Ila nimegundua baadhi ya wachangiaji wanamlalamikia mleta mada kisa yeye ana gari na anawalalamikia wenye baiskeli.UKISOMA VIZURI HII MADA, KINA CHO LALAMIKIWA NI MATUMIZI YA BARABARA YASIO SAHIHI,NA SIO BIASHARA YAO YA MAYAI!!
KILA KITU KINATARATIBU ZAKE, NA NDIO ASILI YA BINADAMU.
MFANO: HUWEZI KUNYA KAMA HUJALA CHAKULA
HUWEZI PATA MIMBA KAMA HUJATIWA
HAO SIJUI WAKURYA, HAWAJAKUTANA NA SISI VICHAA WA BARABARANI!
Hivi kwani kuna ubaya gani waendesha baiskel wakiwa mastari mmoja (in vertical line) wanaendesha wamebana kushoto mwa barabara?