Kuna haja mamlaka husika kudhibiti wasafirisha mayai kwa baiskeli

Ila nimegundua baadhi ya wachangiaji wanamlalamikia mleta mada kisa yeye ana gari na anawalalamikia wenye baiskeli.

Hivi kwani kuna ubaya gani waendesha baiskel wakiwa mastari mmoja (in vertical line) wanaendesha wamebana kushoto mwa barabara?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…