Kuna haja ya kuendelea kuwa na namba ya ex wako huku ukiwa kwenye penzi jipya?

Kuna haja ya kuendelea kuwa na namba ya ex wako huku ukiwa kwenye penzi jipya?

Kuachana sio kugombana, kama watu waliacha kwa kushindwa itikadi fulani acha maisha yaendelee kikubwa acha kupekua pekua kutaka kujua background za mtu uliye naye kila mara itakutesa sana
 
Future Number
Ganda La Mua La Jana Chungu Kaona Kivuno
 
Tena akiweka status nakuwa wa kwanza ku view! Kuna shida gani kwani...
 
Sawa tutafuta kila kitu..

Na zile ambazo tulikariri tunazifanyaje?? Muongozo tafadhali, bila kusahau kiherehere nayo iko tu hapo inakusubiri siku uwe idle ikutume um'text [emoji1787][emoji1787]

[emoji848][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Maswala ya kaz sijui nn hiyo ni fikra potofu lengo kuu kufanya Returning most of them
 
Naonaga wanaofuta/block namba za ex wakogo weak na wengi wao wanakuaga wameachwa

Kuna maisha baada ya mapenzi huwezi jua kesho huyo ex atakufaa nini.


Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
Kwan kifuta namba yake ni ni ugomvi unaweza futa na still mkaendelea kuwa marafiki Kwan lazima mwasiliane
 
Nyie mnaojifanya kuna maisha baada ya mahusiano ndio mnafanya maisha yawe magumu

Kwan hapo before hamjawa na mahusiano ilikuwaje mbona hukuwaza kuhusu even akija kuwa HR sijui nn .Nyie purpose yenu ilikuwa ni mahusiano no more hayo mawazo chanya Mitazamo kibao juu ya yote ni Imani potofu

Ñdio chanzo cha kutoshikiana simu hicho
 
Kuacha kwetu haina maana kuwa tumeisha kuwa maadui labda kama tuliachana kwa kugombana na kuzalilishana. Kila kitu kina umhimu wake
 
Kume kuwa na hulka flan hiv ya mahusiano pindi yanapofika kikomo wahusika wawili Bado hubakia na namba ya ex wake kwenye simu kwa kigezo kuwa eti kuachana sio ugomvi.

Pindi wanapoingia kwenye mahusiano mapya still bado wanazo namba za maex zao. Binafsi sidhani kama ni sahihi kama kilichowakutanisha ni mahusiano na pindi mnapoachana hakuna haja ya kuendelea kuwa na namba yake kwa lipi labda mtafanya kama sio ulimbukeni.

Utasikia mdada anakuambia huyu tushaachana mbona namba yake unayo mnawasiliana hapana ya nini sasa KAMA WEWE DEM WAKO ANA NAMBA ZA MAEX AU BOY WAKO JUA KABISA HAO BADO WAPO PAMOJA OVER ,wewe ni emergency department tuu

Kama mlikutana hamkuwa mkiwasiliana before mkiachana futa everything hadi picture
Sema za ex wako.zihifadhe Google drive huwa zinasaidia sana.
 
Back
Top Bottom