Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Napendekeza hilo kwasababu mahangaiko ya vijana wa kike na wa kiume katika kutafuta wanchumba, wenza na wake wa kuoa ni makubwa mno huku changamoto ya kila moja kumpata mwenza wake ikiwa ni kubwa mno.
Napendekeza pawepo na taasisi maalumu yenye vituo maalumu mikoa mbalimbali kwajili ya vijana kutuma maombi ya kupata mchumba au mke na siku ya kwenda kuchukua majibu wanakutana kabisa macho kwa macho na wenza wao, kulingana na sifa na vigezo walivyoanisha kwenye maombi yao.
Hii itapunguza wimbi kubwa la vina kuhaha kutafuta wachumba mitandaoni hususani humu JF bila mafanikio.
Vituo vifunguliwe mikoa yote nchini.
Una maoni gani dhidi ya pendekezo hili ndugu zangu wadau wa jukwaa hili?
Mungu Ibarki Tanzania