Kuna Genge ndani ya CCM linajiandaa kumuondoa Samia 2025 kwa Mlango wa Nyuma

Hivi jamani hawa wanaosema jpm alisimamia maslahi ya wanyonge ni wanyonge gani hao? Mbona wa Yonge halisi tumepigika mtaani tangu tu jpm aingie madarakani. Angalau Sasa hivi kipindi hiki ndo tunafufuka tena. Au hao wanyonge mnaowazungumzia ni akina makonda tu?
 
Kwa kumlinganisha na marehemu, bora tu mama aendelee, sitaki kusikia habari za yule dhalimu.
Mungu ametutendea mema sana kutusaidia kumweka kando nduli
 
Watu wa usalama ndio humpa taarifa muhimu ili nchi iendelee kuwa salama. Pia wenyewe wanahitaji usalama ili nao wasipoteze nafasi zao. Kwa ujumla nchi iko na itakuwa salama bila kujali hizo figisu na fitna.
Mama anajua vizuri tu pamoja na specilations nyiiiingii.
 
Okokkkoooooiooooo
 
Kwa KATIBA hii, hao jamaa waambieni wakanywe supu ya Kmoto.
 
Kinana na kundi lake kutukana Wasukuma na JPM kuwa ni washamba,
Kwani ni uongo?. Hivi ikitokea mtu ukawa ni mshamba, ukaambiwa ukweli ni mshamba ni umetukanwa?. Mimi ni Msukuma na kiukweli kabisa sisi Wasukuma ni washamba sana, na hata mimi ni mshamba Sana na humu JF kila mtu anajua jinsi Wasukuma tulivyo washamba, hivyo kuambiwa ukweli ndio kutukanwa?.
P
 
Muuane tu Wauaji nyie.

Sent from my M2003J15SC using JamiiForums mobile app
 
Magufuli hajawahi kutetea maslahi ya wanyonge alitetea maslahi ya akina sabaya, polepole, makonda na wapuuzi wengine
 
Hapana. Wasukuma sio washamba bali ni watu '' humble'', kama nimeeleweka. Bahati mbaya tafsiri ya neno ''mshamba'' kwa baadhi yetu, ni ile hali ya kutokuwa ''mjanjamjamja au mswahiliswahili''. Sijui kama nimeeleweka kama au nami ni mshamba.
 
Hakuna mtu anayejitambua atashiriki huo ushenzi uitwao uchaguzi chini ya tume hii na katiba hii.

Kujitambua kumeanza lini hasa? Tangu nchi hii ilipopata uhuru, watu (wakiwemo viongozi na wanachama wa sasa wa CDM) wamekuwa wakishiriki hizi chaguzi.
 
Kuajiri wazanzibar hiyo kitu ndio itamletea kashfa, ameleta walimu huku bara kibao kutoka Zanzibar.
 
Lakini Ndio wazalishaji wakuu!!hasa chakula haiwezi ikapita siku hujala jasho la msukuma!!wanastahili kuheshimiwa Hawa jamaa!!mimi naishi nao huku naziona juhudi zao Hawa jamaa!!!
 
Kujitambua kumeanza lini hasa? Tangu nchi hii ilipopata uhuru, watu (wakiwemo viongozi na wanachama wa sasa wa CDM) wamekuwa wakishiriki hizi chaguzi.
Sio sasa, kama ulifuatilia vizuri uchaguzi wa 2020 wapiga kura walikuwa wachache sana, na watakuwa wachache zaidi kwenye chaguzi zijazo. Fuatilia chaguzi za marudio zinazojitokeza utaelewa vizuri.
 
Sio sasa, kama ulifuatilia vizuri uchaguzi wa 2020 wapiga kura walikuwa wachache sana, na watakuwa wachache zaidi kwenye chaguzi zijazo. Fuatilia chaguzi za marudio zinazojitokeza utaelewa vizuri.

Unatumia takwimu gani? Zilezile za matokeo ambayo CDM hawakuyakubali?
 
Unatumia takwimu gani? Zilezile za matokeo ambayo CDM hawakuyakubali?

Toka lini nikatuma takwimu za kupika, naongeleq Nilichokiona kwa macho. Mfano halisi ni kituo changu cha kupigia kura, wapiga kura walipaswa kuwa 420+, lakini wapiga kura hawakufika 150, ila Magufuli alitangazwa kupata kura 393, lisu kura 2, mbunge na diwani walipata kura 300+@, jambo ambalo halikuwa kweli. Sasa katika mazingira hayo natumia vipi hizo takwimu?
 
Umeandika upuuzi mtupu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…