Kuna haja ya kuanzisha taasisi maalum yakutafutia vijana wachumba wa kuoa kabisa sio ajira pekee yake

Kuna haja ya kuanzisha taasisi maalum yakutafutia vijana wachumba wa kuoa kabisa sio ajira pekee yake

nani amawahi kulaumu familia, jumuiya, kanisa au msikiti uliomtafutia kijana mume au mke na kumfungisha ndoa?

uliskia wapi kwa mfano 🐒
Kanisa linahusika pale wanapokuja wahusika wakiwa tayari wamependana... Sasa hii taasisi itakuwa tofauti na kanisa
 
hizo watu wamepigwa sana matukio lakini pia wengi wanadai ni usumbufu mtupu,

Nadhani ni muhim taasisi hizo zikaanzishwa nchini, kwamfano waombaji wote katika siku na tarehe maalumu wanakutanishwa pale taifa kwa mkapa, wanaonana macho kwa macho kama vile kwenye interview za ajira,

mtu anaweza hata kubadili gia angani akachukua chombo ingine kali zaidi pale pale taifa ilimradi tu asimnyang'anye mwingine.

Nadhani tunaweza kupunguza na kumaliza kabisa mahangaiko ya vijana kwa haraka na kwa urahisi zaidi 🐒
Sio rahisi kihivyo, idea yako watu washaijaribugi ikafeli, marekani Wana kitu kinaitwa singles event, Yani wanaandaa eneo, wanawake na wanaume walio single wanakutana kutafta wachumba, sahivi kwenye singles event huko USAwanaume hawaendi, wanaona ni usumbufu na kupoteza mda, singles event kule USA zinajaaga wadada tu, wanaume wengi hawaendi sababu ya kuchoka kukataliwa

Hiyo system hata ukileta bongo matokeo yatakua hayo hayo Tlaatlaah
 
Back
Top Bottom