Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alifundisha watu kuchukia wizi ,akaenda mbali kutoa watu wenye vyeti feki ambao walichukua nafasi za watu wenye sifa hizo kwa njia ya udanganyifu . Na kumuacha Makonda na liocheti lake tena na kusema hadharani kuwa cheti ni makaratasi tu muhumu kufanya kazi
Kama baba wa familia alianzisha miradi mingi kwa kuwaaminisha waamisha wanawe kwamba pesa wanazoingiza ndio zinajenga hiyo miradi lengo waendelee kupambana ,kumbe kuna baadhi ya pesa anakopa nje . Huku anakopa na kudanganya ni hela za ndani
Lakini pia aliwaongoza watanzania katika kipindi kigumu cha UVIKO-19 kwa busara zake watanzania wengi walipita salama kiuchumi na kiafya kipindi hicho . Bahati mbaya aliwaongoza watanzania kupita salama alafu yeye ikamla kichwa. Ujinga kabisa kuamini usemalo.
Ongezea na chacha WangweKawaeleze haya familia za Ben Saanane na Tundu Lissu na Roma na Azory
Kwani ni nchi gani ambayo sio rahisi kuwatawala?na ndio maana ni rahisi sana kuwatawala wa tz
Ingekuwa ngumu sana kuimaliza, maana hata biashara nyingi zilikuwa zikiendelea kufungwa, makusanyo ya TRA yangekuwa shida.Unataka kusema alianzisha miradi ambayo asingemaliza ?
Mwamba wa Africa, Baba wa mageuzi na mzalendo wa kweli aliyegusa maisha ya wanyonge wengi, Endelea kupumzika kwa amani.
Hizo familia ni ngapi vs watanzania milioni 60? If you don’t know maths you don’t know half of everything.Kawaeleze haya familia za Ben Saanane na Tundu Lissu na Roma na Azory
Kati ya watu million 60 na zaidi walipa kodi ni milioni 3, according to house financial minister… Magu aliongeza wigo wa walipa kodi kwa kuwaingiza machinga kwenye mfumo, mmewatoa ili mpate kigezo za kutupiga… tunawaona sana…Ingekuwa ngumu sana kuimaliza, maana hata biashara nyingi zilikuwa zikiendelea kufungwa, makusanyo ya TRA yangekuwa shida
Taasisi nyingi za kimataifa na nchi washirika pia walikuwa hawampi mikopo nafuu
Bado kuna wapumbavu hata kwenye hii thread wanamuabuduMagu alitaka tumwabudu
Magu alitaka awe alpha na Omega kwenye maisha yetu
Magu alitaka hata former Presidents wampigie magoti
Magu ni laana juu ya nchii
Viva Samia.. ...
Unazijua ibada Boss? Embu nionyeshe viashiria vyake kwenye maoni haya… sijaona mbuzi wa kafara, maneno ya kuabudu, sijasikia harufu ya hudi au ubani… au sijui nachang’anya ibada na kuabudu kuwa ni vitu sambamba…Bado kuna wapumbavu hata kwenye hii thread wanamuabudu
Kwani alimaliza kipindi chake cha uwongozi...???Kumbe haeleweki?
Mbona mlidai anaeleweka na wanyonge?[emoji23][emoji23]
Jamaa aliyekiri kwamba UvIKo ilikuwepo ila suluhisho akasema ni maombi ya siku 3?[emoji23][emoji23]
Kuanzisha miradi kila mtu anaweza, ishu ni kumaliza hiyo miradi, Magufuli alianzisha na kumaliza mradi gani mkubwa?
Wewe, najua umechoka unapiga miayo tuu!! chumbani hapo!! sasa unatamani wana JF tukutukane!! lkn hakutukani ng'oo!..pambana na hali yako hapo hapo chumbani kwako huna hela weekend hii!Habari wana JF , Tanzania tangu kupata uhuru imetawaliwa na viongozi wengi sana lakini changamoto za watanzania ni zile zile .
lakini kiuhalisia kwa nchi kama Tanzania yenye vyanzo mbali mbali vya mapato hatutegemei mpaka leo changamoto hizo ziwepo...
HakumalizaKwani alimaliza kipindi chake cha uwongozi...???
Machinga walikuwa wakilipa kodi gani?Kati ya watu million 60 na zaidi walipa kodi ni milioni 3, according to house financial minister… Magu aliongeza wigo wa walipa kodi kwa kuwaingiza machinga kwenye mfumo, mmewatoa ili mpate kigezo za kutupiga… tunawaona sana…
Inge ni kauli ya wafu kifikra, ninge doesn’t come twice.
Ndiyo aina ya hao watu ambao hawakumwelewa Magufuli waliofikiri kila muda kila wakati kila zama ni kucheza cheza na kuongea ongea siasa zisizo na mbele wala nyuma. Kwa bahati mbaya kwao ule ulikuwa utawala serious sana na ulidhamiria kweli kweli. Collateral damage.Kawaeleze haya familia za Ben Saanane na Tundu Lissu na Roma na Azory
At last mmeanza kuona kuwa alikuwa haeleweki..!!Habari wana JF , Tanzania tangu kupata uhuru imetawaliwa na viongozi wengi sana lakini changamoto za watanzania ni zile zile .
lakini kiuhalisia kwa nchi kama Tanzania yenye vyanzo mbali mbali vya mapato hatutegemei mpaka leo changamoto hizo ziwepo .
hii ina maana watanzania wengi na viongozi wengi wanakuwa na mawazo yale yale na namna ya kuongoza ile ile .
JPM alikuja mfumo tofauti ambao ulijenga kuwaaminisha watanzania kwamba wanaweza na kwa Mali walizonazo watu sio wa kutegemea Nje ,Hivyo wafanye kazi kwa bidii hakuna pesa rahisi .
Alifundisha watu kuchukia wizi ,akaenda mbali kutoa watu wenye vyeti feki ambao walichukua nafasi za watu wenye sifa hizo kwa njia ya udanganyifu .
Kama baba wa familia alianzisha miradi mingi kwa kuwaaminisha waamisha wanawe kwamba pesa wanazoingiza ndio zinajenga hiyo miradi lengo waendelee kupambana ,kumbe kuna baadhi ya pesa anakopa nje .
Lakini pia aliwaongoza watanzania katika kipindi kigumu cha UVIKO-19 kwa busara zake watanzania wengi walipita salama kiuchumi na kiafya kipindi hicho .
Lakini alienda mbali na kuamini adui wa Nchi ni adui wa JPM pia hivyo alishughulika nao vilivyo na wakati mwingine nguvu kubwa ilitumika kukusanya kodi .
Kwa haya utagundua alikuwa Tofauti na watanzania na viongozi wengi na ndio wengi hawamuelewi hivyo kwa Mambo alifanya na kuanzisha kwa Muda mchache kuna haja elimu hiyo ikamfikia kila Mtanzania na kuienzi .
Vile vitambulisho walivyokuwa wakiuziwa na wakuu wa mikoa umesahau? Elfu ishirini kila mmoja times idadi yao nchi nzima, kumbuka walivyojaa mpaka barabarani… kila mkoa, kila wilaya, kila mtaa …. Never underestimate the potential of numbers.Machinga walikuwa wakilipa kodi gani?
Sasa vile vitambulisho vilikuwa na mwendelezo!!?Vile vitambulisho walivyokuwa wakiuziwa na wakuu wa mikoa umesahau? Elfu ishirini kila mmoja times idadi yao nchi nzima, kumbuka walivyojaa mpaka barabarani… kila mkoa, kila wilaya, kila mtaa …. Never underestimate the potential of numbers.
Huo ushuru wa 20k siku 40 kwa machinga mmoja ulifika hazina? Vitambulisho vilijulikana idadi, aliipata hela aliyoproject kikamilifu….alikuwa smart sana, kilichomkwamisha ni kuwa Simba pekee kwenye nchi ya makondoo… tuendelee kuwalilia wanasiasa na kuamini kuwa TRA inatosha kutukusanyia pesa zetu.Sasa vile vitambulisho vilikuwa na mwendelezo!!?
Machinga walikuwa wakilipa ushuru wa 500 kwa siku, ambayo kwa siku 40 ilikuwa ni 20k tayari
Magufuli akaondoa huo utaratibu, akaweka vitambulisho ambavyo havikuwa na mwendelezo
Alivitoa mwaka 2018 wakalipia mara moja, na hela zenyewe hazikukusanywa na TRA