Kuna haja ya kuanzisha taasisi maalum yakutafutia vijana wachumba wa kuoa kabisa sio ajira pekee yake

Kuna haja ya kuanzisha taasisi maalum yakutafutia vijana wachumba wa kuoa kabisa sio ajira pekee yake

si kweli gentleman,
hapangekua na kundi kubwa namna hili linalotangatanga na kuhangaika kutafuta wake na waume kiasi hiki,

kati ya vijana elfu 10 unaweza usipate hata moja aliefanikiwa kwenye hilo, kusema wengi ni uoptoshaji 🐒
Wabongo SI watu wa mitandao,mtandaoni ndipo sahihi kupata mtu wa sifa uzitakazo then mkikutana live ndo mnapima sifa hizo je zipo
 
Ipo mbona kitambo majukwaa kibao ya kutafuta mwenye sifa mnazofanana na wengi wamepatana humo hadi leo wanaishi maisha ya furaha
Zipo Uber au bolt za ndoa.
Mfano Pana tinder,na dating sites kibao tu mnamatch
hizo watu wamepigwa sana matukio lakini pia wengi wanadai ni usumbufu mtupu,

Nadhani ni muhim taasisi hizo zikaanzishwa nchini, kwamfano waombaji wote katika siku na tarehe maalumu wanakutanishwa pale taifa kwa mkapa, wanaonana macho kwa macho kama vile kwenye interview za ajira,

mtu anaweza hata kubadili gia angani akachukua chombo ingine kali zaidi pale pale taifa ilimradi tu asimnyang'anye mwingine.

Nadhani tunaweza kupunguza na kumaliza kabisa mahangaiko ya vijana kwa haraka na kwa urahisi zaidi 🐒
 
Itakuwa ni taasisi inayokumbwa na mambo mengi kuhusu ndoa za hao waliowatafutia. Labda wapewe elimu kuhusu mahusiano, itawasaidia kufanya maamuzi nani wa kuoa/kuolewa naye.
 
Wabongo SI watu wa mitandao,mtandaoni ndipo sahihi kupata mtu wa sifa uzitakazo then mkikutana live ndo mnapima sifa hizo je zipo
wengi walijaribu Facebook Mwanzoni kabisa lakini mambo yakawa tofauti walivyo kutana macho kwa macho,

sasa mimi napendekeza,
watu wakutanishwe macho kwa macho bila filter, we ainisha sifa na vigezo stahiki upendavyo na taasisi hiyo maalumu itawakusanya wote wenye sifa unazotaka ukakutane nao na mtihani wa uchaguzi iwe ni juu yako 🐒
 
Itakuwa ni taasisi inayokumbwa na mambo mengi kuhusu ndoa za hao waliowatafutia. Labda wapewe elimu kuhusu mahusiano, itawasaidia kufanya maamuzi nani wa kuoa/kuolewa naye.
haitahusika na masuala ya ndoa ya msikitini au kanisani kwa mtu na wala haitahusika na na dini wala kabila la mtu.

Yenyewe kazi yake ni moja tu,
kuwaunganisha na kuwakutanisha vijana wanaotangatana na kuhangaika kutafuta watu sahihi wa kua wachumba, wake au waume zao 🐒
 
Kama uko tayari tu basi waambie wazazi au walezi hata kama haujapata bado ...Vijana wengi wenye tabia njema hupewa mke bila ya kutafuta huku kwetu tena simple sana.

Ukitaka type yako kama ulishindwa ukiwa chuoni basi rudi kwenu waambie wazazi ,nahisi sisi tulioishi na father alone ndio tunapata tabu .
ni wapi huko gentleman?
kanda ya ziwa right?🐒
 
Tanga huu mchezo upo sana kwa jamii ya wasambaa .
dah umetangazia umma chimbo la kujipendekeza na kunyakua mume au mke huko gentleman,

lakini watu wa sehemu hiyo mbona pia wamo wanatangatana na kurandaranda mijini kutafuta wenza ?

au ni wale waliokuja kusoma, wakamaliza na wakagoma kurudi kwao?🐒
 
Hao wanaishi mjini na hawafuati mila za huko , mimi ningekuwa nishafuata sema sina itukadi za kikabila kabisa ..Wadogo wangu wameoa kabisa tena jamaa nahisi wanaingilia kuoana watu kwa kujuana kama waarabu.
 
haitahusika na masuala ya ndoa ya msikitini au kanisani kwa mtu na wala haitahusika na na dini wala kabila la mtu.

Yenyewe kazi yake ni moja tu,
kuwaunganisha na kuwakutanisha vijana wanaotangatana na kuhangaika kutafuta watu sahihi wa kua wachumba, wake au waume zao 🐒
Haitaweza kujiepusha na lawama
 
Haitaweza kujiepusha na lawama
nani amawahi kulaumu familia, jumuiya, kanisa au msikiti uliomtafutia kijana mume au mke na kumfungisha ndoa?

uliskia wapi kwa mfano 🐒
 
Kwan kazi ya familia, ndugu jamaa na marafiki kazi yao nn

Lakin pia ushafikilia suala la kupunguza vigezo unakuta mtu anatafuta mchumba ila ukiangalia vigezo alivyoweka ni watu watatu tafauti ila yy anataka avipate kwa mtu mmoja.
 
Back
Top Bottom