua hizi siasa zinazoendelea tutakuwa na Rais wa nchi ambaye ni Magufuli Reject Pro.

Bahati mabaya sana, baada ya miezi zaidi ya miwili watu hua wanarejea maandiko haya na kusema kumbe ilikuwa kweli.

Kwa viongozi wa Upinzani wengi wanacheza ngoma isiyowahusu wanakoleza moto usio na manufaa kwao.

Genge hili limeanza kupita kwa maaskofu na baadhi ya wanaojiita manabii kumpaka matope RAIS Samia kua anataka kuiingiza nchi kwenye OIC (Organization of islamic Countries) ili akose uungwaji mkono toka jamii ya wakristo hii sio haki, Uislamu wa Rais Samia kisiwe kigezo cha kumfitini kwa wakristo.

Genge hili linahonga hadi viongozi wa jumuia za kikistro ili waanzishe movement kulalamika Rais Samia anataka kuiuza nchi kwa jumuia ya Kiislamu, lengo wamchafue kisiasa na akose kabisa uungwaji mkono.

Nimeyasema yote haya nikiamini wanasiasa na waovu hawa muwajue na mjue laana wanayowaletea.
Chagueni na kujadiliana kwa weledi , wenzeni agenda zao sio hizo.

NOTE: Rais anamtaka Polepole arudi awe mwenezi genge liko tayari kufanya chochote pole pole asiwe karibu na Rais

View attachment 2651898
Bandari kwanza mambo mengine baadae
 
Rais yupi anaharibiwa, kizuri huwa kinajiuza kibaya kina jizurulisha
 
Back
Top Bottom