AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 13,769
- 23,676
Ile gari nilimpa kwa ajili ya kutembelea tu ila si ya kwake ni yanguWivu na kutojitambua
Ile gari nilimpa kwa ajili ya kutembelea tu ila si ya kwake ni yanguWivu na kutojitambua
Kuna manzi alikua na jamaa yake fulani huyo manzi ni artist hawa wanachora picha za gharama then zinauzwa bei mbaya huko mbele amesomea kabisa sasa akakutana na hio jamaa ni mchoraji pia ila sio smart wakawa in love baada ya muda wakawa km wameachana nikapenyeza rupia manzi akanipa siti nikakaa sasa sijui tulivurugana nini yule manzi ni kichaa yaan bangi zilimuharibu maana jamaa yake alikua anamvutisha kabla ya kuzinguana siku 2 tu manzi anasema haelewi anataka arudi kwa jamaa yake wakaendelee kula mibangi nikaona duuh isiwe kesiTatizo ni jinsi ulivyojenga hoja yako. Mara nyingi wapenzi wanapoochana, huwa ni kutokana na ugomvi, hivyo hiyo sababu ndiyo inafanya watu wachafuane kwa sababu waligombana. Watu wanaoamua kuachana kwa roho safi (hii huwa ni mara chache )huwa hawachafuani.