Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 6,788
- 16,227
Wivu na kutojitambuammeamua kuachana si kila mmoja aondoke kimyakimya...ishu za kuchafuana zina umuhimu wowote? eti wakuu🤔
hakuna haja wala sababu hata moja ya msingi kufanyiana hiyo nonsense baada ya breakup yenu gentleman 🐒mmeamua kuachana si kila mmoja aondoke kimyakimya...ishu za kuchafuana zina umuhimu wowote? eti wakuu🤔
Hakuna haja maana wakati wowote mnaweza kuelewana,sasa mtatizamana vipi!Mmeamua kuachana si kila mmoja aondoke kimyakimya...ishu za kuchafuana zina umuhimu wowote? eti wakuu🤔
kupata mwingine hakuzuiliki gentleman 🐒au ndio kutengeneza mazingira huko aendapo asipate mwingine.
mbaya zaidi unakuja kutambua ulikuwa unaishi na adui ndani ya nyumba...kuna watu wanakufa vifo vya ghafla kumbe wengine wanakuwa wamewekewa sumu na hawa tunaowaita wenzi wetu.Wivu na kutojitambua
shangaa mkuu, haya maisha kuna leo na kesho.Hakuna haja maana wakati wowote mnaweza kuelewana,sasa mtatizamana vipi!
Usinichafue please,Huwezi kuniacha halafu nikakuchekea uishi kwa amani....😁😁😁😁
Ili mradi tuu usiniache basi 🤣🤣Usinichafue please,
Hakuna haja, ni mambo ya kijinga tu!Mmeamua kuachana si kila mmoja aondoke kimyakimya...ishu za kuchafuana zina umuhimu wowote? eti wakuu🤔
My momy 😍❤️Hakuna haja, ni mambo ya kijinga tu!
View attachment 3589221
Sitokuacha mrembo wangu,Ili mradi tuu usiniache basi 🤣🤣