Morg
JF-Expert Member
- Oct 20, 2018
- 1,301
- 1,788
Kume kuwa na hulka flan hiv ya mahusiano pindi yanapofika kikomo wahusika wawili Bado hubakia na namba ya ex wake kwenye simu kwa kigezo kuwa eti kuachana sio ugomvi.
Pindi wanapoingia kwenye mahusiano mapya still bado wanazo namba za maex zao. Binafsi sidhani kama ni sahihi kama kilichowakutanisha ni mahusiano na pindi mnapoachana hakuna haja ya kuendelea kuwa na namba yake kwa lipi labda mtafanya kama sio ulimbukeni.
Utasikia mdada anakuambia huyu tushaachana mbona namba yake unayo mnawasiliana hapana ya nini sasa KAMA WEWE DEM WAKO ANA NAMBA ZA MAEX AU BOY WAKO JUA KABISA HAO BADO WAPO PAMOJA OVER ,wewe ni emergency department tuu
Kama mlikutana hamkuwa mkiwasiliana before mkiachana futa everything hadi picture