Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Umempa haki yakeKusema anaupeo ni kumkosea heshima mama yetu. Ukweli upeo hana hapo ndio kumpa heshima yake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umempa haki yakeKusema anaupeo ni kumkosea heshima mama yetu. Ukweli upeo hana hapo ndio kumpa heshima yake.
Hata mimi zilipogunduliwa hp nilidhani hatutapata kazi tena, na pale walipoleta Robot ndio nikaacha shule kabisa. Kumbe nilidanganywa, kwani hata huko Japan bado wanahitaji watu wengi hata wageni wakafanye kazi.
Rais samia ndiye aliyesaidia Mbowe kuwa nje mpaka sasa, Rais Samia ndiye aliyesaidia wapinzani kuanza kufanya siasa hivi sasa za majukwaa baada ya miaka takriban mitano , inakuaje mtu huyu awe na upeo mdogo?Upeo wake mdogo ndo unampotezea dira
Rais Samia kama ambavyo watu hawakumuelewa JPM na sisi wameanza kumwelewa , baada ya muda watu wataanza kumwelewa SSH ,watu ni slow learner sanaHata mimi zilipogunduliwa hp nilidhani hatutapata kazi tena, na pale walipoleta Robot ndio nikaacha shule kabisa. Kumbe nilidanganywa, kwani hata huko Japan bado wanahitaji watu wengi hata wageni wakafanye kazi.
Kufanya siasa sio hisani katiba yetu inaruhusu, kuhusu kesi ilibidi ifutwe sababu ilikua inaenda kuwavua nguo viongozi.Rais samia ndiye aliyesaidia Mbowe kuwa nje mpaka sasa, Rais Samia ndiye aliyesaidia wapinzani kuanza kufanya siasa hivi sasa za majukwaa baada ya miaka takriban mitano , inakuaje mtu huyu awe na upeo mdogo?
Lakini walizuiwa na hawakufanya kitu , kuna vitu Rais akiamua kuweka mguu chini hakuna cha kumfanya. Lakini Mama Samia ni mstaarabu , sema ustaarabu wake wapinzani wanaanza kuuona kama udhaifu ,itawacostKufanya siasa sio hisani katiba yetu inaruhusu, kuhusu kesi ilibidi ifutwe sababu ilikua inaenda kuwavua nguo viongozi.
Huyu poisonous hana anachojua, ni chawa wa mama anachojua yeye ni kumfichia Samia madhaifu yake yakutoa bure bandari zetu.huja soma huo mkataba, hata hawa DP world ndio hivyo, na nadhani dp world walishakujaga na utumbo kama huu kipindi cha magufuli na ile clip alikuwa anawasema hawa baada ya kuwafukuza.
Mwenye uwezo wa kuongoza ni nani, Mbowe au Dkt Slaa?Muda mwingine tuache kusingizia watu, Mama hana uwezo wa kuwa Raisi wa nchi kama Tanzania. Afrika bado haijafikia uwezo wa kuwa na Raisi ambaye wananchi wake watamuona kama Mama Period
Nakuaelewa kamanda, lakini udhaifu wa Rais Samia ni upi? unaamini issue ya Bandari kama unavoelezwa na Lissu au unavyoelezwa na Tulia? Kukosa classfied data ni changamoto sana , wakati mwingine natamani niseme kitu lakini acha huko mbele utakuja kuelewa ,sasa hivi ni sahihi kwako kulalamikaHuyu poisonous hana anachojua, ni chawa wa mama anachojua yeye ni kumfichia Samia madhaifu yake yakutoa bure bandari zetu.
Nao huko duniani walianza kama sisi. Jikumbushe kidogo huko nyuma hakukuwa na hp wala robot. Hizi sio kuwa walizaliwa nazo toka miaka hiyo. Soma historia zao kidogo.Unatolea mfano wa duniani na Sisi hapa kwetu?
Angalia mkataba wa DP world na inchi za Africa na DP world na UK ndio utaelewa naongea kitu gani
Djibouti hapo Tu wapo Mahakamani wanataka kuvunja mkataba
Ili Jambo ni zuri ila shida inayotokea ni moja Tu, wale watu ambao wanapaswa kuliongea hili Jambo hawaliongei
Wanaongea wakina zembwela, mwijaku, stive Nyerere watu ambao hawajui anything kwenye big deal
Hata hapa jf watu wengi ambao wanaongea they know nothing hata papers hawajaiona
Nao huko duniani walianza kama sisi. Jikumbushe kidogo huko nyuma hakukuwa na hp wala robot. Hizi sio kuwa walizaliwa nazo toka miaka hiyo. Soma historia zao kidogo.
Mkataba umetoka wapi!? acha spinning! Huyu siyo mwema kabisa. Hata wamasai wa ngorongoro walifukuzwa na hilo genge!? The buck stops with her! She must GOOOO!Kwenye Siasa , " Hakuna kinachotokea kwa bahati mbaya " everything is planned .
Think about this , Soko la kariakoo wafanya biashara wameandamana, mkataba wa bandari umuvujishwa kwa mbwembwe na tayari kila kona kuna watu wamepangwa kuushambulia , ghafla mkataba hauongelewi maada inageuka kua Rais hana uwezo, Rais hatoshi , etc.
I need to let you know this piece of classified information kwa kua imebidi niwamegee kidogo.
Agenda sio bandari hata kidogo , agenda ni Urais 2025. Kuna siku Chalamila akiwa Kagera aliwahi kusema kuna mawaziri wamesafiri kwenda nchi za nje kusaka fund za kuusaka uraisi, kuna watu walihisi Chalamila ameropoka.
Twende mdogo mdogo sasa, Mwezi August mwaka 2022 , waziri mmoja mwenye mafungamano na Kigogo aliunda rasmi genge la kuusaka uraisi na kila mtu kwenye taasisi nyeti serikalini za kiusalama na maamuzi magumu anajua hili ninalolisema, Rais analijua hili kundi, na ni kundi ambalo liko tayari hata kuuwa ukisimama kwenye njia yao, it is a gang within the Government.
Genge hili lina watu nyeti na viongozi waandamizi wengi ambao baadhi ni reject wa serikali iliyopo sasa.
Kama mnakumbuka, Rais samia ameanza kuwarudisha serikalini viongozi kadhaa waliowahi kuhudumu enzi za Rais Magufuli, Rais Samia hapo kabla aliaminishwa kua yeyote aliyetumika na RAIS Magufuli alikuwa anamtakia mabaya.
Till late last year Rais Samia akafanikiwa kujua Rangi za aliohisi wako naye kumbe wanatafuta kumamliza na kuchukua Urais kijanja na kwa usmart sana.
Genge hili lilifahamu Rais Samia ameshajua mipango yao , na kati ya mipango ya Rais Samia ilikuwa Berndard Membe aje awe mgombea Mwenza 2025. Genge lilichukia sana na kuona kua Membe angekuwa na smooth passage ya kuwa Rais 2030 Baada ya RAIS Samia.
Vita ikaanza Rasmi na genge hilo likaapa kumpigisha ajali kwa kila atakachofanya Rais Samia. Ni kwa sababu baadhi ya mambo ni classfied na yana NDA (Non disclosure Agreement ). Vinginevyo mkataba ambao hata sio wa milele ungewekwa hadharani. Kwanini mkataba hauwekwi hadharani wa badari?
Kampuni inayotaka kuingia ubia na Serikali ya Tanzania ina biashara sehemu zingine Duniani, kuweka wazi mkataba ambao una NDA ni kuharibu biashara yao maeneo mengine na sio ethics za biashara pia.
Genge hili baada ya kujua mkataba una NDA, wakaona Rais hawezi kuutoa hadharani, hivyo hata wakitunga duration ya mkataba hataweza kukataa wala kuutoa hadharani.
Nini kimeandaliwa Rasmi na genge hili kwa sasa. Watu hawa wakiongozwa na waziri ambaye kwa mambo yalipofika anaweza kutenguliwa rasmi, wanalipa watu kumtukana Rais ili waue brand kabisa.
Fikiria hadi Mange Kimambi amebadilika kutoka kuongelea Mkataba sasa nafanya personal attacks kwa Rais, hawaongelei tena Mkataba wala wanasheria waliohusika kunegotiate , the target ni Rais wa nchi . Mange Kimambi amelipwa kwa njia ya Bitcoin fedha zenye thamani ya 800 Million za kitanzania. From last Month na aliambiwa asubiri assignement, this is the clear assigment .
Huyu mnayemwona Kigogo kama anamtetea Rais, don't buy it , it is a set up, atapinduka soon na ataanza kumchafua Rais very soon, it is a strategic movement.
Hawa watu wako serious sana, wanalipa pesa nyingi sana kuusaka urais sio wa 2030 ni wa 2025.
Ni majangili haya, na kama hamuamini in less than a week to come anaweza kufariki mtu muhimu sana mmoja.
I'm telling you this sio kwa sababu sijui kwamba Bandari ni muhimu, sio kwa sababu nasupport waarabu wapewe bandari hapana, the agenda is not about Bandari get your third eye and see.
Tulimpoteza Rais Magufuli japokua na watu walifurahia lakini nawaambia, kama watanzania watazinunua hizi siasa zinazoendelea tutakuwa na Rais wa nchi ambaye ni Magufuli Reject Pro.
Bahati mabaya sana, baada ya miezi zaidi ya miwili watu hua wanarejea maandiko haya na kusema kumbe ilikuwa kweli.
Kwa viongozi wa Upinzani wengi wanacheza ngoma isiyowahusu wanakoleza moto usio na manufaa kwao.
Genge hili limeanza kupita kwa maaskofu na baadhi ya wanaojiita manabii kumpaka matope RAIS Samia kua anataka kuiingiza nchi kwenye OIC (Organization of islamic Countries) ili akose uungwaji mkono toka jamii ya wakristo hii sio haki, Uislamu wa Rais Samia kisiwe kigezo cha kumfitini kwa wakristo.
Genge hili linahonga hadi viongozi wa jumuia za kikistro ili waanzishe movement kulalamika Rais Samia anataka kuiuza nchi kwa jumuia ya Kiislamu, lengo wamchafue kisiasa na akose kabisa uungwaji mkono.
Nimeyasema yote haya nikiamini wanasiasa na waovu hawa muwajue na mjue laana wanayowaletea.
Chagueni na kujadiliana kwa weledi , wenzeni agenda zao sio hizo.
NOTE: Rais anamtaka Polepole arudi awe mwenezi genge liko tayari kufanya chochote pole pole asiwe karibu na Rais
View attachment 2651898
Mwigulu NchembaMwenye uwezo wa kuongoza ni nani, Mbowe au Dkt Slaa?
mamako ana hadhi gani tuanzie hapo. Pumbavu kabisa yule yuko kati ya wanawake 100 bora duniani, ana uwezo mkubwa sana. Unataka kumlinganisha na mamako aliyezaa kima km wewe? Shenzy lisilo na aibusamia ana sifa na hadhi gani?
Polepole yule tapeli kamwajiri weweKuna sehemu inafikirisha sana yaani wale wote waliofanya kazi na JPM mama aliwatengua isipokuwa wachache. Hili yeye binafsi bila kusikiliza moyo wake aliona ni sawa.
Polepole kiongozi yeyote mwenye akili huwezi kumuacha kwenye timu yako hasa uenezi. Rekodi ya polepole uenezi hata nape hawezi kuifunika. Result oriented approach.Aliweka discipline ndani ya chama, akina bashiru hata kama walikuwa na mapungufu lakini wangesaidia sana kuweka mistari.
Mikataba ambayo JPM hadharani aliiipinga mama ameenda kumwaga wini fasta. Kuna Cost benefit analysis yoyote toka kwake mwenyewe au anasikiliza intemediaires wanaolipwa 10% dubai wamejaa hawa wengine ni wastaafu wa vyombo vikubwa wanajiita maconsultant wamefungua na ofisi. Kazi ya upigaji kwa serikali za nchi zinapoingia mikataba.
Kubwa kwanza ni yeye mwenyewe namba moja huwa anafikiria kwa undani matendo kabla ya kupewa ushauri. Kama unamtoa kalemani nishati unamuweka kipara. Kipara angafaa foreign affairs au sanaa ndio alichosomea na kimemzunguka kichwani. Mentor wa kipara alikuwa ruge ambaye ni mzuri kwenye sanaa zaidi.
Nadhani muhusika anawajibu na ajitahidi awe na critical thinking. Mfano membe naona hilo la kufikiriwa kuwa mgombea mwenza limemponza mzee wa watu kwa tabia ya mbwa mwitu waliopo magambani.
La mange hilo linajulikana kwamba mpare ukimpa pesa atakugeuka jua la asubuhi.
Umemaliza kila kitu, Mimi hili wala sishangai na uhakika Rais Samia hashangai kwani alishaambiwa na Mzee Kikwete usiwaogope wapinzania ogopa ndugu zako wama gwanda ya kijani ni hatari. Issue kubwa kuna watu ndani ya serikali maisha yao yote walijipanga kwa nafasi hii sasa kuona Mama Samia hakufanya effort yoyote kuwa iko siku atakuwa Rais yeye alikuwa karidhika na makamu wa Rais na history itamtambua hivyo lakini Mungu akitaka kukupa anakupa tu. Hawa watu iliwauma sana na bado inawakera na wao wanaona 2030 ni mbali sana hatuwezi kusubiri. Rais Samia ni kweli alipotoshwa kuwa watu wa JPM hawatamkubali lakini na uhakika mtu kama polepole akiweza kumfanya mtu wake alikuwa na uwezo wa kucheza game zao, nadhani changamoto kubwa Rais hakuwahi kuwa na genge lake ndani ya chama imekuja kama ajali yuko hapo na hajapata watu ndani ya chama waliokuwa waaminifu kwake 100%. Haiwezekani serikali hasa Rais anashambuliwa mawaziri wote wako kimya kutoka kutetea serikali imekuwa issue kwao. Mimi naamini Rais anawajuwa kina nani lakini ni wakati wa kuwadhibiti hawa hadharani kabla hawajamzoea. Hilo kundi lipo japo sijui kina nani lakini mimi sina imani na watu kama kina Simbachawene. Yule Malaya wa USA anamuuza mtu yoyote kwa pesa ni wazi kapokea pesa amtukane Rais ila wajibu wa Mama kufanya yake ajue ni kina nani wanalipa na hilo linawezekana tu unless anawajuwa na anawalia timing. Ila kuna watu wanamuangusha Rais sana na wako CCM.Kwenye Siasa , " Hakuna kinachotokea kwa bahati mbaya " everything is planned .
Think about this , Soko la kariakoo wafanya biashara wameandamana, mkataba wa bandari umuvujishwa kwa mbwembwe na tayari kila kona kuna watu wamepangwa kuushambulia , ghafla mkataba hauongelewi maada inageuka kua Rais hana uwezo, Rais hatoshi , etc.
I need to let you know this piece of classified information kwa kua imebidi niwamegee kidogo.
Agenda sio bandari hata kidogo , agenda ni Urais 2025. Kuna siku Chalamila akiwa Kagera aliwahi kusema kuna mawaziri wamesafiri kwenda nchi za nje kusaka fund za kuusaka uraisi, kuna watu walihisi Chalamila ameropoka.
Twende mdogo mdogo sasa, Mwezi August mwaka 2022 , waziri mmoja mwenye mafungamano na Kigogo aliunda rasmi genge la kuusaka uraisi na kila mtu kwenye taasisi nyeti serikalini za kiusalama na maamuzi magumu anajua hili ninalolisema, Rais analijua hili kundi, na ni kundi ambalo liko tayari hata kuuwa ukisimama kwenye njia yao, it is a gang within the Government.
Genge hili lina watu nyeti na viongozi waandamizi wengi ambao baadhi ni reject wa serikali iliyopo sasa.
Kama mnakumbuka, Rais samia ameanza kuwarudisha serikalini viongozi kadhaa waliowahi kuhudumu enzi za Rais Magufuli, Rais Samia hapo kabla aliaminishwa kua yeyote aliyetumika na RAIS Magufuli alikuwa anamtakia mabaya.
Till late last year Rais Samia akafanikiwa kujua Rangi za aliohisi wako naye kumbe wanatafuta kumamliza na kuchukua Urais kijanja na kwa usmart sana.
Genge hili lilifahamu Rais Samia ameshajua mipango yao , na kati ya mipango ya Rais Samia ilikuwa Berndard Membe aje awe mgombea Mwenza 2025. Genge lilichukia sana na kuona kua Membe angekuwa na smooth passage ya kuwa Rais 2030 Baada ya RAIS Samia.
Vita ikaanza Rasmi na genge hilo likaapa kumpigisha ajali kwa kila atakachofanya Rais Samia. Ni kwa sababu baadhi ya mambo ni classfied na yana NDA (Non disclosure Agreement ). Vinginevyo mkataba ambao hata sio wa milele ungewekwa hadharani. Kwanini mkataba hauwekwi hadharani wa badari?
Kampuni inayotaka kuingia ubia na Serikali ya Tanzania ina biashara sehemu zingine Duniani, kuweka wazi mkataba ambao una NDA ni kuharibu biashara yao maeneo mengine na sio ethics za biashara pia.
Genge hili baada ya kujua mkataba una NDA, wakaona Rais hawezi kuutoa hadharani, hivyo hata wakitunga duration ya mkataba hataweza kukataa wala kuutoa hadharani.
Nini kimeandaliwa Rasmi na genge hili kwa sasa. Watu hawa wakiongozwa na waziri ambaye kwa mambo yalipofika anaweza kutenguliwa rasmi, wanalipa watu kumtukana Rais ili waue brand kabisa.
Fikiria hadi Mange Kimambi amebadilika kutoka kuongelea Mkataba sasa nafanya personal attacks kwa Rais, hawaongelei tena Mkataba wala wanasheria waliohusika kunegotiate , the target ni Rais wa nchi . Mange Kimambi amelipwa kwa njia ya Bitcoin fedha zenye thamani ya 800 Million za kitanzania. From last Month na aliambiwa asubiri assignement, this is the clear assigment .
Huyu mnayemwona Kigogo kama anamtetea Rais, don't buy it , it is a set up, atapinduka soon na ataanza kumchafua Rais very soon, it is a strategic movement.
Hawa watu wako serious sana, wanalipa pesa nyingi sana kuusaka urais sio wa 2030 ni wa 2025.
Ni majangili haya, na kama hamuamini in less than a week to come anaweza kufariki mtu muhimu sana mmoja.
I'm telling you this sio kwa sababu sijui kwamba Bandari ni muhimu, sio kwa sababu nasupport waarabu wapewe bandari hapana, the agenda is not about Bandari get your third eye and see.
Tulimpoteza Rais Magufuli japokua na watu walifurahia lakini nawaambia, kama watanzania watazinunua hizi siasa zinazoendelea tutakuwa na Rais wa nchi ambaye ni Magufuli Reject Pro.
Bahati mabaya sana, baada ya miezi zaidi ya miwili watu hua wanarejea maandiko haya na kusema kumbe ilikuwa kweli.
Kwa viongozi wa Upinzani wengi wanacheza ngoma isiyowahusu wanakoleza moto usio na manufaa kwao.
Genge hili limeanza kupita kwa maaskofu na baadhi ya wanaojiita manabii kumpaka matope RAIS Samia kua anataka kuiingiza nchi kwenye OIC (Organization of islamic Countries) ili akose uungwaji mkono toka jamii ya wakristo hii sio haki, Uislamu wa Rais Samia kisiwe kigezo cha kumfitini kwa wakristo.
Genge hili linahonga hadi viongozi wa jumuia za kikistro ili waanzishe movement kulalamika Rais Samia anataka kuiuza nchi kwa jumuia ya Kiislamu, lengo wamchafue kisiasa na akose kabisa uungwaji mkono.
Nimeyasema yote haya nikiamini wanasiasa na waovu hawa muwajue na mjue laana wanayowaletea.
Chagueni na kujadiliana kwa weledi , wenzeni agenda zao sio hizo.
NOTE: Rais anamtaka Polepole arudi awe mwenezi genge liko tayari kufanya chochote pole pole asiwe karibu na Rais
View attachment 2651898
Naungana na ww mkuu na nakazia kabsaa,huyu mama wala ata hajui ashike lipi aache lipi,Kajichanganya mwenyewe wacha yamkute na mm huyo waziri anayemlia zengwe ata simjui ila naomba aniunge na mimi tumpige zengwe...Mama kaharibu hii nchi anasaini mikataba ya Hovyo kabsaaa na anajifanya kujificha kwenye kivuli cha Democrasia.Samia anaharibu sifa yake mwenyewe wala asimtafute mchawi popote.
Unatetea ujinga unasema hakuwa kuwa na Genge kwenye chama,Lile Genge la msoga umelisahau si la huyu Mama?Umemaliza kila kitu, Mimi hili wala sishangai na uhakika Rais Samia hashangai kwani alishaambiwa na Mzee Kikwete usiwaogope wapinzania ogopa ndugu zako wama gwanda ya kijani ni hatari. Issue kubwa kuna watu ndani ya serikali maisha yao yote walijipanga kwa nafasi hii sasa kuona Mama Samia hakufanya effort yoyote kuwa iko siku atakuwa Rais yeye alikuwa karidhika na makamu wa Rais na history itamtambua hivyo lakini Mungu akitaka kukupa anakupa tu. Hawa watu iliwauma sana na bado inawakera na wao wanaona 2030 ni mbali sana hatuwezi kusubiri. Rais Samia ni kweli alipotoshwa kuwa watu wa JPM hawatamkubali lakini na uhakika mtu kama polepole akiweza kumfanya mtu wake alikuwa na uwezo wa kucheza game zao, nadhani changamoto kubwa Rais hakuwahi kuwa na genge lake ndani ya chama imekuja kama ajali yuko hapo na hajapata watu ndani ya chama waliokuwa waaminifu kwake 100%. Haiwezekani serikali hasa Rais anashambuliwa mawaziri wote wako kimya kutoka kutetea serikali imekuwa issue kwao. Mimi naamini Rais anawajuwa kina nani lakini ni wakati wa kuwadhibiti hawa hadharani kabla hawajamzoea. Hilo kundi lipo japo sijui kina nani lakini mimi sina imani na watu kama kina Simbachawene. Yule Malaya wa USA anamuuza mtu yoyote kwa pesa ni wazi kapokea pesa amtukane Rais ila wajibu wa Mama kufanya yake ajue ni kina nani wanalipa na hilo linawezekana tu unless anawajuwa na anawalia timing. Ila kuna watu wanamuangusha Rais sana na wako CCM.