Kuna haja gani ya kuchafuana baada mahusiano kuvunjika?

Kuna manzi alikua na jamaa yake fulani huyo manzi ni artist hawa wanachora picha za gharama then zinauzwa bei mbaya huko mbele amesomea kabisa sasa akakutana na hio jamaa ni mchoraji pia ila sio smart wakawa in love baada ya muda wakawa km wameachana nikapenyeza rupia manzi akanipa siti nikakaa sasa sijui tulivurugana nini yule manzi ni kichaa yaan bangi zilimuharibu maana jamaa yake alikua anamvutisha kabla ya kuzinguana siku 2 tu manzi anasema haelewi anataka arudi kwa jamaa yake wakaendelee kula mibangi nikaona duuh isiwe kesi
 
Love and hate kuna line ndogo hapo katikati mpaka ikifika hatua mnachafuana hisia bado zipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…