Faida nazungumzia, hata kabla ya shule kulikuwa na ustaarabu,na kuna wenye elimu bado sio wastaarabuUkiachana na mambo ya ajira, Elimu ina umuhimu saana kwenye maisha ya kawaida.
Huwezi fananisha mtu Aliesoma atleast hata kufikia elimu ya Form 4 na mtu ambae kaishia darasa la 7 au hata ambae hajasoma kabisa.
Mtu aliesoma anakua Civiilized (kastaarabika), anakua na uvumilivu maana Mpaka kumaliza hiyo elimu alivumilia mambo mengi, anaona fursa nyingi, atakua na uwezo wa kupata knowledge tofauti na alichosomea ambapo vitu hivi huwezi pata mtu ambae hajasoma kabisa.
una uhakika gani ya kwamba vijana hawajishughulishi?Kama una miaka 2 nyumbani au mtaani unasubiri ajira jizomee mwenyewe kwa uzembe. Pambana mtaani ajira itakukutia njiani,acha uzembe kijana
Af mwishi wa siku unakua mzigo sasa hayo yote yanakufaidia nini??Ukiachana na mambo ya ajira, Elimu ina umuhimu saana kwenye maisha ya kawaida.
Huwezi fananisha mtu Aliesoma atleast hata kufikia elimu ya Form 4 na mtu ambae kaishia darasa la 7 au hata ambae hajasoma kabisa.
Mtu aliesoma anakua Civiilized (kastaarabika), anakua na uvumilivu maana Mpaka kumaliza hiyo elimu alivumilia mambo mengi, anaona fursa nyingi, atakua na uwezo wa kupata knowledge tofauti na alichosomea ambapo vitu hivi huwezi pata mtu ambae hajasoma kabisa.
Hata kuandika haujui [emoji1751]Af mwishi wa siku unakua mzigo sasa hayo yote yanakufaidia nini??
Sawa.Jikite basi kwenye hoja we falaHata kuandika haujui [emoji1751]
Mtoto ukishajua na kuona giza mbele amua tu kula cross ukimaliza 4 ukafaulu vizuri nenda chuo cha ufundi, hakuna fundi aliewahi kukaa mwaka bila ajiraSikiza wewe acha ujinga. Kabla hujalaumu mtu kumbuka mifumo yetu ya familia na serikali ndio inayotufikisha hapa.
Mzazi anampeleka tu mwanae shule kuanzia primo mpaka uni analipa ada tu. Ulitaka mtoto akatae?
Usilaumu mtu kwa kusoma na kushindwa kutoboa kimaisha. Elimu ni muhimu japo haina guarantee kuwa ukisoma ndio utatoboa.
Usidharau elimu wewe angalia akina Msukuma na Magufuli wana PhD za kununua.
Kweli mkuu, Kuna watu Elimu ndiyo imewafanya wawe vchaaaFaida nazungumzia, hata kabla ya shule kulikuwa na ustaarabu,na kuna wenye elimu bado sio wastaarabu
Nikweli mkuu, hata sisi darasa la 7 tulioamua kuingia vyuo vya ufundi VETA tunamshukuru mungu mkate unaingia mara moja moja hata kama ni kwa mda wa miezi miwiliMtoto ukishajua na kuona giza mbele amua tu kula cross ukimaliza 4 ukafaulu vizuri nenda chuo cha ufundi, hakuna fundi aliewahi kukaa mwaka bila ajira
Ni rahisi sana kusema au kutoa mtazamo wa kitu ambacho yawezekana hujapitia. Hii ni dalili ya kuwa hujafika ambako wamefika hao. Hao wanaolalamika sio kama wamependa iwe hivyo, Tatizo kubwa ni mfumo ya elimu iliowekwa ambayo haimuandai kijana kuja kujiajili, tena katika elimu ya juu watu wanafundishwa enterpreneurship (ujasiliamali) mkufunzi anayefundisha hana hata kibanda cha pipi cha mfano, wala hajawahi kuwa na business venture yoyote. Na mbaya wanafundisha kukomoa aonekane yeye ni bingwa wa kufelisha watu(Sup), matokeo yake mwanafunzi anasoma afaulu mtihani tena kwa kukariri. Ndio maana hawa jamaa wakitoka wanakuwa na mentality ya kuajiliwa,. Mtaani akirudi ndio anabaki kuungaunga,. Serikali ibadilishe mifumo ya Elimu, ikiwezekana Vocational training (VETA) iwe ya lazima then mambo ya chuo ni ya ziada.Malalamiko yamekuwa mengi mno na mtaani tuko nao, wanasubiri kuajiriwa