Kuna haja gani ya kuchafuana baada mahusiano kuvunjika?

Kuna haja gani ya kuchafuana baada mahusiano kuvunjika?

Mmmmmh juzi nilikuja nikakutana na yule sijui ndo baba wa kambo aijui nani ila ana mabito makubwa kama tanesco hvi.. nikaona kama itakua adhesheni mama 😂🙌
Nimecheka sana 😆😆 baba zako wa kambo wote huwapendagi, unataka nini wewe mtoto?

Happy Cracking Up GIF by Regal.gif
 
Shida kubwa hapo ni namna hayo mahusiano yalivyoisha au kuvunjika, hii ndio upelekea uhasama na uadui mkubwa
 
Wabongo hao.. esp. wapambe nuksi
Wanapenda kuhangaika utadhani ulienda na utamu wake ye kabakia hana utamu tena ndio vimpe sababu ya ye kuhangaika after break up..
 
Mimi kuna mmoja tuliachana afu wsp ikawa ni mimi kila kukicha na simu mim ndo nilikuwa nimemnunulia nikasema ngoja nimwachie tu bt akajifanya kichwa. Nilichokifanya nilimpanga rafiki yake wa kike watoke out na kweli wakatoka mzee mzima nikatinga pale nikachukua simu yangu nikamwacha anatetemeka hadi wa leo hajawai faham huo mchongo nilivyoupanga na rafiki yake. Na alikaa miezi tisa hajapata wa kumnunulia simu huyo huyo rafiki yake akaja kumuombea simu nami nikampa na kumwambia post ya kwanza aapologize yote ya mwanzo na ukwel alifanya hvo. Sasa kibaya zaidi hadi wa leo hajaolewa yupo home kwao na watoto 3 kila mtoto na baba.
 
Narcissistic personality disorder…. Hiyo ni stage inaitwa Smearing campaign, anajaribu ku control namna watu wanavyokuona.

Everything has a psychological reasons.
 
Narcissistic personality disorder…. Hiyo ni stage inaitwa Smearing campaign, anajaribu ku control namna watu wanavyokuona.

Everything has a psychological reasons.
 
Mmeamua kuachana si kila mmoja aondoke kimyakimya...ishu za kuchafuana zina umuhimu wowote? eti wakuu🤔
Kuna mtu kidogo nimuweke ndani kwa swaga za design hii kuchafuana, alifika mbali zaidi kufika mahala ambapo nafanya kazi zangu kwenda kuharibu..

Ila wengine wanaenda mbali zaidi kwa kuroga kabisa kwa waganga 😅😅
 
Ma x zangu tumeachana kiamni tu na hatuchafuani ila wwnaomba hela hao hatar wotee aisee

Wanaomba hela kama hawana mabwana na mimi kulala nao tena sitak , siunajua zile njoo uchukue sema ukija vaa dera peke yake

Sizitak nataka kuoa, basi wewe acha tu ukiwanyima wanakusingizia umewatukana, yaani kumwambia sina anaona kama tusi khaaa
 
Watu mnapitia mengi dunia hii si mchezo..
Ukioa na wakamjua mkeo mbona utaishi kwa mawenge sana muda wowote wanakuchomea betri kwa mkeo.
 
Mmeamua kuachana si kila mmoja aondoke kimyakimya...ishu za kuchafuana zina umuhimu wowote? eti wakuu🤔
Tatizo ni jinsi ulivyojenga hoja yako. Mara nyingi wapenzi wanapoochana, huwa ni kutokana na ugomvi, hivyo hiyo sababu ndiyo inafanya watu wachafuane kwa sababu waligombana. Watu wanaoamua kuachana kwa roho safi (hii huwa ni mara chache )huwa hawachafuani.
 
Back
Top Bottom