2019
JF-Expert Member
- Dec 31, 2018
- 3,130
- 4,735
Kijana unatumia Miaka 17 kutafuta elimu na kujiongezea maarifa lakini baada ya kumaliza muda huo unasubiri serikali ikupe ajira.
Wewe ambaye unasubiri kuajiriwa nakuuliza je hukuwa na pan B? Kama huna elimu uliyopata imekusaidia nini?
Wale uliotoka nao darasa 1 wakaishia katikati leo wana plan B unawaonaje?
Je, bado unaamini elimu ni mtaji au maarifa ndio msingi? Acheni kuililia serikali kwenye swala la ajira sababu ajira ni chache tumieni elimu yenu kujikwamua na maisha.