Kuna haja ya kuanzisha taasisi maalum yakutafutia vijana wachumba wa kuoa kabisa sio ajira pekee yake

πŸ˜€πŸ˜€ Do i look like nimechangamka tayari?

Ujue niko sober mwezi wa 2 huu .
basi ita kuwa uli kuwa na furaha ya kuniona shemeji yako🀣.

talking about spoiling, I spoil myself, mchumba mtarajiwa na familia yetu.

beside staying sober is good!
 
nani amawahi kulaumu familia, jumuiya, kanisa au msikiti uliomtafutia kijana mume au mke na kumfungisha ndoa?

uliskia wapi kwa mfano πŸ’
Kanisa linahusika pale wanapokuja wahusika wakiwa tayari wamependana... Sasa hii taasisi itakuwa tofauti na kanisa
 
Sio rahisi kihivyo, idea yako watu washaijaribugi ikafeli, marekani Wana kitu kinaitwa singles event, Yani wanaandaa eneo, wanawake na wanaume walio single wanakutana kutafta wachumba, sahivi kwenye singles event huko USAwanaume hawaendi, wanaona ni usumbufu na kupoteza mda, singles event kule USA zinajaaga wadada tu, wanaume wengi hawaendi sababu ya kuchoka kukataliwa

Hiyo system hata ukileta bongo matokeo yatakua hayo hayo Tlaatlaah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…