Al-mukheef
JF-Expert Member
- Feb 2, 2025
- 3,727
- 3,777
OkNa mzabzab awe naibu waziri wa hiyo wizara mzabzab
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
OkNa mzabzab awe naibu waziri wa hiyo wizara mzabzab
tazama juu kisha tamka maneno haya "hakika mimi ni bwege"Napendekeza hilo kwasababu mahangaiko ya vijana wa kike na wa kiume katika kutafuta wanchumba, wenza na wake wa kuoa ni makubwa mno huku changamoto ya kila moja kumpata mwenza wake ikiwa ni kubwa mno.
Napendekeza pawepo na taasisi maalumu yenye vituo maalumu mikoa mbalimbali kwajili ya vijana kutuma maombi ya kupata mchumba au mke na siku ya kwenda kuchukua majibu wanakutana kabisa macho kwa macho na wenza wao, kulingana na sifa na vigezo walivyoanisha kwenye maombi yao.
Hii itapunguza wimbi kubwa la vina kuhaha kutafuta wachumba mitandaoni hususani humu JF bila mafanikio.
Vituo vifunguliwe mikoa yote nchini.
Una maoni gani dhidi ya pendekezo hili ndugu zangu wadau wa jukwaa hili?
Mungu Ibarki Tanzania
Why naibu and no waziri mwenyewe kamili? Haaninhamuniamini naweza kiwaongoza vizuri mwanawane?Na mzabzab awe naibu waziri wa hiyo wizara mzabzab
Sasa mademu tena wapo aingle alafu bado wanakata wanaume. Ebo!Sio rahisi kihivyo, idea yako watu washaijaribugi ikafeli, marekani Wana kitu kinaitwa singles event, Yani wanaandaa eneo, wanawake na wanaume walio single wanakutana kutafta wachumba, sahivi kwenye singles event huko USAwanaume hawaendi, wanaona ni usumbufu na kupoteza mda, singles event kule USA zinajaaga wadada tu, wanaume wengi hawaendi sababu ya kuchoka kukataliwa
Hiyo system hata ukileta bongo matokeo yatakua hayo hayo Tlaatlaah
kwahiyo kwa mwamposa wanaenda wakiwa wameshapendana au ndio wanaenda kutaftana?Kanisa linahusika pale wanapokuja wahusika wakiwa tayari wamependana... Sasa hii taasisi itakuwa tofauti na kanisa
ndio msosi Buku alafu mboga 7 zote za majani 😂baridi siku uki jisikia una taka kuumwa tumbo, njoo ule huku kwa wagumu.
Sikujua kumbe watu wanaenda kwa Mwamposa kutafuta wanawake/Wanaume wa kuishi!?kwahiyo kwa mwamposa wanaenda wakiwa wameshapendana au ndio wanaenda kutaftana?
na wakipatana na kufunga ndoa, na ndoa ikipata tatizo, watarudi kumlaumu mwamposa kweli kwa kuwakutanisha na kuwafungisha ndoa?🐒
kumbe wanaenda kutafuta nini unadhani kwa machozi na utakatifu ule wakiwa na umri wa miaka35?Sikujua kumbe watu wanaenda kwa Mwamposa kutafuta wanawake/Wanaume wa kuishi!?
Hayo siyajui, kumbe wanaenda kutafuta wenzakumbe wanaenda kutafuta nini unadhani kwa machozi na utakatifu ule wakiwa na umri wa miaka35?
ulidhani wanaenda kula keki ya upako tu na kwamba majumbani mwao hawana chakula?🐒
Shemeji ninaye na ninatamba nae aww!basi ita kuwa uli kuwa na furaha ya kuniona shemeji yako🤣.
talking about spoiling, I spoil myself, mchumba mtarajiwa na familia yetu.
beside staying sober is good!
nchecheto na sitilesi za vijanaa wa miaka35 hana mume, hana mtoto, hana ajira, hatungishi wala hashiki mimba, anatembea na mafuta ya upako miaka yote lakini wap,Hayo siyajui, kumbe wanaenda kutafuta wenza
Shughuli hii ni kubwa sananchecheto na sitilesi za vijanaa wa miaka35 hana mume, hana mtoto, hana ajira, hatungishi wala hashiki mimba, anatembea na mafuta ya upako miaka yote lakini wap,
madam, unafaaa nchezo nini 🐒
Vijana wapate ajira then kuoa kutakuja AUTOMATICALLY Sasa nyie CCM hamtoi ajira kwa vijana pia mmeleta mpaka mchujo kwenye ajira za waalimu.Napendekeza hilo kwasababu mahangaiko ya vijana wa kike na wa kiume katika kutafuta wanchumba, wenza na wake wa kuoa ni makubwa mno huku changamoto ya kila moja kumpata mwenza wake ikiwa ni kubwa mno.
Napendekeza pawepo na taasisi maalumu yenye vituo maalumu mikoa mbalimbali kwajili ya vijana kutuma maombi ya kupata mchumba au mke na siku ya kwenda kuchukua majibu wanakutana kabisa macho kwa macho na wenza wao, kulingana na sifa na vigezo walivyoanisha kwenye maombi yao.
Hii itapunguza wimbi kubwa la vina kuhaha kutafuta wachumba mitandaoni hususani humu JF bila mafanikio.
Vituo vifunguliwe mikoa yote nchini.
Una maoni gani dhidi ya pendekezo hili ndugu zangu wadau wa jukwaa hili?
Mungu Ibarki Tanzania
Kabla ya taasisi hiyo iundwa ya kuwafunza vijana wetu kukataa kuwa,ama kutumika kama chawa.Halafu ya kuwatafutia na kuwawezesha kupata ajira na mwisho wakiweza kujitegemea ama wakipata uhuru wa kiuchumi,kuoa sii shida,kufanya maamuzi sahihi juu ya mustakabali wa taifa letu sii shida.Na hapo ndio utakuwa ukombozi dhidi ya ukoloni mamboleo,kuwa chawa wa wanasiasa na makundi yenye kulinda maslahi yao pekee.Napendekeza hilo kwasababu mahangaiko ya vijana wa kike na wa kiume katika kutafuta wanchumba, wenza na wake wa kuoa ni makubwa mno huku changamoto ya kila moja kumpata mwenza wake ikiwa ni kubwa mno.
Napendekeza pawepo na taasisi maalumu yenye vituo maalumu mikoa mbalimbali kwajili ya vijana kutuma maombi ya kupata mchumba au mke na siku ya kwenda kuchukua majibu wanakutana kabisa macho kwa macho na wenza wao, kulingana na sifa na vigezo walivyoanisha kwenye maombi yao.
Hii itapunguza wimbi kubwa la vina kuhaha kutafuta wachumba mitandaoni hususani humu JF bila mafanikio.
Vituo vifunguliwe mikoa yote nchini.
Una maoni gani dhidi ya pendekezo hili ndugu zangu wadau wa jukwaa hili?
Mungu Ibarki Tanzania
Kweli punguani wa raisiNapendekeza hilo kwasababu mahangaiko ya vijana wa kike na wa kiume katika kutafuta wanchumba, wenza na wake wa kuoa ni makubwa mno huku changamoto ya kila moja kumpata mwenza wake ikiwa ni kubwa mno.
Napendekeza pawepo na taasisi maalumu yenye vituo maalumu mikoa mbalimbali kwajili ya vijana kutuma maombi ya kupata mchumba au mke na siku ya kwenda kuchukua majibu wanakutana kabisa macho kwa macho na wenza wao, kulingana na sifa na vigezo walivyoanisha kwenye maombi yao.
Hii itapunguza wimbi kubwa la vina kuhaha kutafuta wachumba mitandaoni hususani humu JF bila mafanikio.
Vituo vifunguliwe mikoa yote nchini.
Una maoni gani dhidi ya pendekezo hili ndugu zangu wadau wa jukwaa hili?
Mungu Ibarki Tanzania
Bila kuzingatia hisia zaoNapendekeza hilo kwasababu mahangaiko ya vijana wa kike na wa kiume katika kutafuta wanchumba, wenza na wake wa kuoa ni makubwa mno huku changamoto ya kila moja kumpata mwenza wake ikiwa ni kubwa mno.
Napendekeza pawepo na taasisi maalumu yenye vituo maalumu mikoa mbalimbali kwajili ya vijana kutuma maombi ya kupata mchumba au mke na siku ya kwenda kuchukua majibu wanakutana kabisa macho kwa macho na wenza wao, kulingana na sifa na vigezo walivyoanisha kwenye maombi yao.
Hii itapunguza wimbi kubwa la vina kuhaha kutafuta wachumba mitandaoni hususani humu JF bila mafanikio.
Vituo vifunguliwe mikoa yote nchini.
Una maoni gani dhidi ya pendekezo hili ndugu zangu wadau wa jukwaa hili?
Mungu Ibarki Tanzania
gentleman,Vijana wapate ajira then kuoa kutakuja AUTOMATICALLY Sasa nyie CCM hamtoi ajira kwa vijana pia mmeleta mpaka mchujo kwenye ajira za waalimu.
Ivi huyu mdogo etu hapa jukwan venzo jr hawezi kua hata mwalimu wa primary school na degree yake ya BAED
Sasa vijana wataoaje WAKATI CCM mmekataa kuwapa ajira.