Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rais SSH amekuwa rais wa viwango tangu aingie madarakani 2021, Bahati mbaya ameangukia kwenye kundi lenye uroho wa Madaraka na Wapiga dili wa tangu kale.
Bahati mbaya SSH amekuwa akiamini ndio kundi lenye kumshauri vizuri,kumbe ni kundi lenye Maslahi binafsi haliamini Kama Samia anaweza akatekeleza matakwa yake yote.
Bahati mbaya SSH amekuwa akiteua ama Mawaziri ama Makatibu Wakuu ama Wenyeviti na Wakurugenzi wa Bodi mbalimbali akiamini anafanya yeye kumbe Mtandao umemchomekea Majina.
Bahati mbaya kundi linaloongozwa na JK limekuwa likisherekea kila siku kuwa wameweza kuishika Ikulu na Chama kwa kila pembe ndio maana kila Weeknd kundi hili linakutana Msoga kukata Keki na kufungua Shampeni.
Bahati mbaya haya yanafanyika Wananchi wanajua kuwa kundi la JK lilimchukia Magufuli kwa msimamo wake wa kusimamia Maslahi ya Wanyonge na Nchi kwa ujumla, nasema Bahati mbaya kwasababu Visasi vinavyofanywa Wananchi wanajua.
Bahati mbaya SSH ameshauriwa kumweka Makamu wa CCM Tanzania Bara Ndugu Kinana ambaye kwasasa Nguvu zake za ushawishi zikiwa zimepungua sana baada ya kumtukana Magufuli wakati ule na kuhusishwa hapo baadae na kifo chake, Baadhi ya Makada wa CCM hawakufurahishwa na Kinana kupewa nafasi kwasababu ya kasoro hizo.
Kinana anahusishwa kwenye kashfa nyingi za wizi, Magendo na Mitandao ya Rushwa ikiwemo Mipango ya upigaji ya Marafiki wa JK, Bahati mbaya Wananchi wanajua hili.
Bahati mbaya kwa SSH hajajua kuwa Hana Nguvu za ushawishi Ndani ya Chama na kwa Wananchi hasa Bara, na kwa Hali hiyo kundi hili limekuwa likijiandaa kumshauri asigombee Mwaka 2025 na hivyo kumshauri vibaya ili aendelee kukosea, mfano safari za Nje, Mfumko wa Bei Kama umeme na bidhaa za chakula na mikopo mingi kinyume na JPM alivyowaaminisha Wananchi.
Bahati mbaya SSH amekuwa akisifiwa na kundi hili kuwa 'Anaupiga mwingi' ili avimbe kichwa lakini uhalisia huku mitaani Hali ni mbaya sana na Kama Kura zingepigwa leo Samia hawezi kutoboa.
Bahati mbaya Wananchi wanajua kuwa SSH ana'limoti'wa na JK ndio maana kila teuzi karatasi inatoka Msoga, na hili hakuna atakae amini kuwa haya ni maamuzi huru ya Rais kwasababu wataeule wengi ni Wana Mtandao ama Wana nasaba na JK.
Bahati mbaya serikali ya SSH kwasasa imeanza kunukia " udini" hii imekwenda mpaka kwenye Chama, Samia Ni dini Moja na Makamu wake Kinana hii inanung'unikiwa sana kuwa miwani ya SSH haikuliona hilo vizuri.
Bahati mbaya SSH amekuwa akiteua watu toka Zanzibar kwenye mambo yasiyo kuwa ya Muungano, Kama Wakuu wa Wilaya, Wakurugenzi na Baadhi ya Taasis za kiserikali zisizohusu Muungano. Pamoja na hilo Baadhi ya Mikopo na Misaada ya Nje Zanzibar imekuwa wanufaika wakubwa huku gharama za ulipaji zikielemea bara, hii amekuwa akipigiwa makofi tu Lakini Ni kaa la Moto linaloshusha ushawishi wake upande wa Bara, Hivyo kundi hili analolibeba litatumia sababu hii kumshawishi asigombee 2025.
Bahati mbaya SSH hajui kuwa kundi hili analolibeba taswira yake inanuka ufisadi na kwa namna wanavyomshauri atadumbukia kwenye mtego wa kuachia ngazi ya kugombea urais 2025 nao wataweka mtu wao ili kuendeleza upigaji wa tangu enzi zile.
Bahati mbaya SSH hana washauri wazuri Ndani ya serikali na Chama ambao watamshauri kuchunga kauli zake zinazochochea kugawa watu ama kuwafanya wafanyabishara kupandisha bei kiholela, kundi lake linafurahi anapokosea ili iwe rahisi azma yao ya 2025.
Bahati mbaya mpaka 2025 sifa za SSH zitakuwa zimeshuka sana kwa kiwango cha kutisha hasa Bara na hapo kazi ya kundi hili itakuwa rahisi kumwambia arudi Kizimukazi kulea Wajukuu na kutunza Ndoa na wake wenzie.
Rai ya uzi huu ni kumushauri SSH kuwa Makini na kundi la JK na kuangalia upya uteuzi wa Kinana maana hauna Taswira nzuri KIDINI na kiutendaji na hasa kumbukumbu ya Kinana na kundi lake kutukana Wasukuma na JPM kuwa ni washamba, Asiposikia na kulijua hili zigo litamrudia 2025, ama Ndani ya Chama ama kwa Wananchi.
Rai kwa SSH awe makini na Mawaziri mizigo ambao wanafanya serikali yake kukosa mvuto na kuvunja Imani ya Wananchi, asiposikia 2025 zigo litamrudia.
Bahati mbaya kufa kwa Kenge mpaka damu itoke masikioni.
Bahati mbaya Wapambe watamwambia huu uzi ni upepo tu uutaha
Hapo kwenye dini,mmmmmh,hakuna udini,Rais SSH amekuwa rais wa viwango tangu aingie madarakani 2021, Bahati mbaya ameangukia kwenye kundi lenye uroho wa Madaraka na Wapiga dili wa tangu kale.

Bahati mbaya Wapambe watamwambia huu uzi ni upepo tu utapita.
Alieleta habari ndio mdini.Hapo kwenye dini,mmmmmh,hakuna udini,
Maana hata wakati wa maghu,makamu alikuwa Mangula!wote wakristo.
Hapa wewe ni mwongo.Bahati mbaya haya yanafanyika Wananchi wanajua kuwa kundi la JK lilimchukia Magufuli kwa msimamo wake wa kusimamia Maslahi ya Wanyonge na Nchi kwa ujumla, nasema Bahati mbaya kwasababu Visasi vinavyofanywa Wananchi wanajua.
Yeye alijua hawezi kushinda na asingemshinda Mwamba Tundu Lissu.Kama wananchi walikuwa na imani na Magufuli asingenajisi uchaguzi ili kukaa madarakani kwa shuruti. Hivi vitisho sijui wananchi walikuwa na imani na Magufuli kawaambie wajinga wasiojua lolote.
Na wengine wakijitokeza muwale vichwa tu. Maana hakuna namna sasa🤣Kiongozi wa hilo genge tushamla kichwa sasa hivi anavuna korosho hapo kongwa. Wala hamtutishi.
Then akapata 100% ya kura ya wajumbe??Bahati mbaya SSH ameshauriwa kumweka Makamu wa CCM Tanzania Bara Ndugu Kinana ambaye kwasasa Nguvu zake za ushawishi zikiwa zimepungua sana baada ya kumtukana Magufuli wakati ule na kuhusishwa hapo baadae na kifo chake, Baadhi ya Makada wa CCM hawakufurahishwa na Kinana kupewa nafasi kwasababu ya kasoro hizo
Kwani mama nae ni dhalimu?Hakuna mtu anayejitambua atashiriki huo ushenzi uitwao uchaguzi chini ya tume hii na katiba hii.
Bahati Mbaya sana tukikwambia umuhimu wa katiba mpya unakacha🤣🤣🤣Bahati mbaya SSH amekuwa akiteua watu toka Zanzibar kwenye mambo yasiyo kuwa ya Muungano, Kama Wakuu wa Wilaya, Wakurugenzi na Baadhi ya Taasis za kiserikali zisizohusu Muungano. Pamoja na hilo Baadhi ya Mikopo na Misaada ya Nje Zanzibar imekuwa wanufaika wakubwa huku gharama za ulipaji zikielemea bara, hii amekuwa akipigiwa makofi tu Lakini Ni kaa la Moto linaloshusha ushawishi wake upande wa Bara, Hivyo kundi hili analolibeba litatumia sababu hii kumshawishi asigombee 2025.
Wewe ni Sukuma Gang ?Rais SSH amekuwa rais wa viwango tangu aingie madarakani 2021, Bahati mbaya ameangukia kwenye kundi lenye uroho wa Madaraka na Wapiga dili wa tangu kale.
Bahati mbaya SSH amekuwa akiamini ndio kundi lenye kumshauri vizuri,kumbe ni kundi lenye Maslahi binafsi haliamini Kama Samia anaweza akatekeleza matakwa yake yote.
Bahati mbaya SSH amekuwa akiteua ama Mawaziri ama Makatibu Wakuu ama Wenyeviti na Wakurugenzi wa Bodi mbalimbali akiamini anafanya yeye kumbe Mtandao umemchomekea Majina.
Bahati mbaya kundi linaloongozwa na JK limekuwa likisherekea kila siku kuwa wameweza kuishika Ikulu na Chama kwa kila pembe ndio maana kila Weeknd kundi hili linakutana Msoga kukata Keki na kufungua Shampeni.
Bahati mbaya haya yanafanyika Wananchi wanajua kuwa kundi la JK lilimchukia Magufuli kwa msimamo wake wa kusimamia Maslahi ya Wanyonge na Nchi kwa ujumla, nasema Bahati mbaya kwasababu Visasi vinavyofanywa Wananchi wanajua.
Bahati mbaya SSH ameshauriwa kumweka Makamu wa CCM Tanzania Bara Ndugu Kinana ambaye kwasasa Nguvu zake za ushawishi zikiwa zimepungua sana baada ya kumtukana Magufuli wakati ule na kuhusishwa hapo baadae na kifo chake, Baadhi ya Makada wa CCM hawakufurahishwa na Kinana kupewa nafasi kwasababu ya kasoro hizo.
Kinana anahusishwa kwenye kashfa nyingi za wizi, Magendo na Mitandao ya Rushwa ikiwemo Mipango ya upigaji ya Marafiki wa JK, Bahati mbaya Wananchi wanajua hili.
Bahati mbaya kwa SSH hajajua kuwa Hana Nguvu za ushawishi Ndani ya Chama na kwa Wananchi hasa Bara, na kwa Hali hiyo kundi hili limekuwa likijiandaa kumshauri asigombee Mwaka 2025 na hivyo kumshauri vibaya ili aendelee kukosea, mfano safari za Nje, Mfumko wa Bei Kama umeme na bidhaa za chakula na mikopo mingi kinyume na JPM alivyowaaminisha Wananchi.
Bahati mbaya SSH amekuwa akisifiwa na kundi hili kuwa 'Anaupiga mwingi' ili avimbe kichwa lakini uhalisia huku mitaani Hali ni mbaya sana na Kama Kura zingepigwa leo Samia hawezi kutoboa.
Bahati mbaya Wananchi wanajua kuwa SSH ana'limoti'wa na JK ndio maana kila teuzi karatasi inatoka Msoga, na hili hakuna atakae amini kuwa haya ni maamuzi huru ya Rais kwasababu wataeule wengi ni Wana Mtandao ama Wana nasaba na JK.
Bahati mbaya serikali ya SSH kwasasa imeanza kunukia " udini" hii imekwenda mpaka kwenye Chama, Samia Ni dini Moja na Makamu wake Kinana hii inanung'unikiwa sana kuwa miwani ya SSH haikuliona hilo vizuri.
Bahati mbaya SSH amekuwa akiteua watu toka Zanzibar kwenye mambo yasiyo kuwa ya Muungano, Kama Wakuu wa Wilaya, Wakurugenzi na Baadhi ya Taasis za kiserikali zisizohusu Muungano. Pamoja na hilo Baadhi ya Mikopo na Misaada ya Nje Zanzibar imekuwa wanufaika wakubwa huku gharama za ulipaji zikielemea bara, hii amekuwa akipigiwa makofi tu Lakini Ni kaa la Moto linaloshusha ushawishi wake upande wa Bara, Hivyo kundi hili analolibeba litatumia sababu hii kumshawishi asigombee 2025.
Bahati mbaya SSH hajui kuwa kundi hili analolibeba taswira yake inanuka ufisadi na kwa namna wanavyomshauri atadumbukia kwenye mtego wa kuachia ngazi ya kugombea urais 2025 nao wataweka mtu wao ili kuendeleza upigaji wa tangu enzi zile.
Bahati mbaya SSH hana washauri wazuri Ndani ya serikali na Chama ambao watamshauri kuchunga kauli zake zinazochochea kugawa watu ama kuwafanya wafanyabishara kupandisha bei kiholela, kundi lake linafurahi anapokosea ili iwe rahisi azma yao ya 2025.
Bahati mbaya mpaka 2025 sifa za SSH zitakuwa zimeshuka sana kwa kiwango cha kutisha hasa Bara na hapo kazi ya kundi hili itakuwa rahisi kumwambia arudi Kizimukazi kulea Wajukuu na kutunza Ndoa na wake wenzie.
Rai ya uzi huu ni kumushauri SSH kuwa Makini na kundi la JK na kuangalia upya uteuzi wa Kinana maana hauna Taswira nzuri KIDINI na kiutendaji na hasa kumbukumbu ya Kinana na kundi lake kutukana Wasukuma na JPM kuwa ni washamba, Asiposikia na kulijua hili zigo litamrudia 2025, ama Ndani ya Chama ama kwa Wananchi.
Rai kwa SSH awe makini na Mawaziri mizigo ambao wanafanya serikali yake kukosa mvuto na kuvunja Imani ya Wananchi, asiposikia 2025 zigo litamrudia.
Bahati mbaya kufa kwa Kenge mpaka damu itoke masikioni.
Bahati mbaya Wapambe watamwambia huu uzi ni upepo tu utapita.
Ila mpaka sasa mnufaika mkubwa wa "awamu ya sita uchwara" ni JK na genge lake (akina Makamba) na sio wananchi. Hilo genge sasa linahudumu muhula wa tatu wa JK kwa kutumia remote kuendesha kinyago chao pale Magogoni.Tushawajua kenge nyie
Mnataka kumugombanisha mama na JK
Hamtoweza nyau nyie
UnaotaWewe na wapuuzi wenzio wote, hamna nguvu ndani ya chama chetu,Wala ndani ya serikali, na Hadi kufikia December masalia yote ya dikteta yanapigwa chini ndani ya chama, unafikiri magufuli alichomfanyia Kinana na wazee Wengine kuwazalilisha kitapita hivihivi, lazima mtiwe adabu nyie wahaini wakubwa
Kumbe amewala sana Wairaq yule jamaa eeeh?Akina Luhaga ....Humphrey
Humphrey alizoea kuletewa watoto wa manyara na Sabaya mpaka akashindwa kuoa
Hahahaha nimecheka kifala nyie[emoji2][emoji2][emoji2]Kiongozi wa hilo genge tushamla kichwa sasa hivi anavuna korosho hapo kongwa. Wala hamtutishi.