Kuna Genge ndani ya CCM linajiandaa kumuondoa Samia 2025 kwa Mlango wa Nyuma

Jina lako na haya uliyoandika haviendani, ni ushauri mzuri lakini sidhani kama utafanyiwa kazi, maana waeneza proganda wanampaka mafuta kwa mgongo wa chupa.

Kosa la kiufundi alilofanya ni kuwateua baadhi ya watu ambao hana uwezo wa kuwachukulia hatua hata kama wakikosea, hata wateule wenyewe wanalijua hilo ndiyo maana wanafanya watakavyo.

Amezungukwa na watu hatari sana ambao wapo tayari hata kutoa uhai wa mtu kwa masirahi binafsi.
 
Mbona Magufuli alikuwa Mkristo na Makamu wake wakati huo Mangula alikuwa Mkristo au alipoteuliwa na kuthibitishwa kuwa Makamu alibadili dini?
 
Kuna baadhi naunga mkono mf hali ya uchumi kuwa ngumu na wanamtandao.Ila kabla ya kukosoa udini naomba uniambiye philipo mangula alikuwa dini gani?
 
Hafu watu wanajimwambafy huku mtaani hakiyanani research yangu inatosha yaani mtaani hawaelewi kitu zaidi ya JPM whether alikuwa dictator , shetani , wampe kila jina ila alishateka nyoyo za watu
Mtàa gani wewe! Hapa stendi tunammaindi sana alivotuambia tubebe mavi yetu!
 
Ni genge la kisukuma.
 
Nenda Kanye utawaze ndiyo uje uandike..maana akili na ubongo wako umejaa kinyesi
 
Ushauri wako ni Rubbish [emoji1005] tulia dawa ikuingie Full Stop awamu iliyopita kutwa ulikuwa ni kusifia utawala tu iwe hata kwa mabaya au umesahau mara hii ?
 
Nakubaliana na wewe kwenye teuzi mbovu mbovu hizo za kina Makamba .

Ila napingana na wewe hapo kwenye kura , kwani unadhani box la kura ndio linachagua rais kwa Tanzania?

Mtangulizi wake alidhihirisha wizi wa kura kwa uwazi zaidi ambao tuliujua tangu enzi za Mkapa, ila jiwe aliiba kishamba sana kura zinawekwa hadi kwenye hotpot na wakamshauri kuzima mtandao wakati 20%+ ya watu walishahabarishwa juu ya matumizi ya VPN bado uchaguzi ule utabaki ni doa kwa huyu mama na mtangulizi wake na ni wa hovyo kupata kuwahi kutokea.

Naungana na wote watakaosusia maigizo ya 2025 kwa hii tume ya kina Mahera na jaji afisa kipenyo.
 
Mtàa gani wewe! Hapa stendi tunammaindi sana alivotuambia tubebe mavi yetu!
Mimi huyu Mitaani huwa nakaa naangalia, yule mwamba alishafariki lakin raia wengi wanasema bora mwamba magufuli kuliko huyu japo wapo wanaosema mama yuko fit. Lakini ukilinganishwa na mwenda zake kuna ulazima wa kujiuliza.
 
Nenda Kanye utawaze ndiyo uje uandike..maana akili na ubongo wako umejaa kinyesi
Alishafariki ila ni kama bado anasumbua vichwa vya watu. 😁😁 mnajitahidi kuficha utawala wake uonekane ni wa hovyo bora huu lkn ni ngumu sana kwa wananchi.
 
Bahati mbaya anaeambiwa yuko Marekani anatalii huku akitangaza utalii.

Bahati mbaya hata akikosea wanamsifu ameupiga mwingi.
 
Mengi uliyoandika ni upuuzi mtupu ila nitakuuliza moja Magu na Mzee wa Mafaili walikuwa dini moja haikuwa nongwa ila la Kinana baya
Unasumbuliwa na umakerubi wa Mtu aliyekufa na hata rudi tena.
 
Aondolewe tu hakuna namna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…