Kuna haja mamlaka husika kudhibiti wasafirisha mayai kwa baiskeli

Kutojimithilisha na magari na kutambua athari kubwa zaidi itapatikana kwao pale wanapomchomekea mwenye gari kupelekea kugongwa. Mayai yatavunjika pengine na mwili kuumia.
Bado hamna suluhu.

Suluhu pekee ni kujenga barabara zinazopitikana kwa magari, baiskeli na waenda kwa miguu ili kitu kipite kwenye njia yake. Ishauri mamlaka hivyo.
 
Bado hamna suluhu.

Suluhu pekee ni kujenga barabara zinazopitikana kwa magari, baiskeli na waenda kwa miguu ili kitu kipite kwenye njia yake. Ishauri mamlaka hivyo.
Hapana Suluhu ni mwenye gari kukata bima kubwa comprehensive insurance. Ukigonga ukigongwa bima inalipa.

Pesa inaamua kesi
 
Hapana Suluhu ni mwenye gari kukata bima kubwa comprehensive insurance. Ukigonga ukigongwa bima inalipa.

Pesa inaamua kesi
maskini ya Mungu ukute hata mkokoteni huna, umekaa hapa kubana kalio kuhusu Comprehensive Insurance. Hii ndo athari ya mitandao kila kapuku kujifanya anacho.
 
Hapana Suluhu ni mwenye gari kukata bima kubwa comprehensive insurance. Ukigonga ukigongwa bima inalipa.

Pesa inaamua kesi
Mkuu pesa haiwezi kurudisha uhai wa Binadamu,pesa haiwezi kufanya watu wasiwe makini kwenye suala la road safety.
 
Mkuu pesa haiwezi kurudisha uhai wa Binadamu,pesa haiwezi kufanya watu wasiwe makini kwenye suala la road safety.
tatizo wanaishi kwa kukariri. Wakikaa vijiwe vya magazeti wakisikia watu wanaongea na wao wanayabeba kama yalivyo kuyaleta huku kama wataalam vile.

Thamani ya pesa hukomea pale unapoweza itumia kununua mbadala wa kitu. Ushavunjika kiuno upo kitandani, hiyo comprehensive insurance sijui itakuwa na msaada gani tena.
 
Sasa hivi kugongwa hawa jamaa kumepungua kidogo tofauti na zamani,watu washawazoea.
 
Punguza hasira. Umaskini siyo kigezo cha kuhatarisha maisha binafsi au ya wengine barabarani!

Uendeshaji mzuri wa baiskel zaidi ya mtu mmoja ni kuendesha kwa foleni, yaani mmoja mbele, na mmoja nyuma.

Sasa uendeshaji wa baiskel wa watu zaidi ya mmoja wakiwa sambasamba ni hatari kwa sababu wanabana barabara, wengine huingia ndani ya mstari wa barabara wa vyombo vya moto.

Watu wanataka waendeshe baiskeli sambasmba huku wakipiga stori barabarani. Ni hatari!
 
wewe utakuwa bodaboda tu
 
Usichokijua mwendesha baisikeli yupo kundi la watembea kwa miguu, ndiyo maana vyombo vyao havisajiriwi, wanatakiwa wawe na njia yao, siyo barabara ya magari.
Hivyo wapitapo barabara kutaka kutunishiana na wenye magari ni kosa.
 
Huyo Mleta mada ni wale wenye vigari mitumba walivyonunua toka Japan kwa mkopo kazini kwao .Nyodo kibao !! Kigari kimeokotwa majalalani Japan akauziwa yeye basi anajiona barabara yote yake.

Matajiri hawana shida barabarani
Iwe ya mtumba, isiwe ndiyo ana gari, na hata kama ameikopa, halipi mawe, ila analipa pesa inayotokana na Jasho lake.

Kama mkopo ni bure, si ukachukue ya kwako, wewe hupindi kuwa na gari, acha dhalau wewe, watu wanakopa mabasi, yeye nani asikope, kama pesa inamruhisu.
 
Kumiliki kisubaru cha mkopo ndiyo unawaona warndesha baiskeli hawana haki ya kutumia barabara. Mbafu sana wewe
 
Mleta mada kumbuka wana familia na hawatapewa mbususu bila kuleta pesa na mahitaji ya msingi nyumbani.
Waache tu wakaze kende zao kujitafutia riziki yao.
 
UKISOMA VIZURI HII MADA, KINA CHO LALAMIKIWA NI MATUMIZI YA BARABARA YASIO SAHIHI,NA SIO BIASHARA YAO YA MAYAI!!
KILA KITU KINATARATIBU ZAKE, NA NDIO ASILI YA BINADAMU.
MFANO: HUWEZI KUNYA KAMA HUJALA CHAKULA
HUWEZI PATA MIMBA KAMA HUJATIWA


HAO SIJUI WAKURYA, HAWAJAKUTANA NA SISI VICHAA WA BARABARANI!
 
Huenda una hoja ila nilitamani uzungumzie pale similar scenarios kwenye barabara nyingine, mathalani, katika barabara ya morogoro kutoka kibaha hadi Chalinze kuna pikipiki zinazopakia mkaa. Hizi husababisha ajali kila uchao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…