Kuna haja ya kuendelea kuwa na namba ya ex wako huku ukiwa kwenye penzi jipya?

Kuna haja ya kuendelea kuwa na namba ya ex wako huku ukiwa kwenye penzi jipya?

Kilichowakutanisha ni mahusiano na kitakachowaachisha ni mahusiano kwaann uwe na namba yake Kwan mnawasiliana hapa nia yenu ni kupasha kiporo daadeq
Siyo wote wamekutanishwa na mahusiano, wapo waliokutanushwa na kazi, biashara etc
 
Ex ni adui yangu ambaye sina chuki nae
Akishakuwa ex nafuta kila kitu na natupa/nachoma mazagazaga yote aliyowahi kunipa

Nabaki na memories ambazo with time zinapotea
Wewe huyoo uchome laptop, Simu ya Apple/Samsung, TV flat screen inch 40 weweee uyoo uvichome?? [emoji12][emoji12]
 
Namba ya ex muhimu sana unatakiwa uone hata status zake za mapito na raha. Tumeshare mpk nyuchi halafu tatizo liwe namba?
 
Kwanza kwanini uwe na wasiwasi wa kuwa na namba tu.

Hapo kilichokufa ni mahusiano ya kimapenzi tu, ila mahusiano ya kijamii yatabaki pale pale.

Ukomavu ni kuachana na kuishi kwa amani. Labda kama huyo ex hajitambui hapo sio kufuta namba tu mfute hadi duniani.

Kuna kupeana connections, deals mbalimbali, Hivyo kufuta namba na vitu kama hivyo kublockiana mimi naonaga ni utoto utoto tu.
 
Hakuna usalama mzuri wa nafsi kama kufuta kumbukumbu zisizo na maana katika mapito yako ya nyuma,, kipaji hiki namshukuru Mungu nimepewa, nakufuta kichwani kabisa hata ukikaa ikulu wala sishoboki,,
 
Ex ni adui yangu ambaye sina chuki nae
Akishakuwa ex nafuta kila kitu na natupa/nachoma mazagazaga yote aliyowahi kunipa

Nabaki na memories ambazo with time zinapotea
Kuna jamaa alianzisha Uzi kukuhusu cjui uliona?
 
Ni ruksa kwa mimi mwanaume kua na namba ya ex wangu ila ni MARUFUKU/STRICTLY PROHIBITED kwa mpenzi wangu kua na namba ya ex wake.
 
Eeehh kumbe ndo hivi
Ngoja bas niifute
 
Hakuna usalama mzuri wa nafsi kama kufuta kumbukumbu zisizo na maana katika mapito yako ya nyuma,, kipaji hiki namshukuru Mungu nimepewa, nakufuta kichwani kabisa hata ukikaa ikulu wala sishoboki,,
[emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419]
Najiona Mimi..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom