Kuna haja ya kuanzisha taasisi maalum yakutafutia vijana wachumba wa kuoa kabisa sio ajira pekee yake

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
24,665
Reaction score
25,388
Napendekeza hilo kwasababu mahangaiko ya vijana wa kike na wa kiume katika kutafuta wanchumba, wenza na wake wa kuoa ni makubwa mno huku changamoto ya kila moja kumpata mwenza wake ikiwa ni kubwa mno.

Napendekeza pawepo na taasisi maalumu yenye vituo maalumu mikoa mbalimbali kwajili ya vijana kutuma maombi ya kupata mchumba au mke na siku ya kwenda kuchukua majibu wanakutana kabisa macho kwa macho na wenza wao, kulingana na sifa na vigezo walivyoanisha kwenye maombi yao.

Hii itapunguza wimbi kubwa la vina kuhaha kutafuta wachumba mitandaoni hususani humu JF bila mafanikio.

Vituo vifunguliwe mikoa yote nchini.

Una maoni gani dhidi ya pendekezo hili ndugu zangu wadau wa jukwaa hili?

Mungu Ibarki Tanzania
 
Vijana wachangamkie kutafuta wachumba nnje ya mipaka ya Tanzania , mitandao ya kijamii ni njia nzuri kulifanikisha hilo.
Gentleman,
uwezo wa kutuma nauli ya ndege ✈️ upo? ikiwa tu nauli ya kumtoa mtu magomeni hadi mbagala kwa bodaboda haipo, achilia mbali nauli ya basi kutoka mkoani?🐒
 
Napendekeza hilo kwasababu mahangaiko ya vijana wa kike na wa kiume katika kutafuta wanchumba, wenza na wake wa kuoa ni makubwa mno huku changamoto ya kila moja kumpata mwenza wake ikiwa ni kubwa mno.

Napendekeza pawepo na taasisi maalumu yenye vituo maalumu mikoa mbalimbali kwajili ya vijana kutuma maombi ya kupata mchumba au mke na siku ya kwenda kuchukua majibu wanakutana kabisa macho kwa macho na wenza wao, kulingana na sifa na vigezo walivyoanisha kwenye maombi yao.

Hii itapunguza wimbi kubwa la vina kuhaha kutafuta wachumba mitandaoni hususani humu JF bila mafanikio.

Vituo vifunguliwe mikoa yote nchini.

Una maoni gani dhidi ya pendekezo hili ndugu zangu wadau wa jukwaa hili?

Mungu Ibarki Tanzania
Au serikali waanzishe wizara maalum ya mahusiano,uchumba na ndoa
 
Nadhani hili ni wazo zuri sanaaa, lakini nimegundua asilimia kubwa ya sisi wanaume ni wadhaifu sanaa kwenye mahusiano kwa upande wa tamaa na hisia. Unakutana na kijana anampenda sanaa mwanamke sababu ya uzuri na mwonekano wa binti lakini unaona kabisa tabia za binti mbovu lakini kijana yumo tuu.
Hapo ndo shida itakuepo sababu kila mtu ana vipaumbele vyake.

Japo nafikiri ule utaratibu wa zamani wa kuwafunda vijana kwenye Jando ungeendelezwa majumbani kwetu
 
Hiyo ni kazi ya familia alipozaliwa kijana huyo.

Familia zinazojitambua huwa zinatafutia vijana wao wachumba wa kuoa.

Na hata wahindi na waarabu huwa wanafanya hivyo.
uko sahihi gentleman,
but utamaduni wa Tz kwenye eneo hilo umebadilika pakubwa mno nadhani ndio maana kuna changamoto kwa vijana wengi kubabaika na kuhangaika kutafuta watu sahihi wenyewe 🐒
 
Una maana ntakuwa bilionea
uko sahihi,
kwasabb mahitaji ya soko ni makubwa mno ukilinganisha na upatikanaji wa huduma yenyewe.

In short wateja ni wengi mno kuliko soko na upatikanaji wa bidhaa 🐒
 
Napendekeza hilo kwasababu mahangaiko ya vijana wa kike na wa kiume katika kutafuta wanchumba, wenza na wake wa kuoa ni makubwa mno huku changamoto ya kila moja kumpata mwenza wake ikiwa ni kubwa mno.

Napendekeza pawepo na taasisi maalumu yenye vituo maalumu mikoa mbalimbali kwajili ya vijana kutuma maombi ya kupata mchumba au mke na siku ya kwenda kuchukua majibu wanakutana kabisa macho kwa macho na wenza wao, kulingana na sifa na vigezo walivyoanisha kwenye maombi yao.

Hii itapunguza wimbi kubwa la vina kuhaha kutafuta wachumba mitandaoni hususani humu JF bila mafanikio.

Vituo vifunguliwe mikoa yote nchini.

Una maoni gani dhidi ya pendekezo hili ndugu zangu wadau wa jukwaa hili?

Mungu Ibarki Tanzania
Hii imekaa poa sana
 
Back
Top Bottom