Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 6,404
- 6,969
Mwaka 2020 Tundu Lissu baada ya kumaliza kupiga kura akiwa wilayani Ikungi mkoani Singida alisema kwa kinywa chake kuwa zoezi la uchaguzi limenda vizuri.
Lakini baada ya matokeo kutoka Lissu alipaza sauti kuwa huu haukuwa uchaguzi bali wizi na uchafuzi. Na akaondoka nchini kwa escort akisaidiwa na ubalozi wa Ujerumani.
Mwaka huu baada ya kukutana na Rais wa JMT Samia Suluhu alisikika akisema kuwa ameongea na rais juu ya masuala kadhaa na mojawapo ni juu ya kesi inayomkabili Mbowe na wenzake. Hapa ndipo makelele na mayowe yakasikika maana watu walijua Mbowe atakuwa huru. Lakini mambo yameenda ndivyo sivyo.
Kauli za Lissu ni kuaminika tena?