Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Ni wapi hukoSipendi ule msemo wao wa trust the taste 😂.
Half american tuibuke?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni wapi hukoSipendi ule msemo wao wa trust the taste 😂.
Half american tuibuke?
basi ita kuwa uli kuwa na furaha ya kuniona shemeji yako🤣.😀😀 Do i look like nimechangamka tayari?
Ujue niko sober mwezi wa 2 huu .
Mgahawa wa mango pale mlimani huujui?.Ni wapi huko
Si ujui mkuu mlimani ndio wapiMgahawa wa mango pale mlimani huujui?.
acha ufala mwananguSi ujui mkuu mlimani ndio wapi
Sasa kama sijui nikatae mkuu?acha ufala mwanangu
MbinguniSasa kama sijui nikatae mkuu?
Sawa tajiriMbinguni
acha matusi basi we JamaaSawa tajiri
Hivyoacha matusi basi we Jamaa
hapa nasubiri ukoko kwa mama ntilie, mchawi buku tu una mchuzi huo.Hivyo
Nyie ndio mnawaibiaga mama ntiliehapa nasubiri ukoko kwa mama ntilie, mchawi buku tu una mchuzi huo.
sija wahi kumuibia aisee, Mwaka wa 3 huu.Nyie ndio mnawaibiaga mama ntilie
Sawa mkuusija wahi kumuibia aisee, Mwaka wa 3 huu.
Sema we wakishua, ila ninge kualika uje🤣😂Sawa mkuu
baridi siku uki jisikia una taka kuumwa tumbo, njoo ule huku kwa wagumu.Sawa mkuu
Kanisa linahusika pale wanapokuja wahusika wakiwa tayari wamependana... Sasa hii taasisi itakuwa tofauti na kanisanani amawahi kulaumu familia, jumuiya, kanisa au msikiti uliomtafutia kijana mume au mke na kumfungisha ndoa?
uliskia wapi kwa mfano 🐒
Sio rahisi kihivyo, idea yako watu washaijaribugi ikafeli, marekani Wana kitu kinaitwa singles event, Yani wanaandaa eneo, wanawake na wanaume walio single wanakutana kutafta wachumba, sahivi kwenye singles event huko USAwanaume hawaendi, wanaona ni usumbufu na kupoteza mda, singles event kule USA zinajaaga wadada tu, wanaume wengi hawaendi sababu ya kuchoka kukataliwahizo watu wamepigwa sana matukio lakini pia wengi wanadai ni usumbufu mtupu,
Nadhani ni muhim taasisi hizo zikaanzishwa nchini, kwamfano waombaji wote katika siku na tarehe maalumu wanakutanishwa pale taifa kwa mkapa, wanaonana macho kwa macho kama vile kwenye interview za ajira,
mtu anaweza hata kubadili gia angani akachukua chombo ingine kali zaidi pale pale taifa ilimradi tu asimnyang'anye mwingine.
Nadhani tunaweza kupunguza na kumaliza kabisa mahangaiko ya vijana kwa haraka na kwa urahisi zaidi 🐒