The redemeer
JF-Expert Member
- Jan 28, 2025
- 1,497
- 2,681
Wabongo SI watu wa mitandao,mtandaoni ndipo sahihi kupata mtu wa sifa uzitakazo then mkikutana live ndo mnapima sifa hizo je ziposi kweli gentleman,
hapangekua na kundi kubwa namna hili linalotangatanga na kuhangaika kutafuta wake na waume kiasi hiki,
kati ya vijana elfu 10 unaweza usipate hata moja aliefanikiwa kwenye hilo, kusema wengi ni uoptoshaji π
hizo watu wamepigwa sana matukio lakini pia wengi wanadai ni usumbufu mtupu,Ipo mbona kitambo majukwaa kibao ya kutafuta mwenye sifa mnazofanana na wengi wamepatana humo hadi leo wanaishi maisha ya furaha
Zipo Uber au bolt za ndoa.
Mfano Pana tinder,na dating sites kibao tu mnamatch
Fwala sana we jamaandindi nusu albino to the world
wengi walijaribu Facebook Mwanzoni kabisa lakini mambo yakawa tofauti walivyo kutana macho kwa macho,Wabongo SI watu wa mitandao,mtandaoni ndipo sahihi kupata mtu wa sifa uzitakazo then mkikutana live ndo mnapima sifa hizo je zipo
haitahusika na masuala ya ndoa ya msikitini au kanisani kwa mtu na wala haitahusika na na dini wala kabila la mtu.Itakuwa ni taasisi inayokumbwa na mambo mengi kuhusu ndoa za hao waliowatafutia. Labda wapewe elimu kuhusu mahusiano, itawasaidia kufanya maamuzi nani wa kuoa/kuolewa naye.
ni wapi huko gentleman?Kama uko tayari tu basi waambie wazazi au walezi hata kama haujapata bado ...Vijana wengi wenye tabia njema hupewa mke bila ya kutafuta huku kwetu tena simple sana.
Ukitaka type yako kama ulishindwa ukiwa chuoni basi rudi kwenu waambie wazazi ,nahisi sisi tulioishi na father alone ndio tunapata tabu .
Tanga huu mchezo upo sana kwa jamii ya wasambaa .ni wapi huko gentleman?
kanda ya ziwa right?π
dah umetangazia umma chimbo la kujipendekeza na kunyakua mume au mke huko gentleman,Tanga huu mchezo upo sana kwa jamii ya wasambaa .
Hao wanaishi mjini na hawafuati mila za huko , mimi ningekuwa nishafuata sema sina itukadi za kikabila kabisa ..Wadogo wangu wameoa kabisa tena jamaa nahisi wanaingilia kuoana watu kwa kujuana kama waarabu.dah umetangazia umma chimbo la kujipendekeza na kunyakua mume au mke huko gentleman,
lakini watu wa sehemu hiyo mbona pia wamo wanatangatana na kurandaranda mijini kutafuta wenza ?
au ni wale waliokuja kusoma, wakamaliza na wakagoma kurudi kwao?π
Haitaweza kujiepusha na lawamahaitahusika na masuala ya ndoa ya msikitini au kanisani kwa mtu na wala haitahusika na na dini wala kabila la mtu.
Yenyewe kazi yake ni moja tu,
kuwaunganisha na kuwakutanisha vijana wanaotangatana na kuhangaika kutafuta watu sahihi wa kua wachumba, wake au waume zao π
Rangi ya moto niajeFwala sana we jamaa
Shemeji pita hama Mangos mlimani tunywe maji πNi wazo jema na lita saidia Sana, endapo watafutaji wakiwa na maono na weredi.
mimi na ndugu yangu Half american tume tafutiwa wachumba na shemela wetu binti kiziwi .
najivunia kusema sijutii loloteπ
Sipendi ule msemo wao wa trust the taste π.Shemeji pita hama Mangos mlimani tunywe maji π
Wote wote na mabest man ikibidi, Uzuri mimi naspoil hadi mashemeji.Sipendi ule msemo wao wa trust the taste π.
Half american tuibuke?
Shemeji Usha changamka ehh?, I only spoil myself.Wote wote na mabest man ikibidi, Uzuri mimi naspoil hadi mashemeji
ππ Do i look like nimechangamka tayari?Shemeji Usha changamka ehh?, I only spoil myself.