Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
Mtoto wa mimi π₯°, mbona huji home?My momy πβ€οΈ
Mmmmmh juzi nilikuja nikakutana na yule sijui ndo baba wa kambo aijui nani ila ana mabito makubwa kama tanesco hvi.. nikaona kama itakua adhesheni mama ππMtoto wa mimi π₯°, mbona huji home?
Nimecheka sana ππ baba zako wa kambo wote huwapendagi, unataka nini wewe mtoto?Mmmmmh juzi nilikuja nikakutana na yule sijui ndo baba wa kambo aijui nani ila ana mabito makubwa kama tanesco hvi.. nikaona kama itakua adhesheni mama ππ
πππππππ Ujui nachotaka mamy..?Nimecheka sana ππ baba zako wa kambo wote huwapendagi, unataka nini wewe mtoto?
View attachment 3589242
Kuna mtu kidogo nimuweke ndani kwa swaga za design hii kuchafuana, alifika mbali zaidi kufika mahala ambapo nafanya kazi zangu kwenda kuharibu..Mmeamua kuachana si kila mmoja aondoke kimyakimya...ishu za kuchafuana zina umuhimu wowote? eti wakuuπ€
Jichunge mtoto, radhi ya mama ni laana π€£π€£πππππππ Ujui nachotaka mamy..?
Watu mnapitia mengi dunia hii si mchezo..Ma x zangu tumeachana kiamni tu na hatuchafuani ila wwnaomba hela hao hatar wotee aisee
Wanaomba hela kama hawana mabwana na mimi kulala nao tena sitak , siunajua zile njoo uchukue sema ukija vaa dera peke yake
Sizitak nataka kuoa, basi wewe acha tu ukiwanyima wanakusingizia umewatukana, yaani kumwambia sina anaona kama tusi khaaa
sasa kunichafua unahisi ni jibu la mimi kukuacha....jitathmini kidogo vinginevyo utaendelea kuachwa kila siku..Huwezi kuniacha halafu nikakuchekea uishi kwa amani....ππππ
Tatizo ni jinsi ulivyojenga hoja yako. Mara nyingi wapenzi wanapoochana, huwa ni kutokana na ugomvi, hivyo hiyo sababu ndiyo inafanya watu wachafuane kwa sababu waligombana. Watu wanaoamua kuachana kwa roho safi (hii huwa ni mara chache )huwa hawachafuani.Mmeamua kuachana si kila mmoja aondoke kimyakimya...ishu za kuchafuana zina umuhimu wowote? eti wakuuπ€
sasa kunichafua unahisi ni jibu la mimi kukuacha....jitathmini kidogo vinginevyo utaendelea kuachwa kila siku..