He he he.. sasa ikae kwa simu yangu juu ya kuifanyia nini?Na sina kazi nayo tena[emoji28]
Kuifuta itaniepusha na vingi..Ku'block huwa siwezi kabisa..Kwa mtu yoyote yule..
Nimekumbuka Rafiki yangu mmoja alifuta namna ya EX wake, sasa siku moja EX kampigia..Akamuuliza naongea na nani mwenzangu[emoji23]Bwana EX akamuuliza huna NO. Yangu.. Akamjibu ningekuwa nayo nisingekuuliza...EX alikata simu hadi kesho hata kujifanya kakosea msg hajawai[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using
Jamii Forums mobile app