sammosses
JF-Expert Member
- Jan 24, 2011
- 1,687
- 1,111
Taifa linapaswa kujiuliza kama chaguzi zetu ni sahihi kuwepo,Taifa letu ni sovereignty state au ni monarchy state. Hawezekani kila tunapoelekea uchaguzi mbalimbali za kisiasa Taifa linapotezewa uwezo wa kuhifadhi haki za binadamu hususani haki za kuishi na Uhuru wa mawazo.
Ikiwa suala la uchaguzi linapora haki za msingi za raia tuamue Sasa,ama tupinge dhuluma hii kwa nguvu zetu au pasiwepo na uchaguzi tuwe na monarchy state kwa wateule wachache(vanguards)
Tumekuwa wahanga wa chaguzi kila inapofikia kipindi hicho,angalia madhila wanayokumbana nayo wananchi wasio na hatia. Mathalani huko Rukwa,na hapa Dar es salaam.
Kinacho sikitisha mode ya matukio ni uniforms, vyombo vya ulinzi na usalama vipo kimya na taarifa wanazotoa ni Bora wangekaa kimya kuliko kujiweka wazi.
Athari ya vyombo vya Dola kuwa biased ni hatarisho kubwa la uvumilivu wa wananchi kwa serikali yao. Kwa kuwa jukumu kubwa la serikali ni kulinda na kuhifadhi haki za wananchi wake.
Tunaelekea uchaguzi mbili,matukio ya wafuasi wa upinzani yanaturudisha nyumba miaka miwili iliyopita na ushehe hivi. Yanatufukulia makaburi ya wapendwa wetu waliuwawa na wengine kupotezwa kimya kimya.
Ni jukumu la serikali kulinda uvumilivu huu ulipachikwa jina la amani ili dhana ya Tanzania ni nchi yetu sote iwe na mashiko.