Kuna haja ya kuanzisha somo la namna ya kumuelewa na kumuenzi Hayati Magufuli

Unamuenzi vipi mtu alieminya demokrasia na haki za binadamu!
Unamuenzi vipi Rais ambae alitesa watu wake wa kuwaua,kuwafunga na kuwapiga risasi mchana kweupe!
Tumuenzi mtu ambae hakuheshimu Katiba iliyompa Uraisi?
Tunahitaji maendeleo hayo mengine ni porojo tu
 
Anazungumziwa mtu mwenye akili nyingi mno ambaye haikumstahili azaliwe kwa nchi ya wajinga kama wewe'
 
Reactions: RNA
Jambo jema, huenda wakakusikia wahusika. Ila wafundishe mema yake pekee. Maana hayati hakutaka mabaya yake yakumbukwe.
 
Huu ndio ujinga wa mjinga mmojawapo wa ki Tanzagiza,

Embu toa ushahidi wa hili la kuficha fedha chato we kima?
 
Tanzania ni tajiri kwa Rasilimali tulizo nazo. Lakni tukubali tukatae, shilingi ina pande mbili na binadamu siyo malaika. Magufuli alithubutu, alisiimamia lile aliloliamini na kuitekeleza kwa wakati- hakuna ubishi. Lakini tukubali vile vile alitesa na kuonea sana baadhi ya watu. Aidha, udhalilishaji wa watu wazimaambao haukuwa wa lazima ulikithiri. Baadhi ya vijana kama kina Makonda, Sabaya na Ali happi wakatumia madaraka vibaya huku wakipigiwa makofi kwa maovu waliyoyatenda katika ofisi za umma. Uongozi wowote unatakiwa kumtanguliza Mungu Muumba wetu na maelekezo yake ndipo amri za binadamu zifuate.
 
Mchango wa Magu ni mkubwa sana.

Mungu kamtumia kazi yake amemaliza.

Waliobaki wana majukumu ya kutekeleza kwa vitendo mazuri yake aliyotuachia.
 
Lecturer wa Hilo SoMo atakuwa Wakili Msomi Tundu Lisu.
 
Hata suala la 'vyeti feki', Makonda au sijui ni Bashite whatever his real name is angemng'oa live kuonyesha msisitizo kuwa alikuwa serous. Yeye mwenyewe elimu yake ilitiliwa mashaka na aliyeanzisha mjadala wa uhalali wa PHD yake the late Ben Saanane 'alipotezwa' kwa sababu ambazo wengi wanahisi kulinda Jiwe asiaibishwe kwa kuwa mmoja wa wenye 'vyeti feki'.
Kuwa katili, muuaji, mnyanyasi na baradhuli mtesaji kunafanya mtu aonekane mnafiki anapojifanya ana huruma kwa 'the so called wanyonge', kuwa mnyonge iligeuzwa kuwa ni sifa. Watu walikuwa brainwashed kipumbavu sana ili waridhike kuwa watu wa hali ya chini.
 
Anazungumziwa mtu mwenye akili nyingi mno ambaye haikumstahili azaliwe kwa nchi ya wajinga kama wewe'
Huyo mbwa wenu angezaliwa nchi ya watu wanaojielewa kidogo angetolewa madarakani kisha angenyonywa, ni Tanzania tu kuliko na misukule isoyo na elimu ndio maana alishangiliwa

Rais fisadi, mvunja katiba, muuaji
 
Kuna haja ya kujifunza kitu kutoka kwa huyu mtu
Jifunze ww kuhusu yeye, sisi wengine tunajua alikuwa ni kiongozi dhalimu. Na hatuko tayari watoto wetu wajifunze kuhusu kiongozi muovu.
 
Tunahitaji maendeleo hayo mengine ni porojo tu

Kama demokrasia sio jambo la maana, kwanini Nyerere alitumia raslimali za nchi kuwasadia weusi wa Afrika kusini dhidi ya makaburu, wakati makaburu ndio walileta maendeleo kwenye nchi ile?
 
Kwani yeye alipatikana kwa njia gani
 
Yaani kulienzi jambazi lilopelekea vijana kufika huku?
 

Attachments

  • VID-20230112-WA0025.mp4
    15.6 MB
Hata na Polepole alikuwa na akiri kama zakwako ..hadi akaanzisha Chuo kabisa kama UD chakueneza demokrasia ya jiwe baada ya kulamba asali tupo naye hapa Lilongwe akatulia.Wewe pambana usije ukalamba asali nakuterekeza wazo la kipumbavu kama hilo
Ndugu na jamaa wa "MAREHEMU"...
 
Nenda chato kazikwe nae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…