Nashukuru na huo ni mchango wako tosha.Wewe ni pimbi kama mapimbi wengine.
Haya kasome thread yote sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nashukuru na huo ni mchango wako tosha.Wewe ni pimbi kama mapimbi wengine.
Haya kasome thread yote sasa
soma pia alicho andika though kusema wazuiliwe kazingua ila ana ujumbe sensitive sana ndan yakeUnataka wasafirishe kwa punda au ndege?
Wameokoa polution, msongamano barabarani, wahatumii mafuta mnayogombnia, wewe unawatakia nini hawa watu? Walale njaa wewe utawapa watoto wao chakula au kuwasomesha? Sijasoma ulichoandika nimesoma heading tu ikani touch. Ningekuwa mod ningefuta hii mada.
hahahaaaaKila mtu ashinde mechi zake...
hahahaaaLazima ujue kuwa ni ya mtumba maana ndio inayomrudisha mkeo kila siku usiku akishatoka kuniuzia uchi wake.
umemuelewa kwanza ?Kwa nini ukose umakini katika kutumia chombo cha moto” kuendesha” wewe ndio wapaswa kufutiwa leseni
wengi wamesoma heading tu hawajasoma message iliyomo ndan ya hii threadWengi wanaobisha hawajakutana na zahma ya hao jamaa. Huwa wanaingia katikati ya barabara, na uingiaji wao ni ghafla mno kiasi kwamba kumgonga ni rahisi mno.
kweny baiskeli gan , hayo mayai yanasafirishwa?Huna point ya msingi waacheni watu waishi kwa Uhuru wewe unaendesha IST gar ya mil 2 lkn unaleta dharau kwa Mtu anayesafirisha Mayai ya mil 10 shame
atleast umeongea point mkuuNi usafiri hatarishi, hata kuwa rahisi mtu kupoteza mtaji wake in a second!! Kuwa positive kuwashauri watu ili kuboresha maisha yao, Mimi Naona wangekodi canter wakakutana na mayai Yao kunako Wateja Kwa kuchangia gharama ( group)
Ujumbe anao hatukatai ila kumbuka ujenzi wa barabara zetu siyo rafiki. Nchi nyingi zikijenga barabara, huwa zinaweka waendesha baiskeli halafu na watembea kwa miguu. Sisi pamoja na kusemba mita 20 ziwe za barabara, utakuta ni mita labda 10 tu zinatumika mita 10 au tusema 6 zipo idle ndo mwanzo wa machinga kupata mahali pa kufanya biashara zao. Kosa letu tusiwalaumu waendesha baiskeli.soma pia alicho andika though kusema wazuiliwe kazingua ila ana ujumbe sensitive sana ndan yake
Mamlaka za usalama wa barabarani wanapaswa kuwaangalia kwa usalama wao na watumiaji wengine wa barabara na ikiwezekana kushurtishwa kwa faini pale wanapokosea kama watumiaji wa vyombo vya moto, labda hii italeta nidhamu kwao.
Sasa kuna siku palitokea ugomvi mkubwa sana kati ya wauza mayai na wachimba mchanga... likuwa vita haswaa...!!! Walipigana machepe, nyundo mawe... Baiskeli za wakurya zilikusanywa kwenye serelaKwa wanotumia Pugu/Nyerere Road kutokea Gongo la mboto kupitia Airport watakuwa mashuhuda wa utitiri wa wasafirisha mayai maarafu kama Wakurya wanao ongozana wakiwa na shehena za mayai kwenye baiskeli.
Tatizo linakuja kwa namna ya wanavyoongozana katika barabara kubwa na kuchomekea wenye magari. Na ikitokea kwa bahati mbaya ukamgusa mmoja wao basi wanakuzingira na kukufanyia fujo. Uendeshaji wao wa baiskeli ni wa hatari mno, kama haupo makini ni rahisi sana kuwagonga. Kitendo chao cha kutokutaka kuendesha pembezoni mwa barabara kunaleta hatari zaidi za kuweza kuwavaa na kuwagonga.
Mamlaka za usalama wa barabarani wanapaswa kuwaangalia kwa usalama wao na watumiaji wengine wa barabara na ikiwezekana kushurtishwa kwa faini pale wanapokosea kama watumiaji wa vyombo vya moto, labda hii italeta nidhamu kwao.
Una hoja, lakini unaharibu uzi wako kwa haya matusi,Lazima ujue kuwa ni ya mtumba maana ndio inayomrudisha mkeo kila siku usiku akishatoka kuniuzia uchi wake.
Baiskeli ibebe mayai ya million 10?Huna point ya msingi waacheni watu waishi kwa Uhuru wewe unaendesha IST gar ya mil 2 lkn unaleta dharau kwa Mtu anayesafirisha Mayai ya mil 10 shame
Kutojimithilisha na magari na kutambua athari kubwa zaidi itapatikana kwao pale wanapomchomekea mwenye gari kupelekea kugongwa. Mayai yatavunjika pengine na mwili kuumia.Mbali na kushurutishwa wanapokosea, unashauri namna gani iliyo salama zaidi wao waitumie huku wakiwa wakiendelea kupambana kutafuta ugali wao?