Kuna haja gani ya kuchafuana baada mahusiano kuvunjika?

Kuna haja gani ya kuchafuana baada mahusiano kuvunjika?

Mapenzi yana nguvu kuliko mauti. Pia mapenzi ni uwendawazimu. Mtu aliye kwenye mapenzi hana akili timamu. Hiyo kuchafuana ni sehemu tu ya uwendawazimu wa kwenye mapenzi.
 
Lazima nikutangazie ubaya aiseeee..
Tena mimi kwa wale ambao nimezinguana nao kisa wanasema sitaki kubadilika...

Aiseee nasemaga vibaya sana hawa mishangazi
 
Mmeamua kuachana si kila mmoja aondoke kimyakimya...ishu za kuchafuana zina umuhimu wowote? eti wakuušŸ¤”
Hakuna haja, ni mambo ya kijinga tu!
Queen Latifah Wow GIF by Bounce (1).gif
 
Pole kwa changamoto mkuu .....Ulirekodiwa umelala mdomo wazi baada ya uchovu wa kudinya kimoja ?
 
Back
Top Bottom