Kuna haja ya kuanzisha taasisi maalum yakutafutia vijana wachumba wa kuoa kabisa sio ajira pekee yake

tazama juu kisha tamka maneno haya "hakika mimi ni bwege"
 
Sasa mademu tena wapo aingle alafu bado wanakata wanaume. Ebo!
 
Ww si chawa wa mama kizimkazi

Kwann usfikishie direct
 
Kanisa linahusika pale wanapokuja wahusika wakiwa tayari wamependana... Sasa hii taasisi itakuwa tofauti na kanisa
kwahiyo kwa mwamposa wanaenda wakiwa wameshapendana au ndio wanaenda kutaftana?

na wakipatana na kufunga ndoa, na ndoa ikipata tatizo, watarudi kumlaumu mwamposa kweli kwa kuwakutanisha na kuwafungisha ndoa?πŸ’
 
Sikujua kumbe watu wanaenda kwa Mwamposa kutafuta wanawake/Wanaume wa kuishi!?
 
Sikujua kumbe watu wanaenda kwa Mwamposa kutafuta wanawake/Wanaume wa kuishi!?
kumbe wanaenda kutafuta nini unadhani kwa machozi na utakatifu ule wakiwa na umri wa miaka35?

ulidhani wanaenda kula keki ya upako tu na kwamba majumbani mwao hawana chakula?πŸ’
 
kumbe wanaenda kutafuta nini unadhani kwa machozi na utakatifu ule wakiwa na umri wa miaka35?

ulidhani wanaenda kula keki ya upako tu na kwamba majumbani mwao hawana chakula?πŸ’
Hayo siyajui, kumbe wanaenda kutafuta wenza
 
Hayo siyajui, kumbe wanaenda kutafuta wenza
nchecheto na sitilesi za vijanaa wa miaka35 hana mume, hana mtoto, hana ajira, hatungishi wala hashiki mimba, anatembea na mafuta ya upako miaka yote lakini wap,

madam, unafaaa nchezo nini πŸ’
 
nchecheto na sitilesi za vijanaa wa miaka35 hana mume, hana mtoto, hana ajira, hatungishi wala hashiki mimba, anatembea na mafuta ya upako miaka yote lakini wap,

madam, unafaaa nchezo nini πŸ’
Shughuli hii ni kubwa sana
 
Shughuli hii ni kubwa sana
taasisi maalumu kwajili ya kuwakutanisha ikiundwa itasaidia sana kuondoa changamoto hii inayowahangaisha vijanaa,

halafu wengi ni graduate kabisa dah πŸ’
 
Vijana wapate ajira then kuoa kutakuja AUTOMATICALLY Sasa nyie CCM hamtoi ajira kwa vijana pia mmeleta mpaka mchujo kwenye ajira za waalimu.

Ivi huyu mdogo etu hapa jukwan venzo jr hawezi kua hata mwalimu wa primary school na degree yake ya BAED

Sasa vijana wataoaje WAKATI CCM mmekataa kuwapa ajira.
 
Kabla ya taasisi hiyo iundwa ya kuwafunza vijana wetu kukataa kuwa,ama kutumika kama chawa.Halafu ya kuwatafutia na kuwawezesha kupata ajira na mwisho wakiweza kujitegemea ama wakipata uhuru wa kiuchumi,kuoa sii shida,kufanya maamuzi sahihi juu ya mustakabali wa taifa letu sii shida.Na hapo ndio utakuwa ukombozi dhidi ya ukoloni mamboleo,kuwa chawa wa wanasiasa na makundi yenye kulinda maslahi yao pekee.
 
Kweli punguani wa raisi
 
Bila kuzingatia hisia zao
 
gentleman,
ajira za uhakika za kutosha vijanaa wote waTanzania ziko bwerere shambani we unasema nini gentleman?

huenda unazungumzia wachagua kazi, right? ambao wengi ni graduate na bado wanaishi kwa wazazi wao right?

kumbuka,
vyovyote itakavyo kua, umri wa kuamua au wa maamuzi ni miaka 40-45, ukizubaa hapo kufa maskini kinyonge sana pasina kua na plot, mtoto wala mke hapaepukiki.

Inasikitisha sana, na inafedhehesha mno πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…