Kuna haja ya kuanzisha somo la namna ya kumuelewa na kumuenzi Hayati Magufuli

Mzalendo no.1 ambae hakutak matumizi ya serikali yake yachunguzwe 🤣🤣🤣🤣
 
Magu alitaka tumwabudu

Magu alitaka awe alpha na Omega kwenye maisha yetu

Magu alitaka hata former Presidents wampigie magoti

Magu ni laana juu ya nchii
Viva Samia.. ...
ule mpango wa kuandika hukumu kwa kiswahili uliishia wapi?
ule mpango wa kufundisha historia ya kumtukuza chizi tangu darasa la tatu uliishia wapi
hahaha mungu fundi nyie mlijua hata kufa?
ile damu ya ben sanane aliyoimwaga kwa mikono yake pale ikulu itawatesa nyie wooote mliokuwa mkishangilia na vizazi vyenu
 
Masomo kama hayo alianzisha Mobutu sio mbaya wafuasi wa dikteta uchwara nao wakaanzisha masomo ya kujifunza ujinga wa bwana wao.
 
Tunaangamia kwa kukumbatia ujinga😭😭😭😭 hatutaki maarifa...hatujakosa
 
Magu alitaka tumwabudu

Magu alitaka awe alpha na Omega kwenye maisha yetu

Magu alitaka hata former Presidents wampigie magoti

Magu ni laana juu ya nchii
Viva Samia.. ...
Nchi inaenda, so far so good.. hakuna tena kuokota viroba Coco, wala raia kutekwa ovyo.... hongera mamaaa.... Samiaaa....
 
Huyo mbwa wenu angezaliwa nchi ya watu wanaojielewa kidogo angetolewa madarakani kisha angenyonywa, ni Tanzania tu kuliko na misukule isoyo na elimu ndio maana alishangiliwa

Rais fisadi, mvunja katiba, muuaji
Ni nchi ya wajinga tu ambayo kuna watu maofsini wamefoji vyeti
 
Tumuulize mama Samia, kuhusu hizo hekaya.

Kuhusu hayo maandiko ya miungu nadhani wewe ndio tukusaidie, miungu ya Waisrael na warumi kamwe haitakusaidia wewe hapo kwa mparange… tafuta Mungu wako acha hekaya za warumi.
Wewe upo shimoni ambapo hamna mwanga halafu mtu aliyepo nnje anakwambia huku juu nnje jua kali na bado unambishia kwa kusema hizo ni hekaya!!???

Pole sana kwa upofu wa akili ulionao.
 
sio kila kitu unachoambiwa kiko sahihi
 
Magu alitaka tumwabudu

Magu alitaka awe alpha na Omega kwenye maisha yetu

Magu alitaka hata former Presidents wampigie magoti

Magu ni laana juu ya nchii
Viva Samia.. ...
ni mawazo yako tu
 
Masomo kama hayo alianzisha Mobutu sio mbaya wafuasi wa dikteta uchwara nao wakaanzisha masomo ya kujifunza ujinga wa bwana wao.
kuwa na heshima
 
Una matatizo wewe, aenziwe kwa lipi haswa, yaani uanzishe somo kwa jili ha kumuenzi mwendawazimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…